eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,355
- 16,401
- Thread starter
- #141
Acha uongo we uislam ulianzishwa na muhamadi abdallaWao pia ndio walioanzisha uislam
Acha uongo we uislam ulianzishwa na muhamadi abdallaWao pia ndio walioanzisha uislam
Baada ya Muhamad kwenda Rome ndio akaja na idea hoyoAcha uongo we uislam ulianzishwa na muhamadi abdalla
Hahaha mi sijasema we ni mprotestant au mkatoliki ila unapotoa maoni unasoma sana ulichokaririshwa badala ya kuutafuta ukweli mwenyew
Unajua haya madhehebu hayapendani japo unaona wsko pamoja
Sio wakristo tu hata madhehebu ndani ya uislamu hayapendani japo unaweza kuwaona pamoja
Mtu anaandika tu historia kwa uongo ili kumsadness mwingine
Uko sawa, na ndio hoja yangu hiyo, labda sijaeleweka vizuri. Kimsingi nilikua najaribu kuonyesha chanzo cha ukristo ambao later ulitekwa na waroma na hatimaye kuzaliwa kanisa katoliki. Pia nikatika kutofautisha ukristo na ukatoliki kupitia historia. Ukiisoma vizuri comment yangu utaona haitofautiani na yako nilichosema ndio ulichosema with even more details on the reason of why Jesus was crucified.Tumia akili ndugu kutafuta kwa nini wayahudi walimkataa yesu kua sio masiha hii ilikua ni dini ya kiyahudi ambayo haikutaka upinzani ndipo ikabidi wafanye kila lililowezekana kuona namna ya kumpoteza yesu kristo kwa kua alionekana kwenda kinyume nao kwa mambo mengi
Ili afe na wao hawakua na sheria ya kuua
Walimchongea gavana wa kiroma pilato kua mtu huyu anajiita mfalme wakati sisi tunajua hakuna mfalme zaidi ya kaisari agusto wa wskati huo
Ikimbukwe kua wayahudi hawakua wakipenda sana kutawaliwa na warumi
Ndio maana askari wa rumi wslilazimika kuendesha operation ya msako kila mahali ili kutuliza gasia walizokua wakianzisha wayahudi kutokana na kutokuoenda kutawaliwa
Lakini alipokuja yesu na mahubiri yaliyoonyesha anataka kuanzisha dini mpya na yanawapinga waliacha chuki zao na warumi wakatafuta namna ya kua pamoja ili kuakikisha yesu anauwawa
Na sheria ya kuua mtu akijiita mfalme zaidi ya wa roma walikua nayo warumi ndio maana yesu alitundikwa msalabani adhabu ambayo waroma waliitoa kwa mtu anaejiita mfalme zaidi ya yule wa roma
Japo pilato baada ya kumuuliza yesu maswali aliona hana kosa bado wayahudi walishinikiza auwawe la sivyo watamchongea pilato kwa kaisari agusto wa wakati huo
Soma uelewe ndugu
Kifo cha yesu wayahudi ndio wanahusika nacho kwa kiasi kikubwa
Yawezekana ukawa sahihi.Mkuu huwa nasikia kwamba Ardhi yao kwa asilimia kubwa inafanana na ya Dodoma kwa hapa Tanzania. Na kwakuwa wao ni walimaji wakubwa wa Zabibu walivyofika Tanzania na kufanya tafiti wapi ardhi inayoendana na yao ili zabibu ziweze kustawi wakapata Dodoma. Na kuna ukweli fulani huwa na uona kwamba mji unao pendwa na wataliano hapa Tanzania ni Dodoma. Kuna siku nilisafiri kwenye basi na mtaliano mmoja kutoka Dom kuja Dar na alikuja kama mtalii tu na safari ya Dar ilikuwa anaendelea mpaka Zanzibar akawa ananipa hizo habari kuwa wataliano wengi wapo Dodoma na ndio alienda kuwatembelea jamaa zake. Unajua lolote kuhusu hili?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh haya bhanaUmeelezea vizuri kuliko mwenye mada
Sasa Mkuu hpo unajaribu kunikosoa katika lipi?Hivi mkuu unajua kutofautisha dhehebu na ukristo? Mashariki walikuako waothodoksi ambao pia ni wakristo waliojitenga pia baada ya kutoelewna ndio kukaibuka wakristo wa katoliki na wskristo wa kiothodoks hawa ndio chimbuko la madhehebu mengine duniani pamoja na uislam pia
Najaribu kuufuatilia upinzani wa hoja anaouleta lakini nimeshindwa kuelewa. Nadhani tatizo ni kwamba kuna watu katika mijadala hii wanashirikisha mioyo na kuzifungia akili zao.Mkuu sasa unabisha nini?
Umeusoma huo mkataba nilioandika hapo juu?
Vatican ilikuwa chini ya Italia hadi mwaka 1929 na wala haikuwa nchi huru kabla ya hapo.
