Italy ilishawahi kutawala eneo kubwa la dunia kama dola la Mrumi mnamo karne ya 27 B.C hadi 1453.
- Walitawala Ulaya mashariki, Afrika na Mashariki ya kati.
- Wao ndiyo wanchukuliwa kuwa waasisi wa utamaduni wa nchi za magharibi.
- Baada ya Wagiriki wao ndiyo waliandika kazi nyingi za falsafa.
- Waliongoza siasa za kisasa tangu zamani. Walikuwa na mfumo wa bunge na upigaji wa kura.
- Wameanza kutumia mfumo wa sarafu kabla ya kuzaliwa kristo.
- Wameanzisha dini kubwa sana duniani: Roman Catholic.
- Baada ya Wayahudi wao ndiyo wanafuata kupigana vita nyingi za kidini. Waliwatumia wafalme wa Ulaya kama Richard The Lion Heart kupigana na Waislamu wa kiarabu na kituruki.
- Wameandika kalenda hii unayoitumia leo: Gregorian Calendar.
- Walikuwa wanapenda sana utumwa kama mfumo wao wa maisha.
- Wanaongoza kwa kufanya mauji ya wakristo kwa kinyama kuliko dini yoyote ile. Kuwatupia kwenye simba na ndani ya ukumbi unaitwa Colosseum halafu watu wanashangilia.
- Kulikuwa na madanguro makubwa ya makahaba na ushoga ulikuwepo sana.
- Walikuwa na jeshi kubwa sana lenye silaha za kisasa na walishinda vita karibia zote kasoro vita dhidi ya Dola la Kiajemi la Parthia. Moja ya kitu ambacho kilipelekea kuanguka kwake.
Ngoja weekend nifanye yangu halafu nitarudi.