Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!

Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!

Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!

bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!

By the way huyu mkoloni mweusi amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.

I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!

HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!

mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.

I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!

Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Hapa naona udini tu umekutawala tunashindwa kujua logic yako ni ipi
 
Mwamba anachuki kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu alikuwa kiongozi wa nyadhifa mbali mbali serikalini lkn mwisho wa siku anaambiwa kuwa siyo raia.

Hili jambo kamwe haliwezi kusifiwa kiutendaji na kwa mtazamo wa mwanachi wa kawaida.
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Ofcourse ni comment binafsi iliyojaa chuki na visasi.

Lakini haisaidii, maana tunamheshimu mzee wetu alitujengea taasisi tunazonufaika nazo kama nchi.

Jenerali atulie tu, tunatambua mchango wake kwenye tasnia ya habari lakini hana impact yoyote kwa Taifa kama aliyokuwa nayo mkapa.

Zipo sheria nyingi na Tassisi nyingi nchi hii zina Signature ya Mkapa tunanufaika nazo na tutaendelea kunufaika nazo.

Who is Jenerali compared na Mkapa mtu aliyetuletea mifumo kama vile VAT, NSSF, Mkukuta, Mkurabita, MMEM, MEMKWA, TAMISEMI, Uwanja wa Taifa, TANROADS NHIF na mingine mingi?

Chuki na visasi ni dalili ya udhaifu
Duh...!
Yaani umeenda nje ya hoja kabisa. Hakuna anayemlinganisha Jenerali na Mkapa. Wako kwenye level tofauti kabisa.
Hoja hapa ni maoni binafsi ya Jenerali kwa Mkapa. Wewe ulivyotaka aseme hajasema, na jibu liko wazi tu, hamfanani kimawazo na Jenerali na usi-force mfanane. Unaweza kuchukia au kupenda alichosema ni hiyari yako. Kama una hoja ya kumjibu fanya hivyo. Unaposema ana chuki na visasi ebu jaribu kijenga hoja yako hiyo tuone hiyo chuki na visasi vya Jenerali kwa Mkapa. Nimesililiza hayo mahojiano kuna sehemu pia anakubali kuwa Mkapa alifanya vizuri.
 
Safari hii mipango yote anayo mgombea, kila kitu anafanya yeye!
Mkuu,uchaguzi huu tenda zimekaaje, 2015 tulipiga mipango maisha yakaenda japo wananzengo walituchana balaa
Wewe na Mwanakijiji mmetutupa mnapiga mipango kivyenu
 
Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!

Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!

Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!

bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!

By the way huyu mkoloni mweusi amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.

I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!

HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!

mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.

I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!

Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
Umeanza vizuri..nilianza kukubali nondo zako..kakini katikati umeanza chuki za 'kafiri' na matusi kwa wakristo kupitia mgongo wa mkapa
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Jenerali inaonekana bado ana hasira za kunyang'anywa uraia na kunyimwa uwaziri wa habari na utangazaji!

Hakuna binadamu asie na kasoro .. mtu akifa tunatoa sifa njema, tunaondoa vinyongo banaa
Kuna ukweli katika hilo. Binadamu yeyote hakosi kasoro. Lakini toka kale "Maovu ya binadamu, hudumu wakishakufa. Mara nyingi mema yao, huzikwa pamoja nao" William Shakespeare in Julius Caesar.
 
Hakuna 80%,nafikiri tunaweka hisia zetu na preconceived information.
Je unajua Jenerali alikuwa Campaign Manager wa Ben 1995?
Jenerali Ulimwengu ni moja ya watu waliosimama kando ya BWM wakati anatangaza nia ya kugombea urais. Ulimwengu alitumia vema magazeti yake wakati huo, ikiwemo RAI, kumjenga Mkapa na kumpiga vita Mrema, ambaye ndio alikuwa tishio wakati huo.
Baada ya uchaguzi, ambapo Mr. Ben alishinda, Ulimwengu alikuwa akipewa fursa za hapa na pale, bila kupata cheo kikubwa kama tulivyotarajia.

Haukupita muda, Ulimwengu na Mkapa wakaanza kutofautiana, kama vile tu Mkapa alivyotofautiana na Nyerere. Ulimwengu alianza kuikosoa serikali ya Mkapa. Ndipo Mkapa akaanzisha ile adhabu kali ambayo inatumika mpaka sasa, kumtangaza mtu siyo raia.

Ulimwengu hakuwahi kumsamehe Mkapa.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mwaka 2015 kwenye mkutano wa NEC kumchagua raisi wa awamu ya tano , mwenyekiti wa chama ni rais kikwete.
Kabla ya kikao imeshajulikana Lowassa kakatwa na majina ni JPM, Membe, January, Migiro na Amina.
Sasa kikwete ameingia tu ukumbini wameanza kuimba, tuna imani na lowassa oya oya oya ...... badala ya kusema Kikwete.
Hali ya ukumbini ilikuwa imechafuka kabisa.
Mkapa akamuomba kikwete aseme neno kidogo.
Mkapa akapewa ruhusa
Mkapa akawaomba wajumbe wakae kwanza
Wajumbe wakaa
Mkapa akawauliza kama kuna mtu anayepinga Lowassa kukatwa asimame kwa miguu yake.
Kama kuna mtu hakubaliani na maamuzi ya Amiri jeshi mkuu, rais w JMT na mwenyekiti wa CCM asimame kwa miguu yake.
Hakuna aliyesimama na ndio utulivu ukarudi.
Chezea kusimama hadharani kumpinga Amiri Jeshi mkuu.
kauli ya kishujaa mno hii
 
Generali alifanyiwa umafia mara mbili miaka ya 70 walipokuwa pamoja kama alivyosema mwenyewe alitupwa porini wala hakumbuki nafasi aliyopelekwa na mara ya pili ni 1995 wakati wa harakati za kulinda mapinduzi, Generali alikuwa upande wa dhidi ya Serikali alipoonesha hadharan kazi za Kikosi cha Polisi FFU all in all watu wote hatuwezi fanana mawazo
Mkuu Pohamba wewe kwa mtazamo wako na uzoefu wako kisiasa unaona walivyo mfanyia figisu zile kipindi hicho zinafaa?
 
Back
Top Bottom