Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Find History Books Masunga Maziku and you will see the arrogance of the Cardinal of France.

Napoleon asked: “Your eminence, are you not aware that I have the power to destroy the Catholic Church?”

The Cardinal answered: “Your majesty, we, the Catholic clergy, have done our best to destroy the church for the last 1,800 years. We have not succeeded, and neither will you.”
 
ale Wataliano wa kipindi kile hawakuwa Wazungu kama mlivyodanganywa na kukaririshwa ile dola ya Kirumi ilikua chini ya watu black wote walikua ni black, wazungu walikuwepo ila walikua ni watumwa wa hao blacks. (Tehe tehe tehe...ninajaribu na mimi kuandika historia mpya kama wafanyavyo watu fulani humu)
Unamzungumzia mzee Mohamed said teh teh
 
mkuu nicolla machiavelli ndio founder wa modern politics ambazo sisi zinatutoa vijasho huku daily, Na principle zake nyingi wanazitumia US kushikisha adabu wanaojifanya wajuaji

teh teh teh!
Nimemsoma Class, jamaa kapinda hadi Pope alisema jamaa ana mapepo akapiga marufuku vitabu vyake.
Jamaa alikuwa kauzu sana.
 
teh teh teh!
Nimemsoma Class, jamaa kapinda hadi Pope alisema jamaa ana mapepo akapiga marufuku vitabu vyake.
Kauzu sana jamaa
mkuu mimi hawa jamaa huwa nawasoma nikiwa na free time, na aliyenimotivate kupenda kujua na kujifunza vitu vya kizamani ni jamaa anaitwa Robert Green ameandika kitabu kinaitwa 48 Laws of Power. Safi sana
 
Italy ukiitaja basi nafarijiiika maana najua Juventus ndo kwao pale Torino kwa bibi kizee. Kule yanapotengenezwa ma Fiat aka mbaula. Halafu the Azzuri timu ya taifa yao balaa. Mbaya zaidi connection yao na Chelsea ni kubwa. Alina Gianluca Vialli, Zola Di Matteo na sasa Super coach Antonio Conte. Forza Italya!
 
Kisiasa, kihistoria na kitamaduni itakuwa ni vizuri zaidi.
Sawa nakupata mkuu maziku.
Mipango madhubuti ilipangwa miaka 100 baada ya yesu chini ya jamaa watatu Apologists (Papa Clement 1, Justine Marty na Augustine wa Hippo). na hawa walifanikiwa kujieneza na kujiimarisha mipango yao maana kipindi hicho Utawala wa kirumi ulikuwa umeikalisha dunia nzima ya wakati huo maana uliparaganyika rasmi 476AD ukiitawala dunia kwa miaka zaidi ya miaka 600 mfululizo, na kipindi hicho ndio mipango na michoro madhubuti ya dunia hii ilipangwa na kuichorwa kwa umakini , uangalifu na ustadi wa hali ya juu pote kwa foreground na background. Ndio maana viongozi wote wakubwa wenye kuheshimika duniani lazima wareport pale na kupewa miongozo japo wanaonekana hawana hata kajeshi kadogo.
 
Okay thanks. But what are their backbone as Roman Catholic church? What was the secret behind their success?

It is a mystery.
But if you read history books, particularly the one called 50 years in the Church of Rome and The Vatican Assassins you will get something.

Pope ordered The Order of Jesus A.K.A The Jesuits to travel in every corner of the world to learn every tongue and culture.
Something which they did. Before Europeans went to colonize Asia and Africa the Jesuits were already here.

Hitler once said that "Of all the world political structure none is very sophisticated and well organised like the Catholic Church". He then ordered Heinrich Himmler to organise the institutions of the third Reich to imitate the Catholic church.
 
Unamzungumzia mzee Mohamed said teh teh
...amepata kampani, kuna jamaa wameibuka wapo huko 'Intelligence Forums' wanajidai wao ni wasomi kuliko wengine wote. Wanadai historia ilipotoshwa na sisi tusio na akili tumekarili. Wanadai eti akina Yuda, waebrania wote ni black wachina na ukanda ule wote walikua ni blacks pia ulaya yote ilikua ni ya blacks, wazungu walikua wakiishi mapangoni na baadaye wakawa watumwa wa blacks. Kituko zaidi ni palw wanapodai kipindi cha yote hayo ni before pia miaka mingi baada ya Kristo.
Tafuta uzi unaitwa 'was Jesus black?' Yaani utadhani futuhi.
 
kipo youtube audio, masaa 9 na dakika kadhaa nimekiona leo. inahitaji utulivu kumsikiliza japo sio kila kitu kinawork lkn unaongeza ufahamu na uelewa wa mambo

Huyo jamaa hana utofauti na Henry Kissinger, Zbigniew Brzezinsk na Sir. Halfold Mckinder.
Yaani literature zao ukisoma kama mtoto unaweza ukawa socio-path.
 
ndiyo nchi yenye Makaburi ya #Watakatifu wengi mfano #Padri Pio...ndipo kinapatikana kisiwa cha #Lampedusa kisiwa kikubwa italia na kituo kikubwa cha wahamiaji haramu...Wanapendelea sana kula #Pizza kama chakula chao kikuu...wachezaji wao wanajua kujitunza kama #pirlo #buffon...kuna kiwanja cha mpira kinabadilika majina #Giusepe Meaza #San Sirro...
 
It is a mystery.
But if you read history books, particularly the one called 50 years in the Church of Rome and The Vatican Assassins you will get something.

Pope ordered The Order of Jesus A.K.A The Jesuits to travel in every corner of the world to learn every tongue and culture.
Something which they did. Before Europeans went to colonize Asia and Africa the Jesuits were already here.

Hitler once said that "Of all the world political structure none is very sophisticated and well organised like the Catholic Church". He then ordered Heinrich Himmler to organise the institutions of the third Reich to imitate the Catholic church.
Uko sawa chief, Kuna jamaa anaitwa Ignatus LOYOLA huyu alipewa jukumu la Kuandaa kikosi kazi cha JESUITS watakotapakaa dunia nzima na kuweka misingi directly or indirectly, by force or democracy,(unaweza kugoogle hata viapo vyao). SOCIETY OF JESUS (JESUITS) muhispania huyu aliianzisha 27/09/1540. Wakiandaliwa kusambazwa nchi zaidi ya 112 duniani katika mabara yote sita. walitakiwa kwenda popote watakapoambiwa duniani, Sio lazima wawe makasisi, HAwakutakiwa kuonyesha tabia yoyote specific au special, Walitakiwa kuchukua viapo mahususi na yule elite zaidi alichiukua hadi cha nne. Hawa sio watu wa kukata tamaa kirahisi na sio watu wadogo,
Sasa watu kama hawa walipangwa miaka mingi kitambo sana na sio kwa bahati, hakuna serikali inaweza kubisha, taasisi inaweza kupambana zaidi ya kusurrender kuanzia china, uarabuni, africa ulaya na america.
Ndio maana Kila kiongozi wa kuheshimikawewe sio wadini siasa wala utamaduni Lazima areport pale kupata baraka za mkuu.
Kweli usione chaelea kimeundwa
 
Back
Top Bottom