Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Ninavyoelewa Italy...
Usafirisahaji na uuzaji wa madawa ya kulevya
Mafia.kuna vikundi vingi sana vya mauaji vilivyojificha chini ya mwamvuli wa Kanisa...
Usafiri maarufu kwa walio wengi pale mjini ni Pikipiki (Haswa wanawake)
Wasichana wengi hawapendi kubeba mimba kwa kuhofia majukumu ya ulezi(Uchumi ndio inshu)
 
View attachment 357330
Italy ina eneo la kilomita 301,338
Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima
Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668
Italy pia ni ya 12 kwa uchumi duniani
Italy pia ina rais aitwae sergio mattarela
Pia ina waziri mkuu aitwae mateo renzi
Wimbo wa taifa ni fratell d italy au ndugu wa italy
Pesa inayotumia ni euro
Sikukuu yao ya jamhuri huisherekea kila june 2 kila mwaka
Sikukuu ya taifa husherekewa kila aprili 25 kila mwaka
Simu ya kimataifa ni+39
Italy iko katikati ya bahari
Italy iko ulaya ya kusini
Italy ni moja ya nchi 6 za mwanzo zilizoanzisha umoja wa ulaya

Italy pia ina nchi 2 huru zinazozungukwa na eneo la italy pande zote
Nazo ni san marino na vaticano

Je wewe unaifahamu vipi italy
Karibu uongezee kwa ufahamu zaidi kwa wengine
ROMAN EMPIRE Weee ni kiboko, kwa kweli kwa control waliyokuwa nayo na mda mrefu waliotumia kutawala makoloni yao wangepaswa kuwa na nguvu kiuchumi maana wamepora mali nyingi sana kama dhahabu, human labour na vito vingine vya thamani.
 
Walipora kwa nani..??
 
Hapana siyo kweli.
Rumi ilikuwa dola kubwa sana lakini mpaka sasa dola kubwa kuwahi tokea duniani ni dola ya Mongolia.
Iliiundwa na mtu anayeitwa Genghis Khan na wazao wake.
Ilitawala Russia, Ulaya Mashariki, China na sehemu kubwa sana ya Asia.
mkuu na wewe umekosea kidogo nataka nikuamb ie uingereza ndio alieitawala hii dunia sehemu mbalimb ali kushinda wenzio, huyo mongolia bado ni mdogo yeye kakalia yale maeneo ya karibu wakati muingereza katawala almost dunia nzima tena hadi marekani.
nimechanganya zangu hapa pia nimekuwekea japo kasource ili uwe na amani.
List of largest empires - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Kama kilikuwa kinamuhusu NERO hayo makanisa saba ni yapi?
Kwa maana nyingine kitabu cha Ufunuo kilikuwa na lengo la kuonesha jinsi Wakristo walivyokuwa wakidhulumiwa na kuuawa kipindi cha Kaisari Nero huko Rome....

Na nikitabu ambacho kiliandikwa kwa codes ili muandishi asijulikane kirahisi...Hata kitabu chenyewe kiliandikwa kwa kutumia alama, ishara na number ....Hata kutaja jina la Kaisari Nero ilikuwa ni hatari ndio maama muandishi alitumia nimber 666 kwa kigiriki iliyomaanisha Kaisari Nero..
 
Nimeuliza makanisa saba ni yapi?
Kama NERO ndiyo 666, GOG-MAGOG ni nani?
 
mkuu na wewe umekosea kidogo nataka nikuamb ie uingereza ndio alieitawala hii dunia sehemu mbalimb ali kushinda wenzio, huyo mongolia bado ni mdogo yeye kakalia yale maeneo ya karibu wakati muingereza katawala almost dunia nzima tena hadi marekani.
nimechanganya zangu hapa pia nimekuwekea japo kasource ili uwe na amani.
List of largest empires - Wikipedia, the free encyclopedia

Teh teh teh,
Kwa minajili hiyo hakuna Empire kubwa kama Uingereza.
Iliwahi kumiliki kama Asilimia 23 ya Ardhi ya dunia.
The Empire which the sun never sets.
Alikuwa na makoloni mengi na sidhani kama kuna nchi itaweza kufanya hivyo.
Hapa utakuwa sawa kabisa.

Lakini tukirudi kwenye bandiko lako,
Mongolia ilikuwa ni LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED. (Falme iliyomiliki ardhi kubwa kwa moja kwa moja). Alimilikia asilimia 16 ya Ardhi ya dunia.
Uingereza ni kisiwa (MARITIME EMPIRE) kidogo sana kilichotawala wengi kwa dhana nzima ya Ukoloni. Lakini chenyewe siyo THE LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED.

Hivyo basi,
Katika Asilimia 16 ya Ardhi ya Mongol ilikuwa eneo kubwa amabalo halijatengwa na bahari. Uingereza ilitengwa na bahari bila hivyo haina ardhi ya moja kwa moja.
MONGOL LARGEST LAND EMPIRE EVER CREATED while BRITISH WAS THE LARGEST MARITIME HEGEMONY EVER CREATED....

