Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Wakati wanaanzisha mwendo kasi alisema anaona watu wanakwaruza tu barabarani kazi haieleweki! Sasa mwendo kasi umekamilika na barabara zinaonekana, mabasi yanachapa mwendo. Ulinwengu kuna mambo (baadhi) anapinga pasipo sababu.
 
Jargon huniwezi, na facts huniwezi. Usitake kusema hii ni jargon tu.

I have never claimed to not be privileged, in the Tanzanian context.

Is that what you refer to? I have toutwd my Oysterbay and Upanga credentials, countless of times. I vacationed at my grandmas Masaki place Sea Cliff and Yacht Club way before it was fashionable. I stated that here, very transparently. I think we have a street around there.

Where is the beef?

Najikuta kueleweka hapa ni tatizo.

Did I ever claim to be poor or underprivileged here?

Mimi nimesema mara kadhaa hapa kwamba nimeanza kutembea corridors za Ikulu ya Tanzania tangu niko tumboni mwa mama yangu. Did you miss that?

Siku moja mama yangu akiwa mjamzito na mimba yangu, kwenye kona ya Ikulu, Rais Nyerere bado kidogo agongane naye. Nyerwre alivyokuwa gentleman aka apoligize profusely. Mama yangu alinihadithia akimuelezea Nyerere kama the consummate gentleman. Mama alifikiri Nyerere atamkaripia, akamkuta mtu sooo chill. Yani Nyerere alikuwa more concerned kuhusu Mama yangu kuliko alivyokuwa na concern kuhusu yeye mwenyewe.

So.

1. I never claimed to be part of the lumpen ploretariat, if anything nimesema quite the opposite.

2. Kuna vitu mtu unazaliwa umevikuta tayari, Huna haja ya kuviombea msamaha. Sasa mimi niko tumboni mama yangu anafanya kazi Ikulu na Nyerere na Nyerere anamuomba msamaha kwa kutaka kugongana naye katika corridor za Ikulu, unataka mimi nikuombe msamaha leo kwa sababu Mama yangu alijuana na Nyerere miaka hiyo? What else, do you want me to donate my entire salary I qorked for to you too? WTF! Yani kama baba yako kaogopa umande unataka mimi nikuombe msamaha wewe?

3. Mimi ungeweza kunilaumu kama ningekuwa mtoto wa mtaani halafu ningetumia ukweli kwamba mimi ni mtoto wa mtaani hapo Dar najuana na familia za Nyerere (Andy ninetafsiri naye vitabu kabla hajawa a recluse), Mwinyi (nimempiga makofi mtoto wake tangu tuko standard four), Mkapa (you already know about homeboy from above). By Kikwete's reign I was already in New York, Ridhiwanibm used to come to us for us to sell shoes to him, and we ignored him.

Sasa mimi ambaye hata ukiacha hao marais naweza ku cite majina ya kina Makwaia na Maruma, unataka kuniwekea kijicho kwa kuwajua?

Yani leo nimejitoa nchini nisije kuwa kama Hussein Mwinyi mseme huyu mtoto anasafiria nyota ya Baba yake, bado unanisema vibaya?

Nimekuja New York ambako sina shangazi wala mjomba, precisely because nataka nianze maisha mapya ambako hakuna mtu atakayeweza kusema "wewe mama yako alifanya kazi Ikulu ya Nyerere, na mafanikio yako ji sababu hiyo".

Nimepigaba mqenyewe na wazungu kufika hapa nilipo.

Na bado unataka kunionea kijicho?

Sasa ningefanikiwa hapo kwa bi mkubwa ambapo nina viunga vyangu na nina nyota mabega yote kulia na kushoto najua kushuka bonde la Ofisi ya Waziri Mkuu kwenda ferry na mageti yote ya Ikulu nishapita kabla sijazaliwa, ningekuwa nimetoboa hapi ungesemaje?
Nilikuwa sikukuelewa vizuri mwanzoni,baada ya kusoma comment yako tena nimekuelewa,uko pamoja na Ulimwengu!👊
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!

Nadhani angeipotezea hii interview.ameonyesha hana utamaduni wa kitanzania(labda ndiyo maana aliwahi tiliwa shaka juu ya urai wake).Sisi Wa-Tanzania mtu aliyefariki huwa anafariki na mabaya yake yote ila yale mazuri huwa yanabakia.Kimsingi haya aliyoyasema ni mageni kwenye masikio yetu,lakini hatukuyahitaji yasikike kwa sauti kubwa hivyo ikiwa hata marehemu mwenyewe bado hajazikwa.Au hakujua kwamba anaenda hewani .Inawezekana amechukua fursa ya kuzungumzia upande mwingine wa mzee Ben.maana sasa hivi tunasikia zaidi mchango wake kwa Taifa,lakini najiuliza pia haya mabaya yote ni kwa faida ya nani,sababu pia nilitegemea kwa nguli kama Ulimwengu angeongea kwa ku-balance.Kitendo cha kusema hakuna mazuri ya kukumbukwa nadhani hapo pengine palihitaji neno lingine mbadala.Nakumbusha tu kwamba haya maneno yake yamerecordiwa.
 
