Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,096
- 60,805
Amano le loro automobili
Ni wakali wa sports cars
Ni wakali wa sports cars
Ndio hapa ninapataka, tangu kipindi kile hadi leo kuna dola kuu zimepita. Iweje malengo na madhumuni ya dola ya kirumi kufuatwa na kutekelezwa hadi leo hii. Na vipi kama mataifa mengine yaliyokiuka dini hii kutoka Vatikani na kuamua kuanzisha dini zao, kama Uingereza na dini yao ya Anglikani. Ni matokeo gani waliyapata.?
Ndiyo nchi ambayo vibaka hawapori wanawake.
Hata ikitokea vurugu basi pandw zote huwa zinahakikisha mwanamke yupo salama, bila kujali mwanamke huyo yupo upande gani.
Tatizo we mrembo unaniringishia tu kila siku,sijui unataka nipate Mfadhaiko?,anyway mambo yote Venice,yaani taxi zao au cabs ni boats ua vipi?,how romantic?,you dont know what you are missing,its up to you.Next sun tan Ni Siracusa.......with my friend KARANJA 007.......
Tatizo we mrembo unaniringishia tu kila siku,sijui unataka nipate Mfadhaiko?,anyway mambo yote Venice,yaani taxi zao au cabs ni boats ua vipi?,how romantic?,you dont know what you are missing,its up to you.
Sawa nakupata mkuu maziku.
Mipango madhubuti ilipangwa miaka 100 baada ya yesu chini ya jamaa watatu Apologists (Papa Clement 1, Justine Marty na Augustine wa Hippo). na hawa walifanikiwa kujieneza na kujiimarisha mipango yao maana kipindi hicho Utawala wa kirumi ulikuwa umeikalisha dunia nzima ya wakati huo maana uliparaganyika rasmi 476AD ukiitawala dunia kwa miaka zaidi ya miaka 600 mfululizo, na kipindi hicho ndio mipango na michoro madhubuti ya dunia hii ilipangwa na kuichorwa kwa umakini , uangalifu na ustadi wa hali ya juu pote kwa foreground na background. Ndio maana viongozi wote wakubwa wenye kuheshimika duniani lazima wareport pale na kupewa miongozo japo wanaonekana hawana hata kajeshi kadogo.
Uko sawa chief, Kuna jamaa anaitwa Ignatus LOYOLA huyu alipewa jukumu la Kuandaa kikosi kazi cha JESUITS watakotapakaa dunia nzima na kuweka misingi directly or indirectly, by force or democracy,(unaweza kugoogle hata viapo vyao). SOCIETY OF JESUS (JESUITS) muhispania huyu aliianzisha 27/09/1540. Wakiandaliwa kuzambazwa nchi zaidi ya 112 duniani katika mabara yote sita. walitakiwa kwenda popote watakapoambiwa duniani, Sio lazima wawe makasisi, HAwakutakiwa kuonyesha tabia yoyote specific au special, Walitakiwa kuchukua viapo mahususi na yule elite zaidi alichiukua hadi cha nne. Hawa sio watu wa kukata tamaa kirahisi na sio watu wadogo,
Sasa watu kama hawa walipangwa miaka mingi kitambo sana na sio kwa bahati, hakuna serikali inaweza kubisha, taasisi inaweza kupambana zaidi ya kusurrender kuanzia china, uarabuni, africa ulaya na america.
Ndio maana Kila kiongozi wa kuheshimikawewe sio wadini siasa wala utamaduni Lazima areport pale kupata baraka za mkuu.
Kweli usione chaelea kimeundwa
Daah naona KARUMANZIRA dawa zake zimeanza kufanya kazi,acha niongeze dozi maana SIO MCHEZOOOO.Haya mamishuu ngoja niwe mpole.Ok.....this time nitafanya maamuzi magumu........
Nataka kupanda tax aina ya boat.......
Duh! Zizi [emoji2] [emoji2] [emoji2]Uchafu wote unaojua ulianzia italy hasa utumiaji wa zizi ulianzia huko kabla ya sodoma na gomorah
sioni link kati yao na Mfalme solomon, ila kuna mambo mengi ambao mengine mimi na wewe hatujui lakin hii inaonekana kuwa ni taasisi yenye uwezo na weredi mkubwa yenye kufanya mambo yake directly na indirectly. Ndio maana mdau hapo juu kasema huwa wanafukuzwa baadhi ya maeneoKuna mambo mengi kuhusu hawa jamaa lakini uwezo wao na ushawishi ni kutokana na dini tu au kuna kingine? Je, kuna mahusiano yoyote na wafalme waliopita kama Solomoni?
wewe sasa wasemaLingine la kuongeza, Italy ni mabingwa watarajiwa wa Euro 2016.
Forza Italia.