Ni Benitho Mussolini ambaye aliiruhusu iwe nchi huru.
Read between the lines ,
Nimeandika kwamba hata hiyo Vatican ilikuwa ndani ya Ancient Italy ambayo ilikuwa ndiyo Rumi.
Kabla ya hapo Papal states were never free from Italy.
mkuu malila sio tu kukalishwa hata rais SHimon peres wa israel alikuwa ni Jesuit. Inasemekana ndio walionzisha hilo taifa baada ya vita vya dunia ww2. Ukumbuke miaka sabini baada ya kufa yesu, Nero kutoka Italy aliisambaratisha jerusalem na ndio mwisho wa taifa hilo kama (mathew 24 ) ilivyotabiliwa na yesu. Hapo wamerudi baada ya ww2. Hiyo ndio common denominator ya UK,USA na IsraelHata Israel inakalishwa kwa hawa jamaa?
Mkuu kama post yako umeijenga juu ya misingi ya kiimani basi kuna kitu unapwaya katika imani hiyo.Ndugu unajipotosha mwenyewe kwa itikadi yako
Wokovu ulitoka kwa wayahudi hakuna anaekataa ndipo baadae ukaenea kwa mataifa
Sasa ukisema roma walianzisha ukatoliki basi utasema ni 380bk baada ya huyu mfalme kuongokea ukristo wa ukatoliki
We pia unabisha dhehebu hili halijaanza mwaka wa 30bk eti kisa paulo kabatizwa 35bk
Unachoshindwa kujua ni kua hata hiyo 35bk unayosema paulo alibatizwa sio kweli kulingana na historia
Ninachoweza kukwambia usidanganywe tafuta historia mwenyewe haya madhehebu yana hasira na wakatoliki kutokana na kile kilichotokea karne ya 16 kulipozaliwa uprotestant
Nakubaliana na wewe katika hili.Sababu pekee inayofanya watu wasali jumapili ni moja tu yesu kristo alifufuka siku ya kwanza ya juma ambayo ni jumapili
Hizo nyingine ni porojo za wapingaji
Hilo litapingwa, lakini ndiyo ukweli wenyewe, ila litahitaji mjadala wa peke yake.Wao pia ndio walioanzisha uislam
Hapo poa, lakini uwezo wao wa kuingilia mamlaka ya serikali za dunia unawezekanaje? Pamoja na kuwa na mawakala dunia nzima, inawezekana vipi kupitisha matakwa yao katika taifa ambalo linajitegemea kiulinzi na hata kisiasa?
Kwa hiyo papa ndio aliamuru jumapili iwe siku ya kuzaliwa yesu kristo na sio kwamba yesu kristo alizaliwa siku ya kwanza ya juma ambayo ni jumapili!!!?Nakubaliana na wewe katika hili.
Ile anayoiongelea mkuu MALCOM LUMUMBA ilikua Christmas, kila tarehe 25 ya kila mwaka walikua wakiadhimisha siku ya mungu jua, baada ya mfalme wao kuingia ukristo ndiyo akaamua siku hiyo waadhimishe taifa lao kuwa la kikristo hapo ndipo Papa wa kipindi hicho (simkumbuki jina) akaamuru iwe ni siku ya kuzaliwa Yesu Kristo katika Ulaya.
secret societies karibu zote ukizifuatilia saana ndani kabisa unakuta kuna link japo sio direct au nyembamba sana na hii system. Hakuna founder wa Scottish rite, Knights,etc ambao hawakuwa na uhusiana nao. Hii tunayoiongelea ni top and open layer. lakin behind the scene inabidi uanzie kuresearch na hii kitu inaitwa Black pope, na operation nyingi siko katika form ya THESIS +ANTITHESIS=SYSNTHESIS. Sisi raia wa kawaida hapa duniani huwa tunaishia kushangaa matokeo tuUko sahihi kabisa!
Ila kabla ya Opus Dei kuna kitu kinaitwa The Sovereign Military Order of Malta.
Kama uneangalia Movie ya The God father 3 Pale Papa alikuwa anampa kiapo Al Pacino.
Basi alikuwa anakuwa Knight of Malta.
Masunga Maziku utakuja kushangaa Adam Weishaupt The founder of Illuminati was a Jesuit. Lakini kanisa Katoliki linasema alikuwa ameasi ndiyo akaenda kuanzisha The Illuminati.
This is Yet to be Proved. But most importantly is that Adam Weishaupt was a devout Jesuit.
Mkuu unapotea sana waitaly wataanzisha vipi uislamu?Hilo litapingwa, lakini ndiyo ukweli wenyewe, ila litahitaji mjadala wa peke yake.
Hapana siyo kweli.
Rumi ilikuwa dola kubwa sana lakini mpaka sasa dola kubwa kuwahi tokea duniani ni dola ya Mongolia.
Iliiundwa na mtu anayeitwa Genghis Khan na wazao wake.
Ilitawala Russia, Ulaya Mashariki, China na sehemu kubwa sana ya Asia.