Ukweli lazima usemwe!! Sio kuwa mnafiki na ndio desituri yetu waafrika, mtu akimzungumzia vibaya marehemu anaonekana wa ajabu!!!
Jenerali sio mkweli, ni mnafiki, na anashindwa kutofungamanisha maoni au uchambuzi wake na chuki binafsi alizonazo yy
 
Nadhani angeipotezea hii interview.ameonyesha hana utamaduni wa kitanzania(labda ndiyo maana aliwahi tiliwa shaka juu ya urai wake).Sisi Wa-Tanzania mtu aliyefariki huwa anafariki na mabaya yake yote ila yale mazuri huwa yanabakia.Kimsingi haya aliyoyasema ni mageni kwenye masikio yetu,lakini hatukuyahitaji yasikike kwa sauti kubwa hivyo ikiwa hata marehemu mwenyewe bado hajazikwa.Au hakujua kwamba anaenda hewani .Inawezekana amechukua fursa ya kuzungumzia upande mwingine wa mzee Ben.maana sasa hivi tunasikia zaidi mchango wake kwa Taifa,lakini najiuliza pia haya mabaya yote ni kwa faida ya nani,sababu pia nilitegemea kwa nguli kama Ulimwengu angeongea kwa ku-balance.Kitendo cha kusema hakuna mazuri ya kukumbukwa nadhani hapo pengine palihitaji neno lingine mbadala.Nakumbusha tu kwamba haya maneno yake yamerecordiwa.
Lakini mbona hakuna baya ambalo Jenerali kalisema.

Hajawa disrespectful.

Au mlitaka aseme kuwa Rais Mkapa alikuwa mtakatifu?
 
Uuze viwanda vyako vyote na mashirika ulipe madeni unabakia na nini? Agekuwa kichwa angegawa container terminal ya TPA ambayo ndio ilikuwa kitengo kinachoingiza pesa nyingi?
Maaharti ya imf hao hao mabeberu mnaowaaifia saiv wanakuza demokrasia
 
Wewe hutaweza kujua ...kwa sababu hutaki kujua dirty politics za marekani...
Hujajibu swali!

Umeulizwa nani alikuwa deported kwa sababu ya kuikosoa serikali ya Marekani?
 
tunataka watu wanaojitambua kama hawa ambao siyo wanafiki
Huo sio utamaduni was Mtanzania kumsema vibaya marehemu...huyo sijui Nani amefanya kitu kibaya kabisa...Nina hakika wengi wamehifadhi maneno yake..nimezungumza na watu kadhaa na ambao wore wamekasirishwa na maneno yake..bila kumung'unya maneno kauli yake dhidi ya marehemu ni ya hovyo kabisa
 
Nilitegemea wanaomsema waje na facts, lakini naona emotions tu.

Kila Nyerere ana Kasella Bantu wake. Na Ulimwengu ni kama Kassella Bantu wa Mkapa.

Hiyu mtu anamjua Mkapa muda nrefu, na kuna mengi sana angetaka kumchafua zaidi angeweza, lakini kaishia kwenye issues tu.

Mkapa ana kiburi cha kimataifa. Alishawahi kumpaka Tony Blair, Waziri Mkuu wa Uingereza, kwenye mkutano wa Commoneralth Australia mwaka 2002, kuhusu Zimbabwe, mpaka Tony Blair akamuomba urafiki amuweke karibu asimtie aibu. Akawa katika panel ya eminent people.

Wakati Kambona alipopishana na Nyerere kimawazo kuhusu Azimio la Arusha, Nyerere alikuwa anaamini atabaki kuwa rafiki yake tu. Nyerere alikuwa mgumu sana kuamini kwamba Kambona atakuwa adui wake wa kisiasa. Mkapa ndiye aliyekuwa anampa Nyerere maneno yote aliyokuwa anasema Kambona kumbeza Nyerere. Kwanza Nyerere hakutaka kuamini. Ila baadaye Mkapa akawa anamsisitizia sana Nyerere kwamba Kambona si mtu mzuri anakusema vibaya sana, ndipo hapo Nyerere akaanza kuona Kambona alikuwa anamsema vibaya. Kambona akatishika mpaka kukimbia nchi. Aliyekuwa anampa maneno karibu yote Nyerere alikuwa Mkapa.
Snitches get stitches
 
Kabisaaaaah
 
Huo sio utamaduni was Mtanzania kumsema vibaya marehemu...huyo sijui Nani amefanya kitu kibaya kabisa...Nina hakika wengi wamehifadhi maneno yake..nimezungumza na watu kadhaa na ambao wore wamekasirishwa na maneno yake..bila kumung'unya maneno kauli yake dhidi ya marehemu ni ya hovyo kabisa
wacha iwaume amesema yaliyokweli yanayomhusu
 
Back
Top Bottom