China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

E-zamir

Member
Joined
Jun 21, 2026
Posts
11
Reaction score
25
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu,
na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa yao wenyewe.

Lakini , jambo moja ambalo naamini wengi mtakubaliana na mimi ni kwamba adui nambari moja wa amani duniani ni Uislamu wa itikadi kali.Katika hili nawapongeza sana wamerekani na jamaa zao wa ulaya kwa jitihada walizoweka kupambana na ugaidi. Kadhalika,nasikitika na ninajawa na hofu kubwa nini itakua hatma ya dunia na hasa watu wasiokua waislamu kutokana na namna uslamu unavyoshika kasi na kujipenyeza katika jamii na siasa za mataifa ya magharibi.

Wimbi hili la uvamizi na utekwaji wa kisiasa na kijamii limesambaa kwa kasi katika mataifa karibu yote barani ulaya,yenye nguvu za kiuchumi,Kijeshi na kiushawishi ikiwemo Uingereza,Ujerumani,Italy,France n.k
Marekani nayo haijaachwa salama,idadi ya waislamu katika jamii na serikali ya Marekani inaongezeka kwa kasi kutokana tamaa za madaraka na rushwa katika chama cha Democratic Party,chama ambacho kinatumia uhamiaji haramu kama mtaji wa kisiasa kujipatia kura za "Ahsante kwa kuniruhusu kuingia".

Hali hii inazidi kuwa ya kuogofya ukizingatia kwamba Jamii za wazungu zina kiwango cha chini sana cha kuzaliana(wastani wa watoto 1-2), ukilinganisha na waislamu wavamizi ambao kwa wastani huzaa watoto 4-5.Kwa mwenendo huu wa kuzaliana , si punde waislamu watakuwa wengi kuliko wazawa wa bara la Ulaya na Marekani.

Nawaachia tafakuri hii, Tunajua dhahiri kwamba uislam ni dini inayowataka wafuasi wake kuua au kuwafanya watumwa watu wote wasio waislamu.Itakapofika hatua uislam umeiteka magharibi katika jamii na siasa , Wasio waislamu watakimbilia wapi?

Mimi binafsi naamini mkombozi tuliyebaki nae ni China,Pamoja na kuwa China ina rekodi mbaya katika utetezi wa demokrasia ,China ni moja ya nchi zinazopinga vikali uislamu na imechukua hatua kali za kuzuia usisambae chini mwao.Naamini China itakuja kuwa mstari wa mbili katika mapambano dhidi ya ugaidi Marekani na washirika wake watakapokua wametekwa na UISLAMU.
 
Sio kweli kama unavyofikiri, jamii ya waislam wanaokimbilia nchi za magharibi asilimia yao kubwa kama huelewi wanakimbia uislamu wenyewe na ndio maana wengi wao wakifika huko hata hawaangaiki na huo uislamu tena.

Ni asilimia ndogo tu ndio huangaika na kueneza uislamu kwa jamii ambazo uislamu sio utamaduni wao.

Hivyo hiyo dhana yako ni fikra tu ambayo haishabihiani na uhalisia na ukiangalia vizuri hata katika bara letu hili utagundua kwamba mambo ya dini yanapungua sana hasa kwa vijana wengi na mwishoni mwa karne hii imani za kidini zitakuwa ni ndogo sana miongoni mwa jamii nyingi duniani.
 
waislamu katika jamii na serikali ya Marekani inaongezeka kwa kasi kutokana tamaa za madaraka na rushwa katika chama cha Democratic Party,chama ambacho kinatumia uhamiaji haramu kama mtaji wa kisiasa kujipatia kura za "Ahsante kwa kuniruhusu kuingia".
Umeandika thread bila utafiti, waislam nchi nzima ya US ni kma 1% tu. Sasa hao 1% ndio wamekutisha hadi kufungua uzi?

Hivi hujui threat kubwa marekani ni upagani yaani atheists ndio asilimia kubwa kuliko wakristo kwa sasa. Cha ajabu upeo wako mdogo unakuaminisha waislam ndio tishio kwa ukristo?? Yani 1% ni tishio kuliko atheist walio zaidi ya 30%,?
PR_2025.02.26_religious-landscape-study_01-02.png
 
kali.Katika hili nawapongeza sana wamerekani na jamaa zao wa ulaya kwa jitihada walizoweka kupambana na ugaidi.
Unapotosha, marekani hiyo hiyo imekua ikitumia hayo makundi ya kigaidi ili kulinda maslahi yao na kupindua serikali kadhaa.
Mfano Trump mwenyewe amekiri kuwasaidia Al qaeda wa Syria yaani Al Nussra front na baadae kuitwa Hay'at Tahrir al-Sham (HTS). Yaani USA imetumia pesa zake na silaha kumsaidia GAIDI Al Sharaa kuchukua urais wa Syria. Na mpaka anakua Rais wa Syria alikua kwenye orodha ya CIA ya magaidi wakubwa zaidi duniani.

