Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Mkuu, dini siyo silaha pekee wanayoitumia hawa jamaa. Walishatambua kitambo kuwa kila zama zitakua na silaha zake, transitioning ya sila ya dini walishaanza kuifanya kitambo nadhani utekelezaji wake ulianza katikati ya miaka ya 70 tena wakati silaha ya dini ikionekana ndiyo nguvu kuu na pekee.
Walifanya transitioning hiyo kuelekea kwenye nyanja za kifedha na kiuchumi. Vatican mbali ya nguvu zake hizo zinazotajwa, isisahaulike pia kuwa ni serikali tajiri sana ambayo imewekeza katika kila mrija wa kiuchumi unaoufahamu.
Na katika ufanikishaji wa hayo yote, Jesuits siyo pekee, kuna Opus dei (Kazi/Mkono wa Mungu), kikundi cha siri cha Vatican kilichoanzishwa huko Spain 1928 na Fr. Josemaría Escrivá, na kuthibitishwa na Pope Pius XII mwaka 1950.
Mbali ya mission za siri za kundi hili, wanachama wa Opus Dei wanaendesha shughuli miradi mbalimbali kama vile .
Pia kikundi hiki hufanya mission nyingi za kijasusi.
Ni kawaida tu mkuu hata yusufu akiwa waziri mkuu katika serikali ya farao huko misri ya wakati wa zsmani alijikuta akinunua mashamba ya wananchi yote kutokana na njaa mwisho wa siku wakati wa kulima ulipowadia wananchi walikosa mashamba ya kupanda mbegu kwa kua walishamuuzia yusufu yote
Ilibidi wamfate yusufu kumuomba wapande kwenye mashamba yake kwa kua hawana pa kupanda mbegu zao
 
Mkuu upo chaka mbaya tafsiri ndogo sana inakuyumbisha hivi, msikariri kutoka kwa mapadri someni na myachambue maandiko, yesu aliposema hivyo hakumaanisha kujenga ukatoliki bali kupitia petro atalijenga kanisa kwa maana ya kwamba petro alipewa mamlaka ya kutoka Israel na kwenda kwa watu wa mataifa kuhubiri habari njema ya yesu au kueneza injili, ni sawa na hii habari ya kitabu cha matendo, petro anaonyeshwa wanyama pamoja na ndege ambao wengine ni najisi na anaambiwa chinja ule, hapa alikuwa anaambiwa nenda kwa mataifa kahubiri maana kipindi kile wayahudi waliwaterm watu wamataifa ni najisi na injili haikutakiwa kufika kwao, sasa hapa watu wamekaririshwa kuwa petro ameruhusiwa kula vyakula vyote ndo maana watu wanasosi kitimoto kwa sababu ya andiko hili kutafsiri sivyo, mkuu petro aliambiwa kuhubiri kwa watu wote duniani ndo maana yesu akasema hivyo kupitia yeye atalijenga kanisa. Sasa waroma nao wameenda kujenga kanisa sehemu au katika kaburi la petro maana petro aliuliwa italy na kuzikwa hapo ambapo lilipo kanisa la st peter Vatican, lengo ni kuhalalisha kuwa petro ndo muuanzilishi wa ukatoliki hadi kimuita papa wa kwanza wa kanisa katoliki, muanzilishi wa katoliki ni mfalme constantine.
Exactly
 
Uko sahihi kabisa!
Ila kabla ya Opus Dei kuna kitu kinaitwa The Sovereign Military Order of Malta.
Kama uneangalia Movie ya The God father 3 Pale Papa alikuwa anampa kiapo Al Pacino.
Basi alikuwa anakuwa Knight of Malta.

Masunga Maziku utakuja kushangaa Adam Weishaupt The founder of Illuminati was a Jesuit. Lakini kanisa Katoliki linasema alikuwa ameasi ndiyo akaenda kuanzisha The Illuminati.
This is Yet to be Proved. But most importantly is that Adam Weishaupt was a devout Jesuit.
Kuasi ni kawaida mkuu kwa kua kama asili yako sio othodoks basi ni katoliki
Haya ni madhehebu ya kwanza ya kikristo duniani
 
1. Wanaume wa kiitaliano 1 kati ya 3 wenye umri wa miaka 30 - 35 bado anaishi na wazazi wake.

2.Trafiki wa Italy ni wa pili duniani kwa kutumia gari za kifahari za Lamborghini baada ya Dubai.

3.Italy ina Barabara ndefu zaidi duniani iliyopita chini ya ardhi (tunnel) inayounganisha na Uswizi yenye urefu wa km 57 na ulichukua miaka 17 kukamilika.

4.Waargentina 37% wanaasili ya italy.

5.Italy ni 8 kwa kuwa na uchumi mkubwa duniani.

6.Ni watengenezaji wakubwa wa Wine duniani.

