Vijana wa BBT wahitimu mafunzo, kupelekwa JKT kunolewa zaidi kabla ya kupewa mashamba waanze kilimo

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,784
Wale Vijana wa Mradi wa Bashe na Samia Maarufu kama BBT wamemaliza awamu ya kwanza ya mafunzo yaani incubation na Sasa watapelekwa JKT Kunolewa Zaidi.

My Take
Tunasubiria tuanze kuona matunda ya Kilimo,mda wa porojo umekwisha.

====

371741558_1287980471840385_4622566909843570681_n.jpg

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amekutana na kuzungumza na vijana wahitimu wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (Bulding A Better Tomorrow - BBT) na kuwapongeza kwa kumaliza salama mafunzo katika Vituo Atamizi vinavyopatikana kwenye Vyuo vya Kilimo vilivyopo sehemu mbalimbali nchini.

Amesema hayo leo Agosti 28, 2023 jijini Dodoma na kuwataka vijana hao kutambua kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuwawezesha vijana ili kujiinua kimaisha Kwa kujiajiri kupitia kilimo na biashara.

"Nyie vijana 763 ambao mmefikia tamati ya mafunzo ya BBT kati ya 812 mliojiunga na mradi huu mmewasafishia njia vijana wengine watakajiunga na mradi huu katika awamu nyingine na nimeridhishwa sana na nia ya dhati mliyokuwa nayo hadi kufikia tamati,” amesema Bashe.

Waziri Bashe ameongeza kuwa tayari wapo wadau wa maendeleo ambao wamevutuwia na programu ya BBT na tayari imekuwa programu ya kuigwa kwa kuanzisha kwenye nchi zao.

Pia amebainisha kuwa zipo Taasisi za fedha ambazo zimeonesha nia ya kusaidia vijana wa BBT.

"Waziri Mkuu wa zamani wa Ethiopia ametembelea BBT na amevutiwa sana na programu hii. Kadhaalika, ujumbe wa nchi za SADC umetembelea BBT Arusha ili kupata taarifa zaidi za kuweza kutengeneza programu hiyo,” ameeleza Waziri Bashe.

Vijana hao wameandaliwa mafunzo maalumu katika kambi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kujengewa uzalendo wa kazi na kujua thamani ya uwekezaji wa Serikali kwa vijana.

"Niwatoe hofu marafiki zangu nataka mtambue kuwa huko JKT mtawekewa mpango wa kujengea uwezo zaidi kwenye uzalendo na masuala mengine mtambuka,” amesema Bashe.

Wizara ya Kilimo
 
Tz badala ya kutengeneza billionaire unatengeneza masikini
Modo hii haiwezi kufanikiwa
 
Wale Vijana wa Mradi wa Bashe na Samia Maarufu kama BBT wamemaliza awamu ya kwanza ya mafunzo yaani incubation na Sasa watapelekwa JKT Kunolewa Zaidi.

My Take
Tunasubiria tuanze kuona matunda ya Kilimo,mda wa porojo umekwisha.

====

View attachment 2731048

Mbona mmewapeleka kwenye mapori na si maeneo yaliyokuwa yamesha andaliwa na kuzinduliwa na Rais?
Mbona wanazagaa tu huku Yudom na mitaani na tunasikia wamewagomea kwenda kwenye hayo mashamba sababu ni maporini na hakuna hata huduma za msingi za kijamii? Network yenyewe ni shughuli, kwanini mmeamua kuwapotezea muda wao kama mlijua hamjajipanga??
 
Ndugu hili jambo tangu mwanzo wajanja waliona ni usanii

Na ndicho kimejiri.

Mwanzoni hawakuambiwa wakihitimu mafunzo watakwenda JKT isipokuwa waliambiwa watakabidhiwa mashamba.

Je hii si danadana?

Sasa hivi si wote wamepewa mashamba maana kulikuwa na kufuzu tofauti na mwanzo walivyo ambiwa.

Waliopewa mashamba na mbegu za alizeti hawajui kama mashamba yatakuwa yao na mazao pia?

Mashamba wamepewa huko mbali porini.

Hela ya kujikimu ilikuwa 75000 vijana wakalalamika ndio Bashe akaja kuwaongezea ikwa 200,000 kwa mwezi

Japo kwa maisha ya mtanzania ni kiasi kidogo sana.

Hawa vijana wengine wanafamilia wanategemewa.

Kiujumla huu ni usanii.

Vijana wa Uvccm wanatumika kishamba na ccm tena wengi wao ni graduates
 
Wale Vijana wa Mradi wa Bashe na Samia Maarufu kama BBT wamemaliza awamu ya kwanza ya mafunzo yaani incubation na Sasa watapelekwa JKT Kunolewa Zaidi.

My Take
Tunasubiria tuanze kuona matunda ya Kilimo,mda wa porojo umekwisha.

====

View attachment 2731048

Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amekutana na kuzungumza na vijana wahitimu wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (Bulding A Better Tomorrow - BBT) na kuwapongeza kwa kumaliza salama mafunzo katika Vituo Atamizi vinavyopatikana kwenye Vyuo vya Kilimo vilivyopo sehemu mbalimbali nchini.

Amesema hayo leo Agosti 28, 2023 jijini Dodoma na kuwataka vijana hao kutambua kuwa Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kuwawezesha vijana ili kujiinua kimaisha Kwa kujiajiri kupitia kilimo na biashara.

"Nyie vijana 763 ambao mmefikia tamati ya mafunzo ya BBT kati ya 812 mliojiunga na mradi huu mmewasafishia njia vijana wengine watakajiunga na mradi huu katika awamu nyingine na nimeridhishwa sana na nia ya dhati mliyokuwa nayo hadi kufikia tamati,” amesema Bashe.

Waziri Bashe ameongeza kuwa tayari wapo wadau wa maendeleo ambao wamevutuwia na programu ya BBT na tayari imekuwa programu ya kuigwa kwa kuanzisha kwenye nchi zao.

Pia amebainisha kuwa zipo Taasisi za fedha ambazo zimeonesha nia ya kusaidia vijana wa BBT.

"Waziri Mkuu wa zamani wa Ethiopia ametembelea BBT na amevutiwa sana na programu hii. Kadhaalika, ujumbe wa nchi za SADC umetembelea BBT Arusha ili kupata taarifa zaidi za kuweza kutengeneza programu hiyo,” ameeleza Waziri Bashe.

Vijana hao wameandaliwa mafunzo maalumu katika kambi za Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) ili kujengewa uzalendo wa kazi na kujua thamani ya uwekezaji wa Serikali kwa vijana.

"Niwatoe hofu marafiki zangu nataka mtambue kuwa huko JKT mtawekewa mpango wa kujengea uwezo zaidi kwenye uzalendo na masuala mengine mtambuka,” amesema Bashe.

Wizara ya Kilimo
Wape salamu!
 
Vipi hao vijana washapewa hayo mashamba now ni March mwishoni inaenda miezi sita sasa
 
Back
Top Bottom