Jerry Silaa aliitwa kuhojiwa kuhusu mishahara ya wabunge kutolipa kodi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Kamati ya Maadili ya Bunge ilimuita mbunge Jerry Silaa kujibu tuhuma za kauli yake kuwa mishahara ya wabunge haikatwi kodi ambayo imedaiwa kuwa ni uongo

Jerry Silaa alitoa kauli hiyo akiongea na wananchi jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam

Silaa alisema vya Mwali vikiliwa na vya kungwi viliwe
 
Nchi ya kishenzi hii. Huyu anayesema ni mbunge ambaye ana salary slip nyingi tu . It is a matter of seconds to give evidence if MPs are paying tax or not! Just produce salary slips........... unless the slips are manipulated to read the contrary
 
mjinga sana huyo dogo ,alienda na madocuments/mavitabu kibao
sijui yalikuwa na evidence gani
tatizo la nchi hii njaa, watetezi wa haki wana njaa
 
Kamati ya Maadili ya Bunge ilimuita mbunge Jerry Silaa kujibu tuhuma za kauli yake kuwa mishahara ya wabunge haikatwi kodi ambayo imedaiwa kuwa ni uongo

Jerry Silaa alitoa kauli hiyo akiongea na wananchi jimbo la Ukonga, Jijini Dar es Salaam

Silaa alisema vya Mwali vikiliwa na vya kungwi viliwe
Kama walipa kodi, tuoneshwe ukweli ili tuthibitishe uongo wake.
 
Nimemsikiliza Spika leo alivyoitimisha mjadala wa kamati ya maadili kwa masikio na kwa umakini. Nilichogundua;
1. Jerry hana kosa kwa alivyoongea kwa kuwa alimaanisha kuna malipo wanayolipwa mbali na mshahara ambayo hawakatwi kodi (Prove me wrong!)

2. Hakutaka (kudadavua) Jerry kwa kuwa ameona maccm yenzake hasa wabunge wametumia nguvu kubwa kumnyamazisha. basi akaona anyamaze yaishe.

3. Hizi kaamati zao hasa hii ya maadili imekuwa kama kakikundi ka kumuita na kumsuta kwa kipengele flan badala ya kuangalia kontent. Yaani Jerry hakutaka mabishano. Wanakuita wanachukua sentensi moja wanaipeleka kwenye kona yao ili wakubanie pale. Ndugai na msaidizi wake ndio wanayatengeneza haya kiufundi.

Mwisho kama Taifa ni aibu kuwa na bunge linalojishuku, mpaka kufikia kuwasuta wabunge kwa kutumia sentensi badala ya content(ujazo) ya maelezo yao. Hata kwa Gwajima the same case.
 
Kama walipa kodi, tuoneshwe ukweli ili tuthibitishe uongo wake.
Spika kasema mishahara yao inakatwa kodi. ila kaficha kuwa kuna malupulupu mengine hayakatwi kodi. Hayo malupulupu ndio Jerry Slaa aliyokuwa anamaanisha ingawaje aliamua kukubali kukaa kimya yaishe!
 
Back
Top Bottom