7.Ni kosa kisheria kwa mwanaume kuvaa sketi hadharani.
Hebu turekebishane hiyo namba 5 ni ya 8 kwa uchumi au ya 12 kwa uchumi? Tusaidiane hapo mkuu
 
Apostle Simon Peter was left in Charge of the early Church,
At that time salvation was only for the Jews: Jews were not Catholic.
Catholicism started few centuries later. When the gentiles already knew the gospel through Apostle Paul.
And The Schism of the Church started to be seen when Constantine was gone.
 
Soma mabandiko yangu vizuri,
Ukristo ulianzia Uyahudi pale Mashariki ya Kati.
Mashariki ya Kati ilikuwa Chini ya dola ya Mrumi.

Kumbuka sana,
Ukristo haukuanza kwa watu wengine ila Mitume wa Yesu tu na ulikuwa unadhaniwa ni kwa ajili ya Wayahudi tu na siyo mataifa. Hapa hoja ya Orthodox na Ukatoliki haina mashiko kabisa.
Mitume wakiongozwa na Paul walihubiri Injili kwa Wayahudi tu.

Aliyeeneza Ukristo kwa mataifa alikuwa ni Mtume Paulo baada ya kubatizwa mnamo mwaka 35 .B.K.
Vyanzo vinaonyesha kuwa ni Mtume Paulo, Barnabas, Cephas na Yakobo ndiyo walipeleka Injili kwa mataifa.
Walenda sehemu kama Korintho, Ufilipi, Antiokia, Galatia, Uyunani na mwishowe Paul alienda kuhukumiwa na Kaisari Nero huko Roma.

Hapa unasemaje kuwa Ukatoliki ulikuwepo wewe?
Mwandishi na mwanafalsafa mashuhuri wa kipindi hicho Josephus aliyezaliwa mwaka 37.B.K anasema Ukristo na Kanisa la Kwanza lilianzia Uyahudi. Hapa mataifa tulikuwa hatujui Ukristo.
Ukatoliki ndiyo umekuja baadae kabisa.

Cha kujiuliza,
Siku ya Ibada ilikuwa ni Jumamosi lakini Warumi walitawala Uyahudi yote hadi kufanya siku ya Ibada iwe Jumapili.
Rumi yote ikafanya ibada iwe Jumapili, kuanzia Roma hadi Uyahudi.
Nakubali katoliki ni dhehebu lakini limekuja baadae sana na limeanzishwa na Warumi.
Ndugu unajipotosha mwenyewe kwa itikadi yako
Wokovu ulitoka kwa wayahudi hakuna anaekataa ndipo baadae ukaenea kwa mataifa
Sasa ukisema roma walianzisha ukatoliki basi utasema ni 380bk baada ya huyu mfalme kuongokea ukristo wa ukatoliki
We pia unabisha dhehebu hili halijaanza mwaka wa 30bk eti kisa paulo kabatizwa 35bk
Unachoshindwa kujua ni kua hata hiyo 35bk unayosema paulo alibatizwa sio kweli kulingana na historia

Ninachoweza kukwambia usidanganywe tafuta historia mwenyewe haya madhehebu yana hasira na wakatoliki kutokana na kile kilichotokea karne ya 16 kulipozaliwa uprotestant
 
Sababu pekee inayofanya watu wasali jumapili ni moja tu yesu kristo alifufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni jumapili
Hizo nyingine ni porojo za wapingaji
 
Kuna kitu hapa watu hawataki kukubali, wayahudi walimkataa yesu kuwa ni mesiha wakamshitaki kwa herode lakini kwa kuwa kipindi hicho wako chini ya roma ilibidi hukumu itolewe na pilato ambaye ni mroma, kwa wanaofuatilia watakumbuka kuwa pilato hakuona kosa la yesu na ikamlazimu kunawa mikono ishara ya kwamba hakitaka ahusishwe na adhabu hiyo.

Wayahudi walimchukia yesu kiasi kwamba walitaka yule mshenzi barnaba aachwe huru lakini sio yesu hivyo, yesu akateswa na kusurubiwa msalabani kwa shinikizo la wayahudi wenzake, adhabu za mijeredi na misalaba ni adhabu zq kiroma tangu zamani hata yesu kazikuta.

Baada ya yesu kufa na kifufuka ndipo ukristo ukaanza, yani kuwa mkristo ni ile kuamini katika yesu na mafundisho yake, ukristo sio dhehebu, ni attribute ya kisema fulani ni mkristo kwa maana fulani anaamini katika yesu na mafundisho yake na yu tayari hata kufa pia.

