Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Mkuu kama post yako umeijenga juu ya misingi ya kiimani basi kuna kitu unapwaya katika imani hiyo.
Wayahudi ni wanadamu, wewe unasema Wokovu ulitoka kwa wayahudi na Wokovu hautoki kwa wanadamu.
Hiyo imekaaje mkuu?

mkuu usibishane na huyo jamaa,,,, sehem yeyote ktk andiko lolote ukitaja ukatoliki basi huwa anapaniki na kuanza kuongea vitu ambavyo ni vya kidini.......

sio kosa lake, hawa ndo wale wafuata mkumbo!
 
Mkuu unapotea sana waitaly wataanzisha vipi uislamu?
Italy kabla walikua na miungu yao na hii ni kabla ya kuupokea ukristo rasmi
Uislam ulianzishwa na muhamad karne ya 6 na kusambaa mno katika karne ya 7 watu wakilazimishwa kua waislamu kwa nguvu wakiwamo wakristo wa othodoks ndipo waothodoks walipoomba msaada kwa wakristo wenzao wa katoliki na hapa ndipo chanzo cha vita ya msalaba iliyoendelea karne nyingi zilizofuatia

mkuu hivi unajua kwamba hii dunia inaongozwa na kundi moja??? unajua hata hizi dini zilianzishwa na kundi moja kwa sabb zao wanazozijua!? anyway km tutabishana based on research tutaelewana bt tukitumia mioyo hatuwezi elewana!
 
secret societies karibu zote ukizifuatilia saana ndani kabisa unakuta kuna link japo sio direct au nyembamba sana na hii system. Hakuna founder wa Scottish rite, Knights,etc ambao hawakuwa na uhusiana nao. Hii tunayoiongelea ni top and open layer. lakin behind the scene inabidi uanzie kuresearch na hii kitu inaitwa Black pope, na operation nyingi siko katika form ya THESIS +ANTITHESIS=SYSNTHESIS. Sisi raia wa kawaida hapa duniani huwa tunaishia kushangaa matokeo tu
Mkuu unajua haya mashiriki ya iluminati
Freemasons
Eastern order of sacred my stery
Rosicrucia order eckankar
Aquarian my stery order
Aetheius sosiety
Goldeni dava
Science initiation of international society
Haya mashirika ni ya kishetani na hao hao wakatoliki wanayapinga vibaya mno
Na wao wanaupinga ukatoliki vibaya mno na sababu zilizoko ni kua wamekosa kumchomeka mtu wao ndani ya vatikani
 
@concierge Ilibidi niende kwa wale jamaa wa was Jesus black kule intelligence duu wale jamaa ni wapishi wazuri wa uongo
 
mkuu hivi unajua kwamba hii dunia inaongozwa na kundi moja??? unajua hata hizi dini zilianzishwa na kundi moja kwa sabb zao wanazozijua!? anyway km tutabishana based on research tutaelewana bt tukitumia mioyo hatuwezi elewana!
Kundi linaloongoza dunia ni la kishetani likiratibiwa na wayahudi wanaojifanya ni uzao wa abraham isaka na yakobo kumbe hakuna kitu na ndio wanaoratibu vita ya tatu ya dunia na vita hii wanayoiratibu itahusisha waislam na wakristo kutokana na wayahudi hawa ashkenaz ambao ni uzao wa esau
Izrael wanaanzisha chokochoko na na mataifa ya kiislam ili vita ije ionekane ni ya wakristo wanaoipigania izraeli na waoslam wanaoipigania palestina
Ndio maana hua nafurahi sana wakati papa akitembelea nchi mbalimbali hua anautaratibu wa kuonana na waislamu na wakristo wa madhehebu mengine ili kuongeza ushirikiano baina ya ukristo na uislam
Na hapa ndipo papa wa wakatoliki anaponivutia

Izraeli wamekaa kimabavu ndani ya palestina ili kuichochea vita hiyo ya tatu ya dunia itakayowahusisha waislam na wakristo

Izraeli ya sasa ni ya kizazi cha ashkenaz iko kimaslai na ndio wanaongoza iluminati kwa sassa na wana watu kila nchi
Sehemu pekee waliposhindwa kuweka mtu ni vatican na mpaka leo wanaangaika kumweka mtu pale lakini kila wskijaribu mbinu zao zinajulikana
Ndio maana kuna mtu alilazimishwa kujiuzulu pale vatican sababu ni hizihizi
 
