Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Karibuni tena wazalendo wa Mungu sisi Dada na Kaka zenu tumeshazoea tumerudishwa toka tarehe 30/12/2020 najua machungu ya kurudi nyumbani bila focus yoyote Ila Maisha sio Jeshini tu pambaneni Mana OP yenu imekuwa na misukosuko sana mlitakiwa muingie toma mwezi wa 12 mkapigwa aziwea(mkastopishwa) mpaka mwezi wa kwanza tarehe 5 nashukuru hamjatukuta OP Merelani mngeumia zaidi kwa ile situation yetu ya kurudi nyumbani, Kwahyo msihuzunike sana huwenda mungu hajawapangia huko au huenda mkaenda mkapoteza muda tu Kama sisi tulivyopoteza so msihuzunike sana mwenyezi mungu anamakusudi yake, karibuni sana wadogo zetu najua hamna ubaya wowote hata mafunzo yenyewe mlikuwa hamjaanza na hamkuwa na muda sana humo vikosini naamini mnaporudi uraiani mtaendelea mlipoishia tu na mtakuwa mama zamani tu. Mwenyezi mungu awatie nguvu
 
JKT YASITISHA MAFUNZO

DODOMA
: JANUARI 19, 2021

JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena.

Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea majumbani na wale ambao hawajaripoti wasiende kuripoti.

Taarifa hiyo imetolewa jijini Dodoma na Kaimu Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Kanali Hassan Mabena, wakati akizungumza na waandishi wa habari Ofisi za makao makuu ya jeshi hilo.

Nami All - Rounder nasema kuwa huenda kwa Kurejeshwa Kwao hawa na Ajira kuwa ngumu Vitendo vya Kiuhalifu vikaanza Kuongezeka nchini.

Taarifa: Uhurudigital

---
Siyo mbaya kusema safari hii Pesa hakuna ( Kibajeti kuliko Kuficha, lakini pia hata haya Mafunzo yanahitaji Mabadiliko makubwa sana ya Kimfumo.


Na mengi yanakuja. Haya ni matokeo ya uchafuzi. Fedha nyingi zilitumika kibabe kuiba kura.
 
Naona mkuu umeamua kutoa ya moyoni kabisa kweli watuajili tu tuliomaliza mkataba Tumejila sana miaka mitatu aiisee pa1 sana aiiseee tujuane basi me OP Merelani from 825KJ Mtabila kigoma moja hiyoo mwenzangu ulikuwa kikosi gani
Unaji quote mwenyewe bangi mbichi hii
 
Unataka nani akulipie bill mkuu

Jeshini watu wanafundishwa pia ujasiriamali ukitoka hapo unaweza kuwa mkulima na mfugaji mzuri tu ila vijana wanataka waoneshane nani mbabe mjini hapa
Kuna mfano wa waliotoka JKT wakawa wajasiriamali, wakulima au wafugaji wazuri? Au wote ni Korokoroni
 
Kuna watu hawajaelewa mahali mkuu. Hawa vijana ni OP Uchimi wa Kati ambao ndio walikuwa wanakusanywa katika vikosi mbalimbali mwezi huu, so hawajui hata uzalendo wenyewe ukoje na wengine hata milango mikuu ya kuingilia vikosini hawaijui na wengine bado wako majumbani.
Hawakumuelewa msemaji wa KJT, watu wanakurupuka tu
Ni sahihi mkuu lakini kuna vijana wameanzsha uzi bila kuelewa na sio watu wa chombo wanaongea hapa vitu wasivovijua wanaleta siasa katika majeshi kijeshi hakuna kuuliza sababu hio ni order mafunzo yasmame over haitoboki hio
 
Yawezekana kati ya Watanzania wote Milioni 55+ ni Wewe tu Bumunda pekee ambaye umeshindwa Kuielewa vyema kabisa hii Taarifa kutoka JKT.
Mwandiko mzuri unaonekana una busara lakini akili ya kupambanua vitu huna nmekupa maelezo mazur nmekusahihisha haujafatilia unaita wenzio mabumunda poyoyo wewe sjui Rugemalira wa wapi hauna akili kujisifia tu
 
Back
Top Bottom