Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

Ukiwa na IQ fupi na iliyojaa Ujuha ( Upumbavu ) kama yako Kamwe huwezi Kuligundua hilo ila kwa Waliobarikiwa Akili wameshaligundua mapema.
We ndo mwenye IQ ndogo na pengine huna uelewa na masuala yahusuyo jeshi na pengine kiswahili kinakusumbua kwa sababu unapomwambia mwenzako kwamba tumwamini wewe au afande unamaanisha kwamba mabena aliitaja sababu ya kusitisha mafunzo hayo kwamba ni pesa wakati yeye kasema ni sababu za ndani,nikwambie tu hamna ambaye hajafikiria hyo sababu ya pesa na huwezi kuisema direct ikiwa wewe sio msemaji na pia ni assumption tu ila wewe mwenye IQ kubwa na mwenye kuiga uandishi wa (gentamycine)ikiwa hata huelekei uandishi wake,unaongea as if imekuwa public kwamba sababu ni pesa poor you,karibu kwa povu lingine
 
Mbona hapo awali mlikuwa nao huko huko mtaani na hawakuwakaba?
Walikuwa raia wa kawaida,kwa sasa wana mafunzo na hawana cha kuwaingizia kipato! Huoni kuna hatari hapo? Chukulia mfano uhakiki ungefanyika kwenye vyombo vya usalama na hao watu wangerudishwa mtaani,hali ingekuwaje? Nadhani umepata concept
 
Hao ni wale walokua wanaenda kujifunza wanarudi bado raia hawajakula kozi
Kuna watu hawajaelewa mahali mkuu. Hawa vijana ni OP Uchimi wa Kati ambao ndio walikuwa wanakusanywa katika vikosi mbalimbali mwezi huu, so hawajui hata uzalendo wenyewe ukoje na wengine hata milango mikuu ya kuingilia vikosini hawaijui na wengine bado wako majumbani.
Hawakumuelewa msemaji wa KJT, watu wanakurupuka tu
 
Wakuu naona hamjaelewa habari
Kuna kundi la vijana lilitakiwa kuripoti katika makambi mpaka tar 15 January kama OP mpya kupata mafunzo ya kiseshi hilo bogi ndo limepigwa azwea warejee makwao na walokua hawajaripoti wasiendee
Wale askari waliofuzu mafunzo hayo yani OP Makao makuu bado wataendelea kuhudumu katika taifa katika makambi yao husika
Hongera kwa kuwaelewesha mkuu
 
Kitengo.
 
We ndo mwenye IQ ndogo na pengine huna uelewa na masuala yahusuyo jeshi na pengine kiswahili kinakusumbua kwa sababu unapomwambia mwenzako kwamba tumwamini wewe au afande unamaanisha kwamba mabena aliitaja sababu ya kusitisha mafunzo hayo kwamba ni pesa wakati yeye kasema ni sababu za ndani,nikwambie tu hamna ambaye hajafikiria hyo sababu ya pesa na huwezi kuisema direct ikiwa wewe sio msemaji na pia ni assumption tu ila wewe mwenye IQ kubwa na mwenye kuiga uandishi wa (gentamycine)ikiwa hata huelekei uandishi wake,unaongea as if imekuwa public kwamba sababu ni pesa poor you,karibu kwa povu lingine
Mkuu nakuelewa sana, sababu si pesa hapa! Kuna kitu. Serikali haiwezi kushindwa kumudu JKT.
 
Zinapokuja taarifa za jeshi letu huwa nawaheshimu Sana Hawa jamaa ndio taasisi pekee ya serikali inayoheshimika na raia narudia Tena pekee.
 
Back
Top Bottom