The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,663
- 2,293
Du noma hiyo !!Uuuzwaji wa nyumba za serikali,ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma,Net group solution......R.I.P Mzee wetu.
Du noma hiyo !!Uuuzwaji wa nyumba za serikali,ubinafsishaji wa Mashirika ya Umma,Net group solution......R.I.P Mzee wetu.
Swali zuriKuna cha uongo ama uzushi katika alichokisema Jenerali?
Okay mbona Zakaria kataka kutekwa au kukamatwa na hao Jamaa ( waaiojulikana)Aliunda TISS hii ya kisasa ambayo kszi yake ni kukusanya taarifa na kuzianalyse na kupendekeza action, kabla ya hapo hao jamaa wa Usalama wa Taifa nao walikuwa wakikamata watu etc.
Kiufupi alisaidia kuiweka breki hii taasisi isiumize watu hovyo
Sikuwahi kujua kama Ulimwengu ni mbwa kiasi hiki.[emoji15][emoji15][emoji15] Huyu jamaa anaishi nchi gani ?
Tusubiri ,labda anaandaa mswada.Sijamsikia kabisa Jenerali Ulimwengu kwenye msiba huu wa JPM.
mkuu hapa uliwadanganya wenzio. television ya taifa ilikuwepo toka wakati wa nyerere na hyo the citizen ilikuwepo hata kabla ya mkapaJenerali kaonyesha immaturity kubwa kwenye hii Interview.
Mkapa kipindi cha utawala wake Alidhibiti mfumuko wa bei, hata nauli ya daladala ilibaki shilingi 150 kwa muda mrefu sana kwenye utawala wake
Alipandisha kipato cha mtanzania kutoka dola 170 kwa mtu hadi 500 kwa mtu kwa mwaka.
Alijenga Taasisi imara, TCU, NHIF, NSSF, TANROADS, LOANSBOARD.
Alikuwa na Programmes za maendeleo kama vile MKUKUTA, Mkakati wa kuondoa umasikini Tanzania, MMEM Mpango wa Elimu ya Msingi, MEMKWA, MKURABITA
Ni Mkapa ndiye aliyewaita wenye magazeti ya Mwananchi na The Citizens waje wawekeze Tanzania
Ni Mkapa ndiye aliyeanzisha TV ya Taifa (TBC1)
Ni Mkapa ndiye aliyetujengea uwanja bora kabisa na wa kisasa wa mpira hapa Dar
Pia alikuwa Jasiri kukiri makosa na kurekebisha, Serikali yake ilipounda Bodi ya Parole na kuweka wakiristo watupu, alikuwa wa kwanza kuona tatizo na immediately kuamua kuivunja na kuiunda upya.
Mitihani ya kidato cha nne ilipovuja kama njugu mwaka 1998, Aliifuta mitihani na kuleta mingine.
Waislamu walipolalamika kuwa hawajanufaika ipasavyo na matunda ya uhuru katika elimu, aliwapa majengo ya Tanesco wajenge chuo chao lakini wakati huohuo pia akabalance kwa kuwarudishia makanisa baadhi ya shule zao zilizochukuliwa na Nyerere
Sasa Jenerali Ulimwengu asilete chuki zake binafsi kwenye msiba wa mzee wetu.
Na kabla ya kuwa rais, Benjamin Mkapa alifanya kazi nzuri sana kama waziri wa. mambo ya nje kipindi cha Vita vya Kagera na pia alifanya kazi nzuri sana kwenye ukombozi wa kusini mwa Afrika
Mzee Mkapa katutoa mbali, Jenerali akae na chuki zake lakini tunayo rekodi nzuri ya kutukuka ya mzee wetu
/Mmmh.... Wakati wa Nyerere upi? 1985 na kabla? Mkapa kaanza kutawala mwishoni mwa mwaka 1995 mpaka 2005. Una maana TBC1 imeanza kabla ya 1995?mkuu hapa uliwadanganya wenzio. television ya taifa ilikuwepo toka wakati wa nyerere na hyo the citizen ilikuwepo hata kabla ya mkapa
Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!
Asante..Sasa nazidi kumuelewa ulimwengu ni mtu wa namna gani...hovyo kabisa huyu.Huyu jamaa hajawahi kupikika chungu kimoja na marais wote wa Tz walioleta maendeleo ya kweli Tz! Hakupikika chungu moja na JK Nyerere, hakupikika chungu kimoja na Mkapa, na wala hakupikika chungu moja na JPM!
Anasubiri wakifariki ndio anamwaga sumu.Asante..Sasa nazidi kumuelewa ulimwengu ni mtu wa namna gani...hovyo kabisa huyu.
JPM ALILETA MAENDELEO AU UMASKINI WA KUTISHA?Huyu jamaa hajawahi kupikika chungu kimoja na marais wote wa Tz walioleta maendeleo ya kweli Tz! Hakupikika chungu moja na JK Nyerere, hakupikika chungu kimoja na Mkapa, na wala hakupikika chungu moja na JPM!
Jib unalo!JPM ALILETA MAENDELEO AU UMASKINI WA KUTISHA?
Mnafiki tu huyo hana lolote. Awadanganye wasiomjua.Uzuri wa Jenerali huwa hakwepeshi wala kuremba
Duh!
Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!