Je; Una True Story Inayoweza Kutengenezewa Movie?

Je; Una True Story Inayoweza Kutengenezewa Movie?

Superman

R I P
Joined
Mar 31, 2007
Posