Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

Je, unaielewa vipi nchi ya Italy?

mbona china kule wameenda kitambo sana 1582. Mtafute mtu anayeitwa MAtteo Ricci.
Huyu ndio kapeleka china science, masomo kama ya hesabu na unajimu etc, Hadi hawa majesuit wakawa ndio top valuable and trusted advisors wa utawala uliokuwepo wakichukua nafasi kubwa katika utawala na wachina wengi wakajiunga n a jesuits. Wamekuwepo huko katikati ya vita vipindi tofauti tofauti. Kumbuka vita vinavyoitwa TAIPING REBELLION iloua watu kati ya 20 hadi 70 millioni. Ilikuwa kati ya jamaa mkristo (anajiita kaka wwa yesu) na wafuasi wake wengi tu na wachina wengine. Kipindi cha vita hii jesuits walikuwepo china na mfano tu, katika vita hivi catholics walikuwepo na wengi walikimbilia Shanghai. So hawa jamaa wa sasa hivi sio kitu kabisa

Hata Kitabu cha SUN TZU (THE ART OF WAR) kwa mara ya kwanza walikipata wao hata kabla ya dunia nzima. Aliyekipata alikuwa ni Jesuit father J.Amiot . Yeye alikitafsiri kwa lugha ya kifaransa mwaka 1782. Sasa kama wao walishatafsiri kitu ambacho sisi tumekijua miaka ya 2000 tu utawaweza kirahisi hawa watu?

Vitabu na maandishi ya Plato na Aristotle yalipotea duniani hapa,
Ila kumbe Warumi na Waarabu walikuwa nayo.
Sasa falsafa yetu hii tunayoisoma imeandikwa upya na hawa jamaa.

Tena hata biblia kabla ya kina Wycleff kufanya tafsiri,
Ilikuwa katika lugha ya kigiriki ambayo ilikuwa lugha ya dola la mrumi kabla ya kilatini.
Basi ilikuwa imepotea ila ilikuwepo kwenye maktaba ya Rumi na Martin Luther anakwambia hukuruhusiwa kuisoma.
Walisoma tu viongozi wakubwa wa kanisa.

Hawa jamaa ni walewale,
na ndiyo dola pekee ambayo imekaa zaidi ya miaka 2000 kwa kweli.
Japo iko Vatican ndogo ila mhhhh hakuna ufalme unaweza kuishi kwa muda hivi.
 
Hapo poa, lakini uwezo wao wa kuingilia mamlaka ya serikali za dunia unawezekanaje? Pamoja na kuwa na mawakala dunia nzima, inawezekana vipi kupitisha matakwa yao katika taifa ambalo linajitegemea kiulinzi na hata kisiasa?
Mmmh Mimi bado naamini kuna kitu kimefichwa hapa, huu uwezo sio wa kawaida. Hili kanisa ni zaidi ya taasisi ya dini.
mipango mathubuti,
 
hakuna wa kuja kumzidi nguvu huyo jamaa. Hapo watu wote wa kila dini,kabila,mamlaka,serikali,taifa wanakalishwa direct au indirect
Umesimuliwa au Unajua ? Maan binadamu jambo usilolijua ndo huwa tunapenda sana kujifanya Wataalam.. kama story za freemason
 
Find History Books Masunga Maziku and you will see the arrogance of the Cardinal of France.

Napoleon asked: “Your eminence, are you not aware that I have the power to destroy the Catholic Church?”

The Cardinal answered: “Your majesty, we, the Catholic clergy, have done our best to destroy the church for the last 1,800 years. We have not succeeded, and neither will you.”
Ndo maana ya Maneno haya ya Yesu. . "Wwe ni mwamba na katika Mwamba huu nitalijenga Kanisa Langu.. hata Nguvu za kuzimu halitolishinda"

Hata mtoto mdogo anaelewa tu....
 
Remember,
Pope John Paul was instrumental in destroying the Soviet Union during the last days.
Joseph Stalin once said "Pope? How many forms does he have?"
He was appointed by the Conclave of Cardinals in 1978 and his fist speech as a Polish Citizen brought a lot of rift within the KGB.

Lech Walesa the former Polish Leader, said at that time the words of the Pope against the Soviet Union energized the Polish movement against the Soviets. In 1970's there were food price crisis and the Polish people wanted out of the U.S.S.R and the coming of the Pope was like a golden goose.

Yuri Andropov and Brezhnev viewed Pope as a new threat to Soviet Peace,
He worked closely with Thatcher and Reagan.

So China may be strong as long as party Echelons remain Communist.
But until now religious movements are prevalent in China.
Dilai Lama once went to the former Pope, they had a very long chat. Who knows what they talked about.

Therefore i can't say much,
But until now China is seemed to be impenetrable.
American evangelicals have failed, British Priests have failed and the likes do fail.
The reason is that atheism is very common in the world now a days, so religion is unlikely to Influence the Chinese Communist Party. But as i said no body is invincible.
Mkuu, dini siyo silaha pekee wanayoitumia hawa jamaa. Walishatambua kitambo kuwa kila zama zitakua na silaha zake, transitioning ya sila ya dini walishaanza kuifanya kitambo nadhani utekelezaji wake ulianza katikati ya miaka ya 70 tena wakati silaha ya dini ikionekana ndiyo nguvu kuu na pekee.
Walifanya transitioning hiyo kuelekea kwenye nyanja za kifedha na kiuchumi. Vatican mbali ya nguvu zake hizo zinazotajwa, isisahaulike pia kuwa ni serikali tajiri sana ambayo imewekeza katika kila mrija wa kiuchumi unaoufahamu.
Na katika ufanikishaji wa hayo yote, Jesuits siyo pekee, kuna Opus dei (Kazi/Mkono wa Mungu), kikundi cha siri cha Vatican kilichoanzishwa huko Spain 1928 na Fr. Josemaría Escrivá, na kuthibitishwa na Pope Pius XII mwaka 1950.
Mbali ya mission za siri za kundi hili, wanachama wa Opus Dei wanaendesha shughuli miradi mbalimbali kama vile .
Pia kikundi hiki hufanya mission nyingi za kijasusi.
 
nimesimuliwa mkuu

Mkuu huwa nasikia kwamba Ardhi yao kwa asilimia kubwa inafanana na ya Dodoma kwa hapa Tanzania. Na kwakuwa wao ni walimaji wakubwa wa Zabibu walivyofika Tanzania na kufanya tafiti wapi ardhi inayoendana na yao ili zabibu ziweze kustawi wakapata Dodoma. Na kuna ukweli fulani huwa na uona kwamba mji unao pendwa na wataliano hapa Tanzania ni Dodoma. Kuna siku nilisafiri kwenye basi na mtaliano mmoja kutoka Dom kuja Dar na alikuja kama mtalii tu na safari ya Dar ilikuwa anaendelea mpaka Zanzibar akawa ananipa hizo habari kuwa wataliano wengi wapo Dodoma na ndio alienda kuwatembelea jamaa zake. Unajua lolote kuhusu hili?
 
Wewe mrembo,iko siku utakuja kushangaa ile mbaya,coz hutoamini kama unaota au vipi?,your dream willl come true in a jiffy.
We mrembo hebu kunywa chai kwanza,yaani naona umedamka mapema sana,au unanimiss nini?
 
Wewe mrembo,iko siku utakuja kushangaa ile mbaya,coz hutoamini kama unaota au vipi?,your dream willl come true in a jiffy.
Nakuja Chuga muda si mrefu,nakuja na zawadi ya dawa ya mapenzi(pete yenye kito adimu),yaani ukiisugua tu unataja kitu unachotaka na mambo yanajipa,ilikuwa nimletee Josephine Mark Mfulu lakini sasa nimebadili nia baada ya kumkosa.
 
...amepata kampani, kuna jamaa wameibuka wapo huko 'Intelligence Forums' wanajidai wao ni wasomi kuliko wengine wote. Wanadai historia ilipotoshwa na sisi tusio na akili tumekarili. Wanadai eti akina Yuda, waebrania wote ni black wachina na ukanda ule wote walikua ni blacks pia ulaya yote ilikua ni ya blacks, wazungu walikua wakiishi mapangoni na baadaye wakawa watumwa wa blacks. Kituko zaidi ni palw wanapodai kipindi cha yote hayo ni before pia miaka mingi baada ya Kristo.
Tafuta uzi unaitwa 'was Jesus black?' Yaani utadhani futuhi.
Acha nikashuudie kwa macho yangu futuhi ya bure mkuu
 
Back
Top Bottom