Je; Una True Story Inayoweza Kutengenezewa Movie?

Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Movie

Tunatarajia kuanza kufanya Movie Productions based on True Stories only.

Stories tunazohitaji lazima ziwe na mafunzo katika jamii na "very moving" with various emotions zitakazofanya mtu asitoke kwenye kochi/kiti akiaanza kuangalia. Pia zitatengenezwa kwa kiwango cha juu kidogo.

Tutalipa kiasi cha pesa kwa story yoyote itakayovutia na tutakayoamua kuitumia kutoa Movie. Hii itategemea na makubaliano.

Pia kama una amini una kipaji cha kuwa Actor au Actress na unajua vema Kiingereza na hujajichubua au kutumia mkorogo wowote unaweza pia kututumia CV yako na maelezo ya uwezo wako kabla hatujakutana kwa interview.

Soko la Movie linategemewa kuwa East Africa.

Kwa wale "Motivational Speakers" ambao wangependa kutetengeneza Videos za Subjects mbalimbali pia tuwasiliane.

Mawasiliano yote yapitie barua pepe: jasonsltd@gmail.com
Mkuu kuna kitabu nilikua naandika itabidi tuwasiliane tufanye biashara
 
Tupeni wasifu wenu....mmefanya kazi ngapi, wapi na akina nani.
Kwa nini sasa mnaamini katika true stories na si zile za kina Shogongo...
Hebu onesha weledi kidogo.
 
Hatuna wasifu wa ajabu. Ni wajasiliamali wenye maono tofauti na Project ya Movie na Music Productions ni Mpya na yenye maono mapya, so hatujafanya kazi na mtu na zaidi tuko kusaidia wasanii chipikizi waje zaidi.

Vision ya Eric Shigongo na yetu ni tofauti. Inaaminika Stories nyingi kwa sasa zinafanana na zingine ni copy and paste za Kinigeria.
 
hongera sana mkuu superman...!

will come in with my true story during the second batch
 
Mtaliwa hela zenu nyie, shauri yenu!

Mi nilizungushwa kupewa mkwanja wangu kwa zaidi ya miaka 2!

Msidanganyike. Mkiingia kingi mmekwisha.
 
Mimi nasubiri prodction yenu ya kwanza halafu nikiridhika nawatafuta
kwa kuongezea tu hebu tafuta filam ya Ireen Sanga...iko saafi saana
 
Mkuu mi nadhani maisha mazima tunayoyaishi pamoja na matendo yanayofanyika kwenye jamii zetu ni movie tosha za true story.Binafsi ninayo inayoelezea mikasa niliyokumbana nayo hadi hapa nilipo leo, humo ndani imebeba hisia za kumfanya yeyote alie kwa sauti na machozi, pia imebeba maudhui kama vile Rushwa, matumizi mabaya ya vyombo vya dola na ofisi za umma, uchawi, dini, unyanyapaaji wa wajane na mayatima, mauaji ya kutisha, athari za umaskini, usaliti katika mapenzi, vichekesho (comedy) n.k! Stori hii tayari ipo kwenye Scripts na niliiandika kutoka kwenye wimbo nilioutunga kwa uchungu mwingi( Jina nitatoa tukishaelewana) ambao ndio umebeba Jina la Movie na nilipenda niu rekodi kwanza ili uwe ndio Soundtrack ya movie hiyo.Kwa ufupi nilipenda niigize mwenyewe siku Mungu akinijaalia Mapesa lakini kama itawapendeza tufanye Biashara tu sio mbaya.
 
Nakupata.

Tunaweza kukusaidia:

Kurecord Music
Kutengeneza Movie
Kukuandikia Kitabu

Tuwasiliane tafadhali.
 
Mtaliwa hela zenu nyie, shauri yenu!

Mi nilizungushwa kupewa mkwanja wangu kwa zaidi ya miaka 2!

Msidanganyike. Mkiingia kingi mmekwisha.

Haaaa haaaa mimi sina record hiyo. Aliyekuzika ni Maxe na Mike. Mnkjj atakupa records zangu.

Acha hizo, afu nitakunyang'anya Gold hiyo usumbuane na Maxence tena.

Mkuu hii biashara ni purposely kuwasaidia vijana watoke!
 
