MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,411
Wacha chepeo liitwe chepeo na si vinginevyo.Uzuri wa Jenerali huwa hakwepeshi wala kuremba
Wacha chepeo liitwe chepeo na si vinginevyo.Uzuri wa Jenerali huwa hakwepeshi wala kuremba
Ukweli lazima usemwe!! Sio kuwa mnafiki na ndio desituri yetu waafrika, mtu akimzungumzia vibaya marehemu anaonekana wa ajabu!!!Ulimwengu is being harsh unnecessary.
Uzuri wa Jenerali huwa hakwepeshi wala kuremba
Babu seya na familia yake hawatauzunika jk akifa, lowassa na wanamtandao hawatauzunika pia.Kusema kweli kifo cha Mkapa hakijaniuma hata kidogo. Nakumbuka tu ushenzi aliofanya Mwembechai kwa watu wasio na hatia. So far Kiongozi pekee kama ikitokea akatangulia itaniuma kiasi fulani ni Kikwete peke yake! Nasema Kikwete peke yake! Labda aje atokee mwingine!
Ulimwengu achunguzwe! Kichwa yako haupo sawa!for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
I dont understand why they had such a profound nemesisAlimtesa Jamaa Sana
Ali rest alipokuwa lushoto sasa ni zamu ya ku suffer tu!Mambo mazito hayo... RIP Ben
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Akijaribu kanamtafuna na hilo analijua ,labda anavizia Magu amalize utumishi wa umma
maelezo yake ni one sided, not verifiable
Uuze viwanda vyako vyote na mashirika ulipe madeni unabakia na nini? Agekuwa kichwa angegawa container terminal ya TPA ambayo ndio ilikuwa kitengo kinachoingiza pesa nyingi?Ni raisi pekee,kama sio ktk nchi za Afrika,aliyeweza kukusanya mapato,na kuanza kulipa madeni ya nje,ya world bank,na IMF,
Ila alikuwa haambiriki,ubinafsishaji,aliingiza nchi chaka
baada ya kuwa Rais alifanya mkutano na waandishi wa habari.Yes,kama kumbukumbu zangu ni sawa.
Aliguswa huyo, muulize vzrAnaishi hapahapa Bongo na anafahamu mipaka yake ya kuongea na kutumia freedom of speech.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Na lazima mtakula sana mataoishi yenu,!Kusema kweli kifo cha Mkapa hakijaniuma hata kidogo. Nakumbuka tu ushenzi aliofanya Mwembechai kwa watu wasio na hatia. So far Kiongozi pekee kama ikitokea akatangulia itaniuma kiasi fulani ni Kikwete peke yake! Nasema Kikwete peke yake! Labda aje atokee mwingine!
Kaka za siku?Hata Mwinyi tuna hasira nae sana!aliuza Loliondo kwa waarabu hadi leo ni shida tupu!
mbona hata meko anasema kila siku analipa deni la nje kwa pesa za ndani au huwa humsikiiNi raisi pekee,kama sio ktk nchi za Afrika,aliyeweza kukusanya mapato,na kuanza kulipa madeni ya nje,ya world bank,na IMF,
Ila alikuwa haambiriki,ubinafsishaji,aliingiza nchi chaka