Kuna mambo mengi kuhusu hawa jamaa lakini uwezo wao na ushawishi ni kutokana na dini tu au kuna kingine? Je, kuna mahusiano yoyote na wafalme waliopita kama Solomoni?
Wewe mrembo,iko siku utakuja kushangaa ile mbaya,coz hutoamini kama unaota au vipi?,your dream willl come true in a jiffy.Next sun tan Ni Siracusa.......with my friend KARANJA 007.......
Papa Clement wa 15 aliombwa na wafalme wa Ulaya akifute kikundi cha Jesuits.
Walilamika sana kusema Jesuits wanaingilia kazi zao, Papa akakubali lakini kwa shingo upande.
Akasema tu by suppressing the order of Jesus "I have signed my death warrant".
Poor soul died nine months later.
Ukitaka kujua tu kitu toka mwaka 1555-1933 Jesuits organisations zimefukuzwa kwenye nchi zaidi ya 80.
Ukiangalia utakuta viongozi wote wanalalamika kitu kimoja.
Kuanzia John Adams, Thomas Jefferson, Abraham Lincoln, The Wilhelm of The Prussian Monarch, The Ramanovs and many others. Sijui kuna siri gani hapa imejificha.
Italia ilitawala hadi mashariki ya kati sehemu ambayo ukristo umezaliwa.
Hata ukosoma barua za Ignatus wa Antiokia utakuja kujua kwamba kulikuwa na ukristo lakini Warumi ndiyo wakaanzisha neno Universal Church na Orthodox kwasababu wao walisema wanafundisha mafundisho asili ya Yesu na kanisa la kwanza.
Japo Kaisari Konstantini mfalme wa Rumi ndiye aliyeifanya dini ya katoliki kuwa dini ya dola la rumi.
Wakaamua watu wasiabudu tena siku ya Sabatho bali Jumapili ambayo ilikuwa mwanzo wa juma.
Sasa kanisa la Katoliki chanzo chake ni ndani ya dola la Mrumi ambalo lilitawala hadi Uyahudi.
Labda ulete sababu nyingine kwamba katoliki imeanzia Moshi ndiyo nitakuelewa.
Mkuu upo chaka mbaya tafsiri ndogo sana inakuyumbisha hivi, msikariri kutoka kwa mapadri someni na myachambue maandiko, yesu aliposema hivyo hakumaanisha kujenga ukatoliki bali kupitia petro atalijenga kanisa kwa maana ya kwamba petro alipewa mamlaka ya kutoka Israel na kwenda kwa watu wa mataifa kuhubiri habari njema ya yesu au kueneza injili, ni sawa na hii habari ya kitabu cha matendo, petro anaonyeshwa wanyama pamoja na ndege ambao wengine ni najisi na anaambiwa chinja ule, hapa alikuwa anaambiwa nenda kwa mataifa kahubiri maana kipindi kile wayahudi waliwaterm watu wamataifa ni najisi na injili haikutakiwa kufika kwao, sasa hapa watu wamekaririshwa kuwa petro ameruhusiwa kula vyakula vyote ndo maana watu wanasosi kitimoto kwa sababu ya andiko hili kutafsiri sivyo, mkuu petro aliambiwa kuhubiri kwa watu wote duniani ndo maana yesu akasema hivyo kupitia yeye atalijenga kanisa. Sasa waroma nao wameenda kujenga kanisa sehemu au katika kaburi la petro maana petro aliuliwa italy na kuzikwa hapo ambapo lilipo kanisa la st peter Vatican, lengo ni kuhalalisha kuwa petro ndo muuanzilishi wa ukatoliki hadi kimuita papa wa kwanza wa kanisa katoliki, muanzilishi wa katoliki ni mfalme constantine.Kuna watu hulazimisha historia za uongo ili kuchafua tu Kanisa Katoliki. Badala ya kuhubiri watu waokoke wao wanashambilia kanisa kwa sababu ya mafunuo ya chuki. Yesu alisema; juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu, hata milango ya kuzimu haitalishinda.
Vipi kwa nchi kama China ambayo ina mifumo madhubuti kuanzia utamaduni, siasa na hata dini ambayo tumeanza kuona ikiingia hivi karibuni.
mbona china kule wameenda kitambo sana 1582. Mtafute mtu anayeitwa MAtteo Ricci.Vipi kwa nchi kama China ambayo ina mifumo madhubuti kuanzia utamaduni, siasa na hata dini ambayo tumeanza kuona ikiingia hivi karibuni.
mbona china kule wameenda kitambo sana 1582. Mtafute mtu anayeitwa MAtteo Ricci.Vipi kwa nchi kama China ambayo ina mifumo madhubuti kuanzia utamaduni, siasa na hata dini ambayo tumeanza kuona ikiingia hivi karibuni.
Vipi kwa nchi kama China ambayo ina mifumo madhubuti kuanzia utamaduni, siasa na hata dini ambayo tumeanza kuona ikiingia hivi karibuni.