JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Walioikosa hii wasikate tamaa. Hapo tulikutana kwasababu ya wageni. Tutakutana mwisho wa mwezi kama kawaida yetu. Nadhani Mzee wa Rula atafix date ataiweka hewani. Asiyekuwa na mawasiliano ya kutupata anaweza kum PM Mzee wa Rula au Pakajimmy
 
HTML:
Wewe nilikusifia bure kuwa una kumbukumbu nzuri, kumbe ile nanihii uliyokuwa umeilaza mezani ilikubangua kichwa sana!
Hivi umesahau kuwa huyo nanihiino alisema kuwa yeye ni shemegi yangu, na atapenda sana tukiitana hivyo?

Yes nakumbuka sana, kumbuka kuzima taa.
 
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kukopa maneno ya mamaa wa Kericho; JF is beyond keyboards!!!!!!!!!!!

Kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru wanaJF wote wa Arusha na wengine toka mikoa mbalimbali tuliokutana jana na juzi kwa mshikamano na ushirikiano ambao mmekuwa nao, tangu nilipopata nafasi ya kukutana nanyi december 2010 hadi hivi sasa mmepiga hatua kubwa sana.

Jambo kubwa na la msingi sana ni namna mlivyoweza kuji-organise na kujiwekea utaratibu mzuri sana kuanzia kuwa na viongozi na katiba inayowaongoza ili mfikie malengo mahsusi mnayokusudia kutekeleza.

Kwa namna ya pekee niwashukuru sana kwa ukarimu wenu na upendo kwa wanajf wote wanaopata nafasi ya kufika Arusha na kuonana nanyi, nami nikiwa ni shuhuda wa ukarimu wenu na upendo wenu, ninasema heshima sana kwenu.

Nimalizie kwa kuwashukuru kwa utaratibu niliouona jana tulipokuwa pamoja, hizi "couples" nimezipenda.

1.Mchungaji Saharavoice & Loner; newly upcoming couple, jana mlitisha, mko juu sana!!
2.Pakajimmy & Preta; Mkiendelea hivi nadhani Kericho kwisha habari yake!!
3.Filipo & Blackwoman; Equation ilikuwa imebalance vizuri sana, mlifunika!!
4.Easymutant & Mysoul; Kwakweli sina la kusema waliokuwepo walijionea wenyewe!!
4.Kimey & Wiselady; The best couple of the day!! Heshima kwako Kimey bila shaka "long distance" is no longer there!! Mchungaji saharavoice anatakiwa kuendelea kufanya maombezi na kutoa ushauri ili hatimaye mtumishi aendelee na huduma bila vikwazo.

Mwisho kabisa niwashukuru kamati ya maadili;

1. Vince-mwenyekiti wa kamati
2.Crashwise-Afisa habari wa kamati
3.GY-Mwekahazina wa kamati

PENDEKEZO;
Napendekeza mabadiliko ya katiba ili kuwepo na nafasi moja ya mwanachama wa heshima, na bila shaka Mwita Maranya atatunukiwa tuzo hiyo. Babu Asprin umechelewa hata kama unajiandaa kwenda Arusha, njia zote zimeshakabwa mpira hauwezi kupita labda ujaribu "long balls" ingawa kimo chako hakiruhusu mipira ya juu!!

Nawasilisha.

Karibu tena na tena hapo juu kwenye Maruni mweka hazina wa vikao vyote vya harusi taken already by Lily flower, ha ha ha ha
 
Mwita maranya pole sana kwa safari,pia pole sana kwa baridi ya A town
vipi ulifika dar salaama?
 
safari hii ni lazima mje usalule ninyi arusha branch....

mnataka MTAKUJA
hamtaki MTAKUJA TU.....!

kudadadadeki!

aafu we sahara-voice unanitafuta eeh??!...achana na loner aisee
 
Back
Top Bottom