Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......
 
Siwezi kumsifia mtu aliyefanya niishi kama shetani kisa alipunguza makali ya mgao wa umeme, yani nifilisike biashara zangu na vidola vyangu vya trading vichukuliwe halafu nishangilie kuna umeme, aende tu kwakweli.
Wewe ulikuwa huna kitu kabla na baada ya Magufuli.
 
Acha uongo, waliyookotwa kwenye viroba ilikuwa wakati wa Kikwete
 
Pia alifuta ujambazi na hili hamlikumbuki?
 
Matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa matagaaaaaaaa uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii uuuuwwiiiiiiii njoooniii huku njoooniii huku njoooniii huku

Kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa kumekuchaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…