Nawashauri muanze kwa kutengeneza makala (documentaries) kwanza ndio mje huku kwenye filamu(movies).
Unajua hapa sioni ubunifu wowote maana mnachotaka kufanya ni ku-base kwenye true stories only. Hadithi ya filamu ni sehemu ndogo sana katika ulimwengu wa uzalishaji filamu, kinachoifanya filamu ishike hatamu mara nyingi huwa ni UONGOZAJI.
Hivyo bado mnahitaji kuanza na kutueleza uwezo wenu kwanza kabla ya sisi kuwapa BIDHAA ADIMU ITAKAYO WATOA HAPO MLIPO NA KUWAPELEKA JUU YA HAPO.

Hatuna wasifu wa ajabu. Ni wajasiliamali wenye maono tofauti na Project ya Movie na Music Productions ni Mpya na yenye maono mapya, so hatujafanya kazi na mtu na zaidi tuko kusaidia wasanii chipikizi waje zaidi.

Vision ya Eric Shigongo na yetu ni tofauti. Inaaminika Stories nyingi kwa sasa zinafanana na zingine ni copy and paste za Kinigeria.
 
Mtaliwa hela zenu nyie, shauri yenu!

Mi nilizungushwa kupewa mkwanja wangu kwa zaidi ya miaka 2!

Msidanganyike. Mkiingia kingi mmekwisha.
muunganishe na le mutuz ampe mabebs wa ukweli wa kuact,mabebs wa uk na new york
 
Mimi nasubiri prodction yenu ya kwanza halafu nikiridhika nawatafuta
kwa kuongezea tu hebu tafuta filam ya Ireen Sanga...iko saafi saana

Mkuu njo tushauriane. Shida si Production. Shida ni ubunifu. So karibu.

Simfahamu Irene Sanga.
 
Haaaa haaaa mimi sina record hiyo. Aliyekuzika ni Maxe na Mike. Mnkjj atakupa records zangu.

Acha hizo, afu nitakunyang'anya Gold hiyo usumbuane na Maxence tena.

Mkuu hii biashara ni purposely kuwasaidia vijana watoke!
mpe huyo dogo hela yake bwana
 
Ha ha ha..haya bana babu ..tutazifanyia kazi basi hizi chunusi ili na mie niuze sura pembeni yako..
Lkn nachelea kukupoteza kwenye kambi yetu ya waadilifu.

Hivi unaweza kuwa super star halafu ukabaki kuwa mwadilifu??

Ndiyo maana nimesema kuwa siku za kubaki na udhu zinayoyoma kwa kasi sasa!!

Anyway...ngoja tuachie hapa kabla Superman hajatufukuza kwenye uwanja wake...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu njo tushauriane. Shida si Production. Shida ni ubunifu. So karibu.

Simfahamu Irene Sanga.

Ireen Sanga alitengeneza filam moja ilikuwa safi saana
ya kiuhalisia na story ya kiafrica zaidi
huwa anaimba nyimbo na Mpoto..

vipi kuhusu fiction?
 
Nawashauri muanze kwa kutengeneza makala (documentaries) kwanza ndio mje huku kwenye filamu(movies).
Unajua hapa sioni ubunifu wowote maana mnachotaka kufanya ni ku-base kwenye true stories only. Hadithi ya filamu ni sehemu ndogo sana katika ulimwengu wa uzalishaji filamu, kinachoifanya filamu ishike hatamu mara nyingi huwa ni UONGOZAJI.
Hivyo bado mnahitaji kuanza na kutueleza uwezo wenu kwanza kabla ya sisi kuwapa BIDHAA ADIMU ITAKAYO WATOA HAPO MLIPO NA KUWAPELEKA JUU YA HAPO.

Kwetu Good Movie ni: Good Story; Good Shooting na Directing & Production.

Documentaries tumeshaanza na: Motivational Series.

Actually we know what we are doing. Communication hii haina maana kuwa tunaface challenge yoyote. Upya haina maana hamna Professionalism na Experience.

Kwa akina Thomaso, they should wait and see.
 
Ireen Sanga alitengeneza filam moja ilikuwa safi saana
ya kiuhalisia na story ya kiafrica zaidi
huwa anaimba nyimbo na Mpoto..

vipi kuhusu fiction?
yule dada ndo alimtoa mpoto na wimbo wa mjomba nadhani halafu mpoto akawa anapotezea as if wimbo ni wake,wala sidhani kama wanaelewana,ila ndo hivo wanaume shukrani ziro,na ukimuamsha alielala utalala wewe,na huyo mpoto toka huyo dada alivomtoa na mashairi hajaweza kuongeza chochote hadi watu wamemchoka naw!
 
Back
Top Bottom