Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

Mwaka 2010 kwenye kugombea urais zanzibar, kura za maoni aliongoza Amani Karume akifuatia na Dr . Bilal.
Sasa 2015, utaratibu wa CCM wanaachiana umalize miaka 10, cha kushangaza Amani karume kachukua fomu na Dr. Bilal akachukua fomu.
Kipindi hicho Mkapa ndio mwenyekiti wa chama
Kufika kwenye vikao vya NEC , wajumbe wanajua wanaenda kupiga kura, Mkapa akamwambia Dr. Bilal toa jina lako .
Macho makavu kabisa.
Dr.Bilal akaondoa jina lake kwa unyonge sana.
Mtu mwingine ambaye hataudhulia msiba huu ni Dr. Bilal
Kikwete ndio kumuonea huruma kuja kumpa umakamu urais JMT baadae.

2010 Amani Karume baada ya kumaliza muda wake haku kuchukua form ya kugombea tena urais.,so unamsema Bilali na mtu mwingine.

Na msibani leo Dr. Bilali alikuwepo,imeonyeshwa kupitia clouds tv.
 
2010 Amani Karume baada ya kumaliza muda wake haku kuchukua form ya kugombea tena urais.,so unamsema Bilali na mtu mwingine.

Na msibani leo Dr. Bilali alikuwepo,imeonyeshwa kupitia clouds tv.
Nimekosea badala ya 2010 weka 2000 na 2015 weka 2005
 
Mwaka 2015 kwenye mkutano wa NEC kumchagua raisi wa awamu ya tano , mwenyekiti wa chama ni rais kikwete.
Kabla ya kikao imeshajulikana Lowassa kakatwa na majina ni JPM, Membe, January, Migiro na Amina.
Sasa kikwete ameingia tu ukumbini wameanza kuimba, tuna imani na lowassa oya oya oya ...... badala ya kusema Kikwete.
Hali ya ukumbini ilikuwa imechafuka kabisa.
Mkapa akamuomba kikwete aseme neno kidogo.
Mkapa akapewa ruhusa
Mkapa akawaomba wajumbe wakae kwanza
Wajumbe wakaa
Mkapa akawauliza kama kuna mtu anayepinga Lowassa kukatwa asimame kwa miguu yake.
Kama kuna mtu hakubaliani na maamuzi ya Amiri jeshi mkuu, rais w JMT na mwenyekiti wa CCM asimame kwa miguu yake.
Hakuna aliyesimama na ndio utulivu ukarudi.
Chezea kusimama hadharani kumpinga Amiri Jeshi mkuu.
Kimbisa,Sofia Simba hawakutoka kwny hicho kikao?
 
Hakuna 80%,nafikiri tunaweka hisia zetu na preconceived information.
Je unajua Jenerali alikuwa Campaign Manager wa Ben 1995?
Maneno ya MWISHO ndo yamenila mwanga kwanini Jenerali ulimwegu anampinga Mkapa licha ya kwamba tayari ni marehemu. Asante sana kwa hilo
 
2010 Amani Karume baada ya kumaliza muda wake haku kuchukua form ya kugombea tena urais.,so unamsema Bilali na mtu mwingine.

Na msibani leo Dr. Bilali alikuwepo,imeonyeshwa kupitia clouds tv.
Siku ya kupiga kura mkutano wa NEC ndio Dr Bilal anaambiwa atoe jina lake.
Hapo kule zanzibar Ameshapitishwa
20200725_110706.jpg
 
Mkapa ni Rais mzuri kama wengine, alijenga nidhamu kwenye serikali na kupunguza mfumuko wa bei!!

Mkapa aliondoa pesa nyingi kwenye mzunguko ili kuwatesa raia na kutaka wamtukuze kama ilivyo hulka ya baadhi ya watu wafupi! Mkapa aliharibu kabisa uchumi kupitia uwekezaji wa kukurupuka na hili ameandika mwenyewe anakiri kwenye kitabu chake!! kuna madai ya ufisadi pia yanamhusu kujimilikisha migodi sijui , huko serikalini wanamjua! Mkapa alikuwa mwizi wa mali ya umma kama wezi wengine tu!! lets call a spade a spade!!

ila Mkapa alichangia kufanya nchi kuwa masikini kupitia sera ya ujamaa, huyu alikuwa mjamaa kama Nyerere na Mkulu, i doubt if these excellencies understood/ understand what is ujamaa maana hata wazungu hawakuelewa falsafa ya Nyerere iliyofanya tubaki maskini hadi leo badala ya kuandika socialism wazungu waliacha ibaki Ujamaa!!

Mkapa Ni katika genge la viongozi lile lenye mawazo ya kikoloni mimi ninaloamini ni kikwazo cha maendeleo na litakwisha in 30 years na nchi hii itahamia CAPITALISM and english from chekechea to university na kupaa kiuchumi!!

Mkapa Ni mbaguzi wa kidini wa wazi na muumini wa mfumo kristo manake hata Waziri Mkuu aliweka mkristo mwenzake bila aibu kwa miaka kumi yote Mr Zero , Sumaye!

Mkapa hakuwahi kuwa kiongozi bali mtawala kama Karl Peters mwenye dharau kubwa kwa waandishi wa habari weusi na raia wake aliowaita ‘Malofa’ kwa kuwa alijua kuongea English kwa ufasaha!!

bongo ina mkosi sana ni nchi imeongozwa na watawala wengi kiongozi wa bongo tangu tupate uhuru ni mmoja tu Mkwere japo Magu ni mixed ( mtawala 50/50kiongozi) , Mkwere mtukane tani yako hana habari!!