Nadhani utakuwa umenielewa mkuu.
 
Nimeuliza makanisa saba ni yapi?
Kama NERO ndiyo 666, GOG-MAGOG ni nani?
Makanisa Saba hayo sijajua ni yapi ila, inaonesha Yohane alitokewa na Yesu katika maono na anamwambie aandike mambo anayoyaona na ayapeleke kwenye hayo makanisa saba...Na barua hizo zina mfumo mmoja
... Maelezo juu ya Kristo, Pongezi kwa sifa njema za kanisa Husika ( Isipokuwa Smurna na Filadelfia hayalaumiwi) Mwisho Makanisa yanaahidiwa usalama iwapo yataacha kutenda maovu..

Hapo kwenye red sielewi hicho unachikizungumzia....Ila kwa historia halisi Kitabu cha Ufunuo kilikuwa kikielezea Zaidi madhalimu waliyokuwa wanapata Wakristo chinii ya dola la Kirumi likiongozwa na Kaisari Nero...Unless unataka kuleta historia yako
 
Kwanini unaongea kitu ambacho hukijui?
Au unadhania kitabu cha ufunuo kimezungumzia 666 tu?
 
Kwanini unaongea kitu ambacho hukijui?
Au unadhania kitabu cha ufunuo kimezungumzia 666 tu?
Aliyekuambia naongelea kitu ambacho sikijui ni nani...?

Hakijazungumzia nambari 666 iliyomuakilisha kaisari Nero...Ilizungumzia mambo mengi...Maana hata mfumo wa uandishi wa kitabu hiki upo katika pande mbili...Sehemu ya kwanza nu Mfumo wa Barua na Sehemu ya pili upo katika mfumo wa masimulizi ya Kiapokaliptiki yani Ufunuo...
 
Kiasili walikuwa ni Wayahdi (Waebrania( ila kiimani Walikuwa ni Wafuasi wa Krsto i.e Wakristo= Wakatoliki)
Aliyekuambia naongelea kitu ambacho sikijui ni nani...?

Hakijazungumzia nambari 666 iliyomuakilisha kaisari Nero...Ilizungumzia mambo mengi...Maana hata mfumo wa uandishi wa kitabu hiki upo katika pande mbili...Sehemu ya kwanza nu Mfumo wa Barua na Sehemu ya pili upo katika mfumo wa masimulizi ya Kiapokaliptiki yani Ufunuo...

I was pulling your legs to try and understand what the real problem is.
Now i know , thanks for your cooperation.
I rest my case.
 
Sawa nakupata mkuu maziku.
Mipango madhubuti ilipangwa miaka 100 baada ya yesu chini ya jamaa watatu Apologists (Papa Clement 1, Justine Marty na Augustine wa Hippo). na hawa walifanikiwa kujieneza na kujiimarisha mipango yao maana kipindi hicho Utawala wa kirumi ulikuwa umeikalisha dunia nzima ya wakati huo maana uliparaganyika rasmi 476AD ukiitawala dunia kwa miaka zaidi ya miaka 600 mfululizo, na kipindi hicho ndio mipango na michoro madhubuti ya dunia hii ilipangwa na kuichorwa kwa umakini , uangalifu na ustadi wa hali ya juu pote kwa foreground na background. Ndio maana viongozi wote wakubwa wenye kuheshimika duniani lazima wareport pale na kupewa miongozo japo wanaonekana hawana hata kajeshi kadogo.

Putin naye anareport pale?
 
Uko sawa chief, Kuna jamaa anaitwa Ignatus LOYOLA huyu alipewa jukumu la Kuandaa kikosi kazi cha JESUITS watakotapakaa dunia nzima na kuweka misingi directly or indirectly, by force or democracy,(unaweza kugoogle hata viapo vyao). SOCIETY OF JESUS (JESUITS) muhispania huyu aliianzisha 27/09/1540. Wakiandaliwa kusambazwa nchi zaidi ya 112 duniani katika mabara yote sita. walitakiwa kwenda popote watakapoambiwa duniani, Sio lazima wawe makasisi, HAwakutakiwa kuonyesha tabia yoyote specific au special, Walitakiwa kuchukua viapo mahususi na yule elite zaidi alichiukua hadi cha nne. Hawa sio watu wa kukata tamaa kirahisi na sio watu wadogo,
Sasa watu kama hawa walipangwa miaka mingi kitambo sana na sio kwa bahati, hakuna serikali inaweza kubisha, taasisi inaweza kupambana zaidi ya kusurrender kuanzia china, uarabuni, africa ulaya na america.
Ndio maana Kila kiongozi wa kuheshimikawewe sio wadini siasa wala utamaduni Lazima areport pale kupata baraka za mkuu.
Kweli usione chaelea kimeundwa

Kiapo cha 4 kinasemaje?
 
Back
Top Bottom