Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Huu mjadala umenifundisha kitu kimoja ambacho nakiamini kwa kiasi kikubwa tangu zamani...DINI ZOTE NI KAZI YA BINADAMU na zilianzishwa kwa maslahi ya binadamu,na majority ya wazungu siku hizi hawaamini hata kama kuna mungu na wengi wameacha kwenda church kabisa makanisa sundays yamejaa vizee tuu
 
Teh teh teh,
Kwa minajili hiyo hakuna Empire kubwa kama Uingereza.
Iliwahi kumiliki kama Asilimia 23 ya Ardhi ya dunia.
The Empire which the sun never sets.
Alikuwa na makoloni mengi na sidhani kama kuna nchi itaweza kufanya hivyo.
Hapa utakuwa sawa kabisa.

Lakini tukirudi kwenye bandiko lako,
Mongolia ilikuwa ni LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED. (Falme iliyomiliki ardhi kubwa kwa moja kwa moja). Alimilikia asilimia 16 ya Ardhi ya dunia.
Uingereza ni kisiwa (MARITIME EMPIRE) kidogo sana kilichotawala wengi kwa dhana nzima ya Ukoloni. Lakini chenyewe siyo THE LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED.

Hivyo basi,
Katika Asilimia 16 ya Ardhi ya Mongol ilikuwa eneo kubwa amabalo halijatengwa na bahari. Uingereza ilitengwa na bahari bila hivyo haina ardhi ya moja kwa moja.
MONGOL LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED while BRITISH WAS THE LARGEST MARITIME HEGEMONY EVER CREATED....

Nadhani utakuwa umenielewa mkuu.
Nilikuekuelewa vibaya mwanzoni, nilijua ni taifa gani limemiliki/tawala ardhi kubwa kwenye huu uso wa dunia.
kwa vigezo vyako nakuunga mkono moja kwa moja.
 
Kuwa mkatoliko, au uwe msabato, katu na kamwe haitakusaidia chochote. Abudu jumapili, au jumamosi yote hayo hayana msaada.
Cha msingi ni kuishi na kuonyesha matunda ya kiroho.
 
Huu mjadala umenifundisha kitu kimoja ambacho nakiamini kwa kiasi kikubwa tangu zamani...DINI ZOTE NI KAZI YA BINADAMU na zilianzishwa kwa maslahi ya binadamu,na majority ya wazungu siku hizi hawaamini hata kama kuna mungu na wengi wameacha kwenda church kabisa makanisa sundays yamejaa vizee tuu
Dini Haina uhusiano na michanganyiko hii. Unatakiwa usimame katikati ya changamoto hizo ukisimamia misingi ya Biblia na sio mawazo na maoni ya werevu wachache.
Kamwe usiache kusali kwa sababu ulaya Hawasali, au kanisani kunamtafaruku au taarifa hizi za conspiracy. God had million ways to save his people. Muamini Mungu nenda kanisani hata kama ukibaki peke yako Hufuati watu. hakuna usalama nje ya kanisa,
 
Nawatambua waital kama walimaji wakuu wa zabibu duniaa namaanisha pia ndio wasambaZaj wakubw w mvinyo...
Nawatambua waitaliano kama ndio kitovu cha dini ya roma.... Nawatambua italy/roma ndio watu wenye historia ya kuwa na milki/kolon nyingi dunia na niwakatili mfano hakuna
 
Dini Haina uhusiano na michanganyiko hii. Unatakiwa usimame katikati ya changamoto hizo ukisimamia misingi ya Biblia na sio mawazo na maoni ya werevu wachache.
Kamwe usiache kusali kwa sababu ulaya Hawasali, au kanisani kunamtafaruku au taarifa hizi za conspiracy. God had million ways to save his people. Muamini Mungu nenda kanisani hata kama ukibaki peke yako Hufuati watu. hakuna usalama nje ya kanisa,
Nashukuru kwa ushauri ndugu, ila mambo ya imani ni utata mtupu lakini mungu mbona hataki kujitokeza kwa wanawe sisi binadamu ili tumjue? na bible inasemaje kuhusu hilo..naona naharibu topic hapa
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu, ila mambo ya imani ni utata mtupu lakini mungu mbona hataki kujitokeza kwa wanawe sisi binadamu ili tumjue? na bible inasemaje kuhusu hilo..naona naharibu topic hapa
Utata unakuja pale ambapo unapokuwa huna imani
 
Italy ilishawahi kutawala eneo kubwa la dunia kama dola la Mrumi mnamo karne ya 27 B.C hadi 1453.