By the way huyu mkoloni mweusi amekufa kwa ugonjwa gani? tuambieni wanaojua.

I am very sorry to repeat that common people na malofa hawakuweza kumsogelea Mkapa akiwa hai sasa watapita uwanjani kwake kwa misusuru na kumsimanga na kumwambia nyoo, kafiri mkubwa ulituona malofa amka sasa hapo ulipolala we si mbabe! wengine watasema kafiri mwingine kaenda!! wengine watasema Mzee now you are nothing and soon you will become manure!!

HII mambo ya wakristo haifai mtu akifa Kulazwa kwenye masanduku na kuanikwa kila mtu hata wasiokujua wakuone umekwisha umebadilika rangi kuwa kahawia na kuanza kuoza na kutoa harufu ya ajabu yafaa kuwa fundisho kwa viongozi wa juu waliobaki kutenda mema kwa nchi kama Magu maana na wao wataanikwa kama huyu labda wafe na Korona!!

mimi ni muslim nafurahi nikifa sitaanikwa kama hawa viongozi makafiri wanakandamiza waislam kwa mfumo kristo na kuishia kuanikwa uwanjani kama huyu, manake binadamu wengine wenye raha na utukufu na itifaki duniani huwa hawataki kufa sasa roho zao hutolewa kwa minyororo na ziraili sasa hufa kwa shida na kuiacha sura kubakia ya kutisha baada ya roho kutoka! haya Mkapa kapata nini sasa ameiacha dunia iliyomtukuza amekwenda mbele ya Allah na dhambi za kudhulumu waislam haki zao , kwa imani ya kiislam hukumu yake anayo Allah, kulu nafsi dhaalikatul maut.

I am building up a new tradition mtu mwenye mamlaka ya umma akifa kama hivi raia tusifiche machafu yao tuwatukane wafu hawa kwa kila baya walilofanya kwa raia masikini ili viongozi walio hai waone wafu wanatukanwa nao watutundee haki manake kifo na kuanikwa uwanjani watu wapite kuwakagua havikwepeki!!

Mungu amuweke mahali panapomstahili!!
umeanza vizur ila umefika mbele ukamix fmafile
 
Siku ya kupiga kura mkutano wa NEC ndio Dr Bilal anaambiwa atoe jina lake.
Hapo kule zanzibar AmeshapitishwaView attachment 1516452
'Mwaka 2010 kwenye kugombea urais zanzibar, kura za maoni aliongoza Amani Karume akifuatia na Dr . Bilal.
Sasa 2015, utaratibu wa CCM wanaachiana umalize miaka 10, cha kushangaza Amani karume kachukua fomu'

Nilichopingaa ni huo mwaka ulioandika na kusema Karume alichukua form tena baada ya miaka yake 10 kua imeisha.
 
Enzi hizo za awamu ya Nkapa kulikuwa na jamaa akilala ndani ya gari pale legion akiwa kalewa chakari kwa flastrations . Kama sura
 
for 15 yrs now he has been critic to Big Ben kila aandikapo makala ama platform....Lakini kweli apart from his ups n down against Mkapa anakuwaje na 80% negative on Mkapa
Usiumize kichwa chako Mkapa na Jenerali beef lao la siku nyingi na hata Mkapa angekuwa hai asingestuka na hayo maneno .
 
Viongozi wetu hua wanapata akili wakishatoka madarakani-General Ulimwengu.

Lilikua dongo hilo.
 
Viongozi wetu hua wanapata akili wakishatoka madarakani-General Ulimwengu.

Lilikua dongo hilo.
Unajua sababu za ugomvi wao?
Ulimwengu ana wivu na hasira juu ya Mkapa.
Kama hujui sema tukujuze
 
Duh!

Naona Jenerali Ulimwengu na marehemu Rais Mkapa walikuwa hawapikiki chungu kimoja!



Tofauti zao ni pana. Jenerali Ulimwengu alichokoza ugomvi ambao hukuuweza ( he didnt know how to control the outcome of that war which he ignited ) Bwana BM alipo anza kulipiza kisasi aliamua mpaka kumvua Uraia. Kikwete ndiye aliye mrurudisha Uraia wake.
 
Rest in peace babu nkapa hakika wapemba tutakukumbuka kwa kazi nzuri uliyofanya ya kuua ndugu zetu 2001
Japo hasemwi Sana
Kikao cha halmashauri kuu taifa ccm walimkumbuka! Kwa kujua uwepo wa mke wa marehemu Dr.omary
 
Mkapa aliwaambia UKWELI waandishi wa habari wa Tanzania, Twaha aka Jenerali Ulimwengu amesema ukweli kuhusu Mkapa, vijana wa siku hizi wanasema "ngoma droo"
Niwaambie jambo moja wana GT wa JF, watu upenda kuambiwa yatakayo wafurahisha, siku wewe na mimi tukijifunza kuambiwa ukweli ambao siku zote haufurahishi basi tutakuwa tumevuka hatua kubwa na kuwa wakomavu!
 
Mkapa aliwaambia UKWELI waandishi wa habari wa Tanzania, Twaha aka Jenerali Ulimwengu amesema ukweli kuhusu Mkapa, vijana wa siku hizi wanasema "ngoma droo"
Niwaambie jambo moja wana GT wa JF, watu upenda kuambiwa yatakayo wafurahisha, siku wewe na mimi tukijifunza kuambiwa ukweli ambao siku zote haufurahishi basi tutakuwa tumevuka hatua kubwa na kuwa wakomavu!
Mimi sijaona kibaya alichokisema Jenerali. Naona kasema kweli, tena kwa heshima, tajiriba yake na Rais mstaafu Mkapa.
 
Back
Top Bottom