Wakati petro anaoambana kuimarisha kanisa, waroma walikuwa ni wapagani tupu, ni waroma wachache sana walianza kumuelewa petro na wafuasi wake, na hakuna kitu kilichikuwa kinawaigopesha sana waroma enzi hizo kama atokee mtu awe na ushawishi kwa public, hofu yao kubwa ni mtu huyo anaweza kubalika mpaka awe mfalme pengine, hivyo waroma wakafitini mpaka wakamuua petro, enzi za akina Constantine na inasemekana petro kifo chake kilikua ni cha kujitoa muhanga ili kukomboa wakristo wengi waliokuwa wameshaamini, waroma wakamsimika petro kuwa papa wa kwanza na wakachukua kanisa.

Baada yakuridhika kwamba wamesha ingiza ibada zao za kipagani ndani ya kanisa la petro, wakalibatiza kanisa hilo kuwa Roman Catholic Church, na bishop wa roma akapewa cheo cha upapa.

Harakati hizi ziliendelea katika kulikuza na kukieneza kanisa hili, na ukifuatilia utagundua maasi mengi yakifanywa kwa mwamvuli wa kanisa.

Kimsingi tujifunze, hivi vitu vina historical facts nyingi, mimi mwenyewe ni mkatoliki lakini nimefuatilia mengi sana juu ya dhehebu hili, pamoja na ukweli huu nalikubali na wala sitoki, hakuna dhehebu linalojielewa duniani kama hili na ndio kila kitu.
Tumia akili ndugu kutafuta kwa nini wayahudi walimkataa yesu kua sio masiha hii ilikua ni dini ya kiyahudi ambayo haikutaka upinzani ndipo ikabidi wafanye kila lililowezekana kuona namna ya kumpoteza yesu kristo kwa kua alionekana kwenda kinyume nao kwa mambo mengi
Ili afe na wao hawakua na sheria ya kuua
Walimchongea gavana wa kiroma pilato kua mtu huyu anajiita mfalme wakati sisi tunajua hakuna mfalme zaidi ya kaisari agusto wa wskati huo
Ikimbukwe kua wayahudi hawakua wakipenda sana kutawaliwa na warumi
Ndio maana askari wa rumi wslilazimika kuendesha operation ya msako kila mahali ili kutuliza gasia walizokua wakianzisha wayahudi kutokana na kutokuoenda kutawaliwa
Lakini alipokuja yesu na mahubiri yaliyoonyesha anataka kuanzisha dini mpya na yanawapinga waliacha chuki zao na warumi wakatafuta namna ya kua pamoja ili kuakikisha yesu anauwawa
Na sheria ya kuua mtu akijiita mfalme zaidi ya wa roma walikua nayo warumi ndio maana yesu alitundikwa msalabani adhabu ambayo waroma waliitoa kwa mtu anaejiita mfalme zaidi ya yule wa roma
Japo pilato baada ya kumuuliza yesu maswali aliona hana kosa bado wayahudi walishinikiza auwawe la sivyo watamchongea pilato kwa kaisari agusto wa wakati huo

Soma uelewe ndugu
Kifo cha yesu wayahudi ndio wanahusika nacho kwa kiasi kikubwa
 
Mkuu sasa unabisha nini?
Umeusoma huo mkataba nilioandika hapo juu?
Vatican ilikuwa chini ya Italia hadi mwaka 1929 na wala haikuwa nchi huru kabla ya hapo.
Ni Benitho Mussolini ambaye aliiruhusu iwe nchi huru.

Read between the lines ,
Nimeandika kwamba hata hiyo Vatican ilikuwa ndani ya Ancient Italy ambayo ilikuwa ndiyo Rumi.
Kabla ya hapo Papal states were never free from Italy.
Sawa hata mi nalijua hilo naona unakomaa tu na vatikano ya watu waksti kuna san marino pia
 
Ndugu unajipotosha mwenyewe kwa itikadi yako
Wokovu ulitoka kwa wayahudi hakuna anaekataa ndipo baadae ukaenea kwa mataifa
Sasa ukisema roma walianzisha ukatoliki basi utasema ni 380bk baada ya huyu mfalme kuongokea ukristo wa ukatoliki
We pia unabisha dhehebu hili halijaanza mwaka wa 30bk eti kisa paulo kabatizwa 35bk
Unachoshindwa kujua ni kua hata hiyo 35bk unayosema paulo alibatizwa sio kweli kulingana na historia

Ninachoweza kukwambia usidanganywe tafuta historia mwenyewe haya madhehebu yana hasira na wakatoliki kutokana na kile kilichotokea karne ya 16 kulipozaliwa uprotestant

Sababu pekee inayofanya watu wasali jumapili ni moja tu yesu kristo alifufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni jumapili
Hizo nyingine ni porojo za wapingaji

Okay,
Umetia doa mjadala kwa kuingiza mihemko ya kidini.
Mimi siyo mtu wa dini wala sifuati dini hata siku moja.
Naangalia historia kwa vyanzo vya kihistoria siyo vyanzo vya kidini.