Sasa kwa mfano huo mmoja je unasemaje marekani inapambana na ugaidi wakati ndio inatenngeneza na kufadhilk magaidi.

Na usisahau pia inafadhili Serikali ya Taleban mabilion ya dollar licha ya kwamba waliiweka kwenye orodha ya magaidi hatari duniani!!

Anyway video ya Trump akikiri kumuweka Al Sharaa serikalini.

View: https://youtube.com/shorts/uTjH6FY_ucg?si=KGvQjU7t0AmVXCrO
 
Umeandika thread bila utafiti, waislam nchi nzima ya US ni kma 1% tu. Sasa hao 1% ndio wamekutisha hadi kufungua uzi?

Hivi hujui threat kubwa marekani ni upagani yaani atheists ndio asilimia kubwa kuliko wakristo kwa sasa. Cha ajabu upeo wako mdogo unakuaminisha waislam ndio tishio kwa ukristo?? Yani 1% ni tishio kuliko atheist walio zaidi ya 30%,?
View attachment 3616599
Waislam hata wakiwa wachache bado ni hatari sana mkuu.Kikundi cha Islamic state kilianza na idadi ndogo tu ya wafuasi waliojieungia kutoka Al qaeda .Lakin ndani ya muda mfupi kilifanya ukatili na mauaji ya kutisha
 
Nawaachia tafakuri hii, Tunajua dhahiri kwamba uislam ni dini inayowataka wafuasi wake kuua au kuwafanya watumwa watu wote wasio waislamu
Biblia unasomaga kweli? Kasome kumbukumbu la torati utaona maagizo ya wayahudi kuua watoto, wababa, wanawake mpaka mifugo ya makabila mengine na wasibakize hata mmoja. So kama issue ni dini basi tuseme dini zote zinaunga mkono utumwa. Uwe una tafiti hoja zako kabla ya kuandika.
 
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu,
na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa yao wenyewe.

Lakini , jambo moja ambalo naamini wengi mtakubaliana na mimi ni kwamba adui nambari moja wa amani duniani ni Uislamu wa itikadi kali.Katika hili nawapongeza sana wamerekani na jamaa zao wa ulaya kwa jitihada walizoweka kupambana na ugaidi. Kadhalika,nasikitika na ninajawa na hofu kubwa nini itakua hatma ya dunia na hasa watu wasiokua waislamu kutokana na namna uslamu unavyoshika kasi na kujipenyeza katika jamii na siasa za mataifa ya magharibi.

Wimbi hili la uvamizi na utekwaji wa kisiasa na kijamii limesambaa kwa kasi katika mataifa karibu yote barani ulaya,yenye nguvu za kiuchumi,Kijeshi na kiushawishi ikiwemo Uingereza,Ujerumani,Italy,France n.k
Marekani nayo haijaachwa salama,idadi ya waislamu katika jamii na serikali ya Marekani inaongezeka kwa kasi kutokana tamaa za madaraka na rushwa katika chama cha Democratic Party,chama ambacho kinatumia uhamiaji haramu kama mtaji wa kisiasa kujipatia kura za "Ahsante kwa kuniruhusu kuingia".

Hali hii inazidi kuwa ya kuogofya ukizingatia kwamba Jamii za wazungu zina kiwango cha chini sana cha kuzaliana(wastani wa watoto 1-2), ukilinganisha na waislamu wavamizi ambao kwa wastani huzaa watoto 4-5.Kwa mwenendo huu wa kuzaliana , si punde waislamu watakuwa wengi kuliko wazawa wa bara la Ulaya na Marekani.

Nawaachia tafakuri hii, Tunajua dhahiri kwamba uislam ni dini inayowataka wafuasi wake kuua au kuwafanya watumwa watu wote wasio waislamu.Itakapofika hatua uislam umeiteka magharibi katika jamii na siasa , Wasio waislamu watakimbilia wapi?

Mimi binafsi naamini mkombozi tuliyebaki nae ni China,Pamoja na kuwa China ina rekodi mbaya katika utetezi wa demokrasia ,China ni moja ya nchi zinazopinga vikali uislamu na imechukua hatua kali za kuzuia usisambae chini mwao.Naamini China itakuja kuwa mstari wa mbili katika mapambano dhidi ya ugaidi Marekani na washirika wake watakapokua wametekwa na UISLAMU.
Oya Talmund ya wayahudi ndio kitabu kinachohalalisha kila asiyekua myahudi auwawe.
 
