Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,817
- 11,993
Hawana lolote hawa. Wakikutana kwenye Party Caucus yao wanpanga michongo tofauti kabisa.Kimeumana
Wanatenda alafu ndio wanaanza kufikiriHuu ndio uzalendo lol
Wanatenda alafu ndio wanaanza kufikiri
Wataomba waongezewe mshahara ndio waanze kukatwaAngalau vichwa vimeanza kuchaji...