  1. Walitawala Ulaya mashariki, Afrika na Mashariki ya kati.
  2. Wao ndiyo wanchukuliwa kuwa waasisi wa utamaduni wa nchi za magharibi.
  3. Baada ya Wagiriki wao ndiyo waliandika kazi nyingi za falsafa.
  4. Waliongoza siasa za kisasa tangu zamani. Walikuwa na mfumo wa bunge na upigaji wa kura.
  5. Wameanza kutumia mfumo wa sarafu kabla ya kuzaliwa kristo.
  6. Wameanzisha dini kubwa sana duniani: Roman Catholic.
  7. Baada ya Wayahudi wao ndiyo wanafuata kupigana vita nyingi za kidini. Waliwatumia wafalme wa Ulaya kama Richard The Lion Heart kupigana na Waislamu wa kiarabu na kituruki.
  8. Wameandika kalenda hii unayoitumia leo: Gregorian Calendar.
  9. Walikuwa wanapenda sana utumwa kama mfumo wao wa maisha.
  10. Wanaongoza kwa kufanya mauji ya wakristo kwa kinyama kuliko dini yoyote ile. Kuwatupia kwenye simba na ndani ya ukumbi unaitwa Colosseum halafu watu wanashangilia.
  11. Kulikuwa na madanguro makubwa ya makahaba na ushoga ulikuwepo sana.
  12. Walikuwa na jeshi kubwa sana lenye silaha za kisasa na walishinda vita karibia zote kasoro vita dhidi ya Dola la Kiajemi la Parthia. Moja ya kitu ambacho kilipelekea kuanguka kwake.
Ngoja weekend nifanye yangu halafu nitarudi.
Asante kwa ufafanuzi uko vizuri
 
Kuwa mkatoliko, au uwe msabato, katu na kamwe haitakusaidia chochote. Abudu jumapili, au jumamosi yote hayo hayana msaada.
Cha msingi ni kuishi na kuonyesha matunda ya kiroho.
Wewe umefunguka akili, hongera sana.
 
  • Thanks
Reactions: jui
Uko sawa chief, Kuna jamaa anaitwa Ignatus LOYOLA huyu alipewa jukumu la Kuandaa kikosi kazi cha JESUITS watakotapakaa dunia nzima na kuweka misingi directly or indirectly, by force or democracy,(unaweza kugoogle hata viapo vyao). SOCIETY OF JESUS (JESUITS) muhispania huyu aliianzisha 27/09/1540. Wakiandaliwa kusambazwa nchi zaidi ya 112 duniani katika mabara yote sita. walitakiwa kwenda popote watakapoambiwa duniani, Sio lazima wawe makasisi, HAwakutakiwa kuonyesha tabia yoyote specific au special, Walitakiwa kuchukua viapo mahususi na yule elite zaidi alichiukua hadi cha nne. Hawa sio watu wa kukata tamaa kirahisi na sio watu wadogo,
Sasa watu kama hawa walipangwa miaka mingi kitambo sana na sio kwa bahati, hakuna serikali inaweza kubisha, taasisi inaweza kupambana zaidi ya kusurrender kuanzia china, uarabuni, africa ulaya na america.
Ndio maana Kila kiongozi wa kuheshimikawewe sio wadini siasa wala utamaduni Lazima areport pale kupata baraka za mkuu.
Kweli usione chaelea kimeundwa
Magu bado hajaenda
 
Nimefuatilia mwanzo hadi mwisho hakika nimejifunza.Vip kuhusu san Marino inasababu gani ya kuwa ndani ya Italy ikijitegemea kiutawala?
 
ITALIA kweli umafia ulianzia kwao. Kwa walichoifanyia Man U juu ya Pogba ni UMAFIA kabisa
 
Back
Top Bottom