Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Movie
Tunatarajia kuanza kufanya Movie Productions based on True Stories only.
Stories tunazohitaji lazima ziwe na mafunzo katika jamii na "very moving" with various emotions zitakazofanya mtu asitoke kwenye kochi/kiti akiaanza kuangalia. Pia zitatengenezwa kwa kiwango cha juu kidogo.
Tutalipa kiasi cha pesa kwa story yoyote itakayovutia na tutakayoamua kuitumia kutoa Movie. Hii itategemea na makubaliano.
Pia kama una amini una kipaji cha kuwa Actor au Actress na unajua vema Kiingereza na hujajichubua au kutumia mkorogo wowote unaweza pia kututumia CV yako na maelezo ya uwezo wako kabla hatujakutana kwa interview.
Soko la Movie linategemewa kuwa East Africa.
Kwa wale "Motivational Speakers" ambao wangependa kutetengeneza Videos za Subjects mbalimbali pia tuwasiliane.
Mawasiliano yote yapitie barua pepe: jasonsltd@gmail.com
Inawezekana nikaukwaa usupastaa na uselebrite hapa..sijajichubua lkn nina chunusi..naweza kutuma maombi ya kuwa actress??