Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,952
- 62,841
Kuna cha uongo ama uzushi katika alichokisema Jenerali?
maelezo yake ni one sided, not verifiable
Kuna cha uongo ama uzushi katika alichokisema Jenerali?
Yeah nakumbuka hadi wana harakati waliingiliana ndaniSio nusu amvue, Bali alimvua na akaomba ule wa makaratasi, kwa sasa Ulimwengu sio raia wa kuzaliwa
Mkapa katengeneza mambo ya kipuuzi, mpaka sasa CCM wanaendelea kutumia uraia kama fimbo kwa wakosoaji wake.Akampoka na uraia
Hahaha ok tusubiri tuone kwa kauli yake hiyo...tusubiri...ningekuwa ni Mimi ningejinyamazia tu...Alimtesa Jamaa Sana
One sided kivipi?maelezo yake ni one sided, not verifiable
Sasa Kama kweli siyo raia what is the problem?! USA ukikosoa utawala na Kama siyo raia unakuwa deported..Mkapa katengeneza mambo ya kipuuzi, mpaka sasa CCM wanaendelea kutumia uraia kama fimbo kwa wakosoaji wake.
Latest Victims.
- Askofu Kakobe
- Askofu Niwemugizi
- Aidan Eyakuze
- Eric Kabendera
Kusema kweli kifo cha Mkapa hakijaniuma hata kidogo. Nakumbuka tu ushenzi aliofanya Mwembechai kwa watu wasio na hatia. So far Kiongozi pekee kama ikitokea akatangulia itaniuma kiasi fulani ni Kikwete peke yake! Nasema Kikwete peke yake! Labda aje atokee mwingine!
Taasisi Imara Tanzania ni Ipi ?maelezo yake ni one sided, not verifiable
maelezo yake ni one sided, not verifiable
Hujui Unachozungumza.Sasa Kama kweli siyo raia what is the problem?! USA ukikosoa utawala na Kama siyo raia unakuwa deported..
Taasisi Imara Tanzania ni Ipi ?
Jamaa huwa hana unafiq
Huyu jamaa ndio anatakiwa kuitwa JIWE
Ulimwengu is being harsh unnecessary.
Kiukweli alichotufanyia huku Pemba, hatuwezi kumsamehe, Nina imani Pilato anasubiri roho yake kwa hamu
Nimesikiliza mpaka mwisho wa mahojiano na Jenerali amejibu kile alichoulizwa hasa kuhusu maoni yake.Hayo ni maoni yake na nakumbuka kuwa kwa kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kufanya mahojiano ya mwandishi wa habari mzawa.
Mimi binafsi kuna mazuri ambayo alifanya na mojawapo ni kujenga mifumo ya kiserikali,hii TRA tunayoiona leo,kisomo kwa watoto waliokosa nafasi (MEMKWA) na alimudu kudhibiti inflation kwa miaka yote kumi.Pia aliweza kutoa pesa kwenye mifuko ya watu binafsi na kuirudisha serikalini kimya kimya (Enzi za Mwinyi pesa ilikuwa mifukoni mwa watu tena wengeine kwa ujanja ujanza).Ukiondoa ujeuri wa Kimakua naona alijitahidi sana kulijenga Taifa.Mengineyo alishatubu kwenye kitabu chake.
Ukweli mtupu bila kupindisha.
for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
nyie wapemba acheni kulia lia,kwani mkapa alikuwa rais wa Zanzibar ? ,kosa ni lenu ,kwani rais wenu alikua na kazi gani ?Rest in peace babu nkapa hakika wapemba tutakukumbuka kwa kazi nzuri uliyofanya ya kuua ndugu zetu 2001
jamaa niliona mwaka jana watu waliomjua wanasema alikuwa na dharau fulani hiviYes,kama kumbukumbu zangu ni sawa.
...unafikiri kwa muda mfupi aliopewa kuhojiwa angeweza kueleza hayo yoote uliyoyasema hapo ?!
Hata hiyo JWTZ haina uimara wowote.Jwtz pekee ndio taasisi imara Tz,.zingine zote ni hovyo kabisa.
Mara ngapi ameongea!? Je, unahudhuria/tazama makongamano mbalimbali yanatomuhusu!?Ulimwengu angeweza kugeuzia bunduki yake kwa magu ingekuwa raha sana.
Urais ni jambo la hiari. Hakuna anayelazimishwa.Kapata mafasi ya kutapika negatives za kipuuzi kascha mambo positive na ya msingi, hii inaonyesha Jenerali kajaa chuki dhidi ya Mkapa kwa sababu Mkapa alimnyoosha.
Sikiliza, Jenerali alizoea kuyema mbovu kwa Mwinyi, kwa kuandika machapisho yasiyo na heshima kwa Mwinyi lakini mzee Mwinyi hakumfanya kitu.
Nakumbuka miaka miiingi sana baadae Jenerali aliandika makala ya kuomba msamaha kwa Mwinyi kutokana na uandishi huo
Aliingia anga za BWM, akaamua kumnyoosha, ndiyo sababu ya chuki