Mkuu unajua haya mashiriki ya iluminati
Freemasons
Eastern order of sacred my stery
Rosicrucia order eckankar
Aquarian my stery order
Aetheius sosiety
Goldeni dava
Science initiation of international society
Haya mashirika ni ya kishetani na hao hao wakatoliki wanayapinga vibaya mno
Na wao wanaupinga ukatoliki vibaya mno na sababu zilizoko ni kua wamekosa kumchomeka mtu wao ndani ya vatikani
hicho unachokisema ukizama sana utagundua ni surface knowledge tu of what you know. Kumbuka Secret society is Secret.
fuatilia moja baada ya jingine fore and behind kwa umakini unaweza kuongeza kitu. Sitaki kukupinga wala kuunga mkono hoja yako nzuri. I remain neutral.
 
mkuu mimi hawa jamaa huwa nawasoma nikiwa na free time, na aliyenimotivate kupenda kujua na kujifunza vitu vya kizamani ni jamaa anaitwa Robert Green ameandika kitabu kinaitwa 48 Laws of Power. Safi sana

aise robert greene anaijua vyema history za ancient
 
Mkuu unapotea sana waitaly wataanzisha vipi uislamu?
Italy kabla walikua na miungu yao na hii ni kabla ya kuupokea ukristo rasmi
Uislam ulianzishwa na muhamad karne ya 6 na kusambaa mno katika karne ya 7 watu wakilazimishwa kua waislamu kwa nguvu wakiwamo wakristo wa othodoks ndipo waothodoks walipoomba msaada kwa wakristo wenzao wa katoliki na hapa ndipo chanzo cha vita ya msalaba iliyoendelea karne nyingi zilizofuatia
uko sahihi, lkn unatakiwa urudi kidogo nyuma kuwa RC were there before. Na uzame kidogo jinsi ile kitu ilivyoanza.Na hujue nani alikwa adui mkuu wa RC that time even before Islam
Maelezo yako yanapungukiwa na hiyo core knowledge. pale pana vitu interesting sana vinaweza kukufanya kuanza kufikiri upya
 
hicho unachokisema ukizama sana utagundua ni surface knowledge tu of what you know. Kumbuka Secret society is Secret.
fuatilia moja baada ya jingine fore and behind kwa umakini unaweza kuongeza kitu. Sitaki kukupinga wala kuunga mkono hoja yako nzuri. I remain neutral.
Ninachogundua kwako we unataka league ya ubishi tu
Huu ni ukweli ambao upo labda uukatae kwa sababu zako
 
Ninachogundua kwako we unataka league ya ubishi tu
Huu ni ukweli ambao upo labda uukatae kwa sababu zako
Sio ligi nilitaka tupanue mawzao katika multiple dimensions na possibilities,
Mfano huwezi kuwataja rosecrusian bila kumzungumzia mafounders na key runners wa hii michakato wameptita katika institutions au vyuo vilicyochini au vilianzishwa na hawa jamaa.
Mfano Christian Rosenkreutz hata kama walikuja kuasi baadae
Otherwise uko sahihi kabisa kila kitu. Tunaweza kuishia hapo. Tukubaliane kukubaliana chief.
 
uko sahihi, lkn unatakiwa urudi kidogo nyuma kuwa RC were there before. Na uzame kidogo jinsi ile kitu ilivyoanza.Na hujue nani alikwa adui mkuu wa RC that time even before Islam
Maelezo yako yanapungukiwa na hiyo core knowledge. pale pana vitu interesting sana vinaweza kukufanya kuanza kufikiri upya
Nimesema hapa adui ya mtu ni mtu wake wa karibu
Madhehebu yako mengi sana hivi sasa adui wa katoliki hawezi kua muislam bali yule anaemjua vizuri tangu zamani
Hivyo hivyo na wakatoliki wana maadui zao ambao ni wakristo wenzae
Japo wskikutana wanacheka na kula pamoja lakini chuki ile haipotei
 
Wale Wataliano wa kipindi kile hawakuwa Wazungu kama mlivyodanganywa na kukaririshwa ile dola ya Kirumi ilikua chini ya watu black wote walikua ni black, wazungu walikuwepo ila walikua ni watumwa wa hao blacks. (Tehe tehe tehe...ninajaribu na mimi kuandika historia mpya kama wafanyavyo watu fulani humu)
😛😛😛😛😛😛
 
sio kweli bro dola ya mongolia ndo dola zembe duniani..fuatilia vizuri jinsi walivyopokea kipigo cha mbwa mwizi pale har magedon na taifa la misri

Si kweli kivipi wakati Mongolia ndiyo the Largest land empire ever created?
Japo Egyptian Mamluk waliwaponda sana.
Lakini hakuna dola iliyokuwa ina sehemu kubwa ya ardhi kama Mongolia. Please do your homework
 
kiongozi unmaanisha dola iliyokuwa chini ya huyu mbabe Genghis Khan, akitawala kuanzia china hadi east europe
 
Back
Top Bottom