Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,495
- 1,803
You think so?
I thought he kept it đź’Ż, with tact.
The guy is not hash, but the unfortunate fact about our Tutsis’ brothers is they live with a vengeance.
You think so?
I thought he kept it đź’Ż, with tact.
Wewe ulitaka ajibu kama wewe? Yeye kajibu anayoyajua nawe jibu kwa unayoyajua,,au ulitaka apake mafuta kisichompendeza?chuki nadhani unaweza kuwa nayo wewe!!Jenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.
Mkapa kipindi cha utawala wake Alidhibiti mfumuko wa bei, hata nauli ya daladala ilibaki shilingi 150 kwa muda mrefu sana kwenye utawala wake
Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka.
Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.
Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA
Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania
Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)
Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar
Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.
Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.
Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere
Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.
Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika
Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu
Jenerali Ulimwengu anajitambua.The truth will set you free.Hivi kwa nini mtu akitoa maoni yake, kwa upeo wake, watu badala ya kuchambua hoja wanakimbilia kusema immaturity na chuki?
Jenerali is probably the most mature journalist in Tanzania right now.
Ndio angeweza kuelezea hayo ila kama tu angetaka kufanya hivyo...unafikiri kwa muda mfupi aliopewa kuhojiwa angeweza kueleza hayo yoote uliyoyasema hapo ?!
Tofautisha kusema na kulipa.mbona hata meko anasema kila siku analipa deni la nje kwa pesa za ndani au huwa humsikii
EAC yeye ndiye aliyeikomalia kuhakikisha inarejea, TRA, mtandao wa barabara za rami nchi nzima, Memkwa, kuchangia elimu ya juu nk.Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.
Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
hapo nimekuelewa,so kama anasema analipa alafu akawa halipi si ni kwamba anatupiga ?
Generali ansahau kutumbia jinsi alivyofanya kazi ya kuongoza Kampani ktk uchaguzi ule wa kusisimua!Jenerali ana chuki binafsi tu.
Ukilinganisha na pale nchi alipoikuta mwaka 1995, BWM aliiacha nchi katika hali nafuu zaidi mwaka 2005
Makosa mengine ni makosa ya kibinadamu tu
Bado hujasema amekosea wapi. Na kama kweli BWM alitumia nafasi yake kumnyoosha baada ya kuandika makala ambayo hayakumfurahisha basi ana haki kuwa na chuki nae. Na kwa kufanya hivyo inathibitisha alichokisema Jenerali kuwa hakuwa rafiki wa media huru. Ni kweli kuwa Jenerali amejikita kwenye mapungufu ambayo yeye aliyaona katika utendaji wa marehemu. Vile vile ni kweli wewe umejikita katika kuonyesha mafanikio ya marehemu. Kwa kufanya hivyo wote mmefanya watu wengine tumuelewe zaidi marehemu na kuthibitisha kile ambacho yeye mwenyewe alisisitiza, kuwa yeye ni binadamu na alikuwa hajakamilika. Kukataa awe criticized ni kwenda kinyume na matakwa yake yeye mwenyewe.Kapata mafasi ya kutapika negatives za kipuuzi kaacha mambo positive na ya msingi zaidi ambayo BWM aliifanyia nchi hii, hii inaonyesha Jenerali kajaa chuki dhidi ya Mkapa kwa sababu Mkapa alimnyoosha.
Sikiliza ndugu, Jenerali alizoea kutema mbovu kwa Mwinyi, kwa kuandika machapisho yasiyo na heshima kwa Mwinyi lakini mzee Mwinyi hakumfanya kitu, alimuacha tu.
Nakumbuka miaka miiingi sana baadae Jenerali aliandika makala ya kuomba msamaha kwa Mwinyi kutokana na uandishi huo
Kipindi cha utawala wa BWM, aliingia anga za BWM, akaamua kumnyoosha, ndiyo sababu ya chuki yake kali kwa huyo mzee
Sina cha kukuuliza maana tayari umeshasema Amani Karume alitaka kuongeza miaka ya kutawala zaidi ya ile 10 na alichukua form kabisa wkt hakuwahi hata kuchukua form.Unajua sababu za ugomvi wao?
Ulimwengu ana wivu na hasira juu ya Mkapa.
Kama hujui sema tukujuze
Amani aligombea mara 2 mbona kichwa chako kizitoSina cha kukuuliza maana tayari umeshasema Amani Karume alitaka kuongeza miaka ya kutawala zaidi ya ile 10 na alichukua form kabisa wkt hakuwahi hata kuchukua form.
So mpk hapo naona we mwenyewe unahadithiwa tu/stories.
Ni vema akawa na akiba ya maneno maan pamoja na hiki kinachofanya ajipambanue atambue kuwa BWM ameacha kivuli chakeJamaa huwa hana unafiq
Ni Mzee MwanakijijiMkuu,uchaguzi huu tenda zimekaaje, 2015 tulipiga mipango maisha yakaenda japo wananzengo walituchana balaa
Wewe na Mwanakijiji mmetutupa mnapiga mipango kivyenu
Keep it real, dawg!You think so?
I thought he kept it đź’Ż, with tact.
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.
Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.
Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
Mkapa hakuwahi kufanya mahojiano na mwandishi mzawa? Alikuwa anawadharau waandishi wa nchini kiasi hicho?
Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!