JF Arusha; Beyond keyboards......!!!!

Hapa nilikuona kama vile mtumishi unafanya kazi yako sawa sawa

Jmosi nilikuwa natafuta kondoo aliyepotea.
Kumbuka imeandikwa, (Hivi ni nani kwenu aliye na kondoo 100, akapotea mmoja asiwaache wale tisini na kenda kwenda kumtafuta yule mmoja?)

Hivyo basi nilidhani kondoo aliyepotea ni huyu hapa, lakini wapi!!??

Mimi nilikua na swali kwa Sahara Voice ivi Jumamosi unajua nilifikaje nyumbani?

Kumbe ulimkabidhi kwa vince, ulishapata mwingine mara hii??

Aisee, ina maana Vince alikuacha, aaa too bad

Kama mambo yenyewe ndo haya, siwezi tena kumlaumu wiselady, alifanya uamuzi wa busara kukutoroka.
 
Kweli wewe ni mchungaji orijino...... kwa macho yangu nimeshuhudia ukiwaacha kondoo tisini na kenda na kwenda kumfatuta 1 aliyepotea....big up mchungaji......endelea kuwa mwaminifu

Asalam alaikum BW,

Binafsi nimeanza kuwa na mashaka na huyu mtumishi, ningeomba kumfahamu kondoo aliyepotea ili nijiridhishe na kurudisha imani kwa mchungaji.
 
poa habari yako mgeni rasmi
nitakuonyesha ukija tena....herufi za jina lake hazipo kwenye keyboard......wiselady alimwona mchungaji kwa jicho la 3

HTML:
Asalam alaikum BW,

Binafsi nimeanza kuwa na mashaka na huyu mtumishi, ningeomba kumfahamu kondoo aliyepotea ili nijiridhishe na kurudisha imani kwa mchungaji.

aliyeletwa kundini hukabidhiwa watumishi wengine kama Vince kwa ajili ya uimarishwaji ilihali Mchungaji huendelea na kazi ya kuwatafuta wengine waliopotea.
 
Nasikia Kimey mmemfungia room na bag lake mmeliloeka?
Mtamuua kijana, bado anahitajika na wananchi wa usalule.
 
aliyeletwa kundini hukabidhiwa watumishi wengine kama Vince kwa ajili ya uimarishwaji ilihali Mchungaji huendelea na kazi ya kuwatafuta wengine waliopotea.

Mchungaji unahitaji maombezi, kwani dalili zote zinaonyesha kwamba unaelekea kufuata nyayo za wale waliojisalimisha kule zenji!!!
Kama kondoo wanakuwa na amani wakiwa na watumishi wengine lakini wakifika kwa mchungaji wanakata kamba, hii ni hatari kwa ustawi wa huduma ya utumishi!!

poa habari yako mgeni rasmi
nitakuonyesha ukija tena....herufi za jina lake hazipo kwenye keyboard......wiselady alimwona mchungaji kwa jicho la 3

Vinginevyo uthibitishe pasipokuacha shaka kwamba huyu kondoomwenye rangi nyekundu hajakukimbia.
 
Nasikia Kimey mmemfungia room na bag lake mmeliloeka?
Mtamuua kijana, bado anahitajika na wananchi wa usalule.

Habari yako binafsi,

Kimey hajafungiwa na mtu yeyote, ameamua mwenyewe kuondoa udhia.

Amechoshwa na mambo ya "long distance"!!
 
Habari yako binafsi,Kimey hajafungiwa na mtu yeyote, ameamua mwenyewe kuondoa udhia.Amechoshwa na mambo ya "long distance"!!
Orait, kwa hiyo ameamua kufanya short time? I mean long stay distance zero?Halafu nyie vijana wa tawi la arusha, aka arusha wing, aka kipapatio cha arurha mbona mnaleta fujo sana? Tulieni then muwe mnaomba miongozo kutoka HQ pa ukwe'e daresalama.
 
Orait, kwa hiyo ameamua kufanya short time? I mean long stay distance zero?

Sina uhakika na maneno yako "long stay distance zero", lakini nina uhakika kwamba hakuna tena "long distance" wala "short time", kilichopo ni Long stay, ama ukipenda forever stay.

Babu ODM hajakustua mwende wote Arusha kumsalimia Kimey??!!

Mnajua nyie ni mashemeji zetu lakini?

Hilo tunalitambua sana kwa kuwa mwenye dada hakosi shemeji kama vile mwenye kaka asivyokosa mawifi!!
 
Nitaomba Pakajimmy aingie hapa atupe mwongozo.

Fimbo ya mbali haiuwi nyoka labda utafute fimbo ndefu - by Vince

Kama fimbo ya mbali haiui nyoka bila shaka fimbo ya karibu ndo inaua!!

inaweza ikawa ndefu lakini isiue kama ni ya mbali, muhimu hapa ni kuzingatia kwamba fimbo ya karibu ndiyo inaua nyoka!!

PJ tunakusubiri kwa maelezo zaidi.
 
Itabidi Kimey atueleze urefu wa fimbo yake.
 
Sahara Voice ukimuona Derimto mwambie kama hajatoa mahari huku Dar asitie maguu kabisa vinginevyo JF HQ DAR tutamzulia kesi lol!!!
 
Hivi Lily Flower yuko wapi halafu Paka Jimmy huyu bwana acha tu ngoja nicheke kimya kimya maana kuna kitu alinisaidia nikikumbuka nacheka sana
 
Back
Top Bottom