Sasa unavyotoa madai kwamba mimi ni Mprotestant you are getting personal and this whole thread becomes pointless.
Tungeendelea kujadili lakini huwa sifagilii hizi Protestant-Catholic sentiments mlizozileta humu.
Haya kukusaidia tu ndugu yangu.
Mimi sina shuruba na Wakatoliki nimesoma shule zao Jesuits , na wala siyo hizi unazozijua wewe.
Hata nikikuambia asilimia kubwa ya elimu yangu nimeipata kwa hawa jamaa hutaelewa mpaka uwe umesoma kwenye vyuo vyao.
Hivyo nawaheshimu sana wakatoliki kama navyoheshimu dini zingine.

Huu mjadala uishe kwasababu hatufiki popote.
Hasa pale unapoanza kuleta Ad Hominen Arguments.

And with San Marino we all know what Pope Niccolo did, so its not something to brag about. We know the role she played during thirty years war prior to West-Phalia.
Ungejua haya usingeuliza hili swali kuhusu Saint Marinus, history of awe still lingers in Europe.
 
Hahaha mi sijasema we ni mprotestant au mkatoliki ila unapotoa maoni unasoma sana ulichokaririshwa badala ya kuutafuta ukweli mwenyew
Unajua haya madhehebu hayapendani japo unaona wsko pamoja
Sio wakristo tu hata madhehebu ndani ya uislamu hayapendani japo unaweza kuwaona pamoja
Mtu anaandika tu historia kwa uongo ili kumsadness mwingine
 
Italy ilishawahi kutawala eneo kubwa la dunia kama dola la Mrumi mnamo karne ya 27 B.C hadi 1453.

  1. Walitawala Ulaya mashariki, Afrika na Mashariki ya kati.
  2. Wao ndiyo wanchukuliwa kuwa waasisi wa utamaduni wa nchi za magharibi.
  3. Baada ya Wagiriki wao ndiyo waliandika kazi nyingi za falsafa.
  4. Waliongoza siasa za kisasa tangu zamani. Walikuwa na mfumo wa bunge na upigaji wa kura.
  5. Wameanza kutumia mfumo wa sarafu kabla ya kuzaliwa kristo.
  6. Wameanzisha dini kubwa sana duniani: Roman Catholic.
  7. Baada ya Wayahudi wao ndiyo wanafuata kupigana vita nyingi za kidini. Waliwatumia wafalme wa Ulaya kama Richard The Lion Heart kupigana na Waislamu wa kiarabu na kituruki.
  8. Wameandika kalenda hii unayoitumia leo: Gregorian Calendar.
  9. Walikuwa wanapenda sana utumwa kama mfumo wao wa maisha.
  10. Wanaongoza kwa kufanya mauji ya wakristo kwa kinyama kuliko dini yoyote ile. Kuwatupia kwenye simba na ndani ya ukumbi unaitwa Colosseum halafu watu wanashangilia.
  11. Kulikuwa na madanguro makubwa ya makahaba na ushoga ulikuwepo sana.
  12. Walikuwa na jeshi kubwa sana lenye silaha za kisasa na walishinda vita karibia zote kasoro vita dhidi ya Dola la Kiajemi la Parthia. Moja ya kitu ambacho kilipelekea kuanguka kwake.
Ngoja weekend nifanye yangu halafu nitarudi.
Wao pia ndio walioanzisha uislam
Hata Israel inakalishwa kwa hawa jamaa?
 
View attachment 357330
Italy ina eneo la kilomita 301,338
Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima
Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668
Italy pia ni ya 12 kwa uchumi duniani
Italy pia ina rais aitwae sergio mattarela
Pia ina waziri mkuu aitwae mateo renzi
Wimbo wa taifa ni fratell d italy au ndugu wa italy
Pesa inayotumia ni euro
Sikukuu yao ya jamhuri huisherekea kila june 2 kila mwaka
Sikukuu ya taifa husherekewa kila aprili 25 kila mwaka
Simu ya kimataifa ni+39
Italy iko katikati ya bahari
Italy iko ulaya ya kusini
Italy ni moja ya nchi 6 za mwanzo zilizoanzisha umoja wa ulaya

Italy pia ina nchi 2 huru zinazozungukwa na eneo la italy pande zote
Nazo ni san marino na vaticano

Je wewe unaifahamu vipi italy
Karibu uongezee kwa ufahamu zaidi kwa wengine
Highly populated!
 
Haahaa!
Mzee kuna watu walikuwa wachafu wanaitwa Waajemi na Wagiriki.
Sasa hii tabia ya Belly Dance waajemi walianza mapema hata kabla ya Rumi.
Na hata Zizi mbona wagiriki walitumia sana, hata kuna poem moja ya miaka ya nyuma inasifia hii kitu.
Wakuu zizi ndio nn
 
Back
Top Bottom