JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Atakae nionea MySoul mwambie nimemmiss!
 
HTML:
Mkubwa,
Toa maelezo ya kutosha bana!
Mbona unaacha homework zaidi?

Nenda juu kwenye bandiko kifungu cha pil inasomeka hivi

(2.Pakajimmy & Preta; Mkiendelea hivi nadhani Kericho kwisha habari yake!!)
 
Nenda juu kwenye bandiko kifungu cha pil inasomeka hivi

(2.Pakajimmy & Preta; Mkiendelea hivi nadhani Kericho kwisha habari yake!!)
Wewe nilikusifia bure kuwa una kumbukumbu nzuri, kumbe ile nanihii uliyokuwa umeilaza mezani ilikubangua kichwa sana!
Hivi umesahau kuwa huyo nanihiino alisema kuwa yeye ni shemegi yangu, na atapenda sana tukiitana hivyo?
 
Karibu sana Arusha, na hii baridi inayoko lazina utafute attachement yaku couple nayo.
Well well well.........copy that!


---
- You are what you believe yourself to be ----
 
SaharaVoice si uliniambia nifuate ushauri wako! Ndo nimeanza hivyo!
 
karibu sana Geneva of Africa.......mie binafsi nilifurahi kikundi kilitimia pole zake babu ODM

Pole ya? Samaki au?

Pole babu nilikuwa naye busy mahali fulani kwa mambo ya faragha na ndiyo maaana hatukutokea na hii ni baada ya kusalitiwa na wiselady
Aisee! Inaumisa sana hiyo.......Naumisa moyo wangu!

Daah ..., ebana mkuu, ile Bar inaitwa "The Picnc" ni noma mazee .., ipo ipo ipo!! In fact kama hujawahi kuifika tena miaka kama mbili hivi iliyopita waweza uipotee hivi sasa ukiingia uko ndani, na halafu hizo totoz sasa ni za ukweli kali kali za kufa mutu, waweza unalize mshahara ati ndani ya masaa tu!
Mkuu senkyu kwa taarifa.... jamani nipokeeni stendi....

babu naona ungemaliza wote sasa
Babu is fo zem jukuuz.... ol ofu zem......

Namtafuta Loner.
C.R.A.P

Mkuu Mwita Maranya hata mimi nilifurahi sana! We The Finest Loner ushamkosa hivyoo!
Hommie.... ambia hiyo crap hiyo yuziful statement
 
Hivi hapa mi naona makengeza tu, hata sielewi kitu, tangia Hmethod anipige kibuti huwa sielewagi mambo ya Arachuga kabisa. Mmmh PJ hata kusema karibu ya kiswahili.......
 
Nimeamua kujinyonga rasmi..........
 
Asee hommie mi jografia inanitatiza.....kwamba usalule ipo kericho?

sawa kabisa......Usalule ndio Kericho.......halafu ni kwa nini sasa ikawa vile?
 
Bigirita hajapewa jukumu?
Kama hajapewa, nipeni mimi.
 
Mwandisi ntakutafuta leo jioni tuufuate mwanga! Si ndio eh?

ndio hiyo......ni wewe tu umenifanya niahirishe kujinyonga kwa leo......lakini kesho mpango upo pale pale
 
Back
Top Bottom