Biblia unasomaga kweli? Kasome kumbukumbu la torati utaona maagizo ya wayahudi kuua watoto, wababa, wanawake mpaka mifugo ya makabila mengine na wasibakize hata mmoja. So kama issue ni dini basi tuseme dini zote zinaunga mkono utumwa. Uwe una tafiti hoja zako kabla ya kuandika.
Torati ya wayahudi ni katili zaidi kuliko Qur'an. Kama tunaamua kuawahukumu watu kwa kupitia vitabu vyao basi dini zote za Abrahamic ziwe batili.. wote tuwe ma Buddha. Mtoa mada kaandika kwa mihemko na chuki.
 
Umeandika thread bila utafiti, waislam nchi nzima ya US ni kma 1% tu. Sasa hao 1% ndio wamekutisha hadi kufungua uzi?

Hivi hujui threat kubwa marekani ni upagani yaani atheists ndio asilimia kubwa kuliko wakristo kwa sasa. Cha ajabu upeo wako mdogo unakuaminisha waislam ndio tishio kwa ukristo?? Yani 1% ni tishio kuliko atheist walio zaidi ya 30%,?
View attachment 3616599
... anapigana huku anaongozwa na hasira na chuki iliyopitiliza, kwanini asijikwae na kupata za uso?
😅
 
Torati ya wayahudi ni katili zaidi kuliko Qur'an. Kama tunaamua kuawahukumu watu kwa kupitia vitabu vyao basi dini zote za Abrahamic ziwe batili.. wote tuwe ma Buddha. Mtoa mada kaandika kwa mihemko na chuki.
... kasome Bhagavad Gita ya Wahindi halafu urudi hapa! ... dini nyingi ziliundwa wakati makabila husika yakiwa kwenye vita nyingi za kujilinda na kujipanua na hivyo hakuna ambao wameacha kipengele cha 'UMWAGAJI DAMU' katika maandishi yao!
 
Nimetoa mfano wa buddhism sababu dini hiyo haijawahi kufundisha umwagaji damu. Mtoa mada ana uelewa mdogo wa dini,mazingira,historia na siasa.

Ukifuatisha vitabu vya dini rasmi vya dini za Abrahamic kama ni kielelezo tosha za kuzihukumu basi ni kama umeshindwa kutumia ubongo wako kufanya utafiti..
 
Umeandika thread bila utafiti, waislam nchi nzima ya US ni kma 1% tu. Sasa hao 1% ndio wamekutisha hadi kufungua uzi?

Hivi hujui threat kubwa marekani ni upagani yaani atheists ndio asilimia kubwa kuliko wakristo kwa sasa. Cha ajabu upeo wako mdogo unakuaminisha waislam ndio tishio kwa ukristo?? Yani 1% ni tishio kuliko atheist walio zaidi ya 30%,?
View attachment 3616599
Kutumia Takwimu ya Namba kupinga thread ya Jamaa ni kukataa uhalisia.
Waislam huwa hawaheshimu Namba. Mnaweza kuwa Elfu moja wao wapo watatu na wakofisi mtwist Tamaduni zenu na Dini zenu.
Spain ilikuwa conquered ilhali hakukuwa hata na Muislam Mmoja,sijui ikiwa umelifikiria ilo pia.
 
Nimetoa mfano wa buddhism sababu dini hiyo haijawahi kufundisha umwagaji damu. Mtoa mada ana uelewa mdogo wa dini,mazingira,historia na siasa.

Ukifuatisha vitabu vya dini rasmi vya dini za Abrahamic kama ni kielelezo tosha za kuzihukumu basi ni kama umeshindwa kutumia ubongo wako kufanya utafiti..
Ukristo umefundisha wapi kumwaga Damu Bwashee?.
 
Biblia unasomaga kweli? Kasome kumbukumbu la torati utaona maagizo ya wayahudi kuua watoto, wababa, wanawake mpaka mifugo ya makabila mengine na wasibakize hata mmoja. So kama issue ni dini basi tuseme dini zote zinaunga mkono utumwa. Uwe una tafiti hoja zako kabla ya kuandika.
Hizo zilikuwa ni Vita zao za ku-Survive.
Wakati katika uislam kuua asiye muislam ni sehemu ya Ibada.
 
Waislam hata wakiwa wachache bado ni hatari sana mkuu.Kikundi cha Islamic state kilianza na idadi ndogo tu ya wafuasi waliojieungia kutoka Al qaeda .Lakin ndani ya muda mfupi kilifanya ukatili na mauaji ya kutisha
Sasa unafahamu islamic state ilianzishwa na kufadhiliwa na USA? Na hata walioimaliza ISIS ni wapiganaji wa kikurdi (SDF, YPG) na Washia (Hezbollah, IRGC na Popular mobilisation). Maana yake kama tatizo ni waislam kivipi ISIS wamalizwe na waislam wenzio? Hujui kuwa Israel na USA ilikua inawapa silaha na mafunzo ISIS ili wapambane na majeshi ya Iran (IRGC) na hatimaye kumpindua Al Assad wa Syria.
 
Back
Top Bottom