JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Sahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!
Hivi dogo mbona hauna heshima kwenye sehemu anapopumzikia kaka yako? Mj1 wala hajakusikia mimi na yeye daima dumu kama cuf na magamba
 
Tutamuomba Founder atueleze mchakato wake aliuanzia wapi.

mbona Founder alishalimaliza hili jambo siku ile........au ulikuwa unakunywa nini chenye kuziba masikio?.......hili swala mbona hata Teamo alilikubali..... (maana hata yeye alikuwa anajua ni Dar)
 
HTML:

Hilo nalijua, kina thomaso wanataka kutia vidole vyao kwenye makovu, ndiyo hao kina the finest.
 
Sahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!

Hivi Lily Flower yuko wapi halafu Paka Jimmy huyu bwana acha tu ngoja nicheke kimya kimya maana kuna kitu alinisaidia nikikumbuka nacheka sana

Majibu yake ndo haya hapa, nadhani haitaji kuja dar, mambo yote iko arusha!!
Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
 
Bado mnadiskasi habari ya mchungaji na wanakondoo?
Mi namsubiri ODM nimkabidhishe kwa watumishi.
 
huyo ndio tunamtaka........ana adhabu zake tatu zinanamsubiri....
hivi kesho imefika?........
 
@ nimekuwa murebo saidi ya wakaka wa Kericho na siku nyingi natangaza nia ya kuwania jimbo la yaeda chini tuone kama fimbo ya mbali inaua nyoka!

Hivi Preta bado unaenda kericho?? mimi nilidhani tumekubaliana shemeji atamaliza kazi!!
 
Ahh! Wapi!? Preta ameshagundua kuwa alikuwa anatumia gharama za bure kufuata kitu ambacho hakina quality ya kisasa lakini sasa ameipata ya uhakika na mwisho wa hiyo barabara yake ni ngaramtoni tu hasogei tena pande zile mpaka niseme sasa nikiwa busy anasema nina masereu. Ooh matu moki doi!
 
Ahsante kwa kazi nzuri ya kumpunguzia safari za kericho, kweli kabisa ngaramtoni panamtosha kabisa na muhimu zaidi "high quality service"!!

Halafu ningependa kufahamu tafsiri ya hiyo maneno nyekundu.
 
Ahh! Wapi!? Preta ameshagundua kuwa alikuwa anatumia gharama za bure kufuata kitu ambacho hakina quality ya kisasa lakini sasa ameipata ya uhakika na mwisho wa hiyo barabara yake ni ngaramtoni tu hasogei tena pande zile mpaka niseme sasa nikiwa busy anasema nina masereu. Ooh matu moki doi!

umeadimika sana weye............au ndio umeanzisha mgomo.......nimekumbuka wivu utakumaliza
 
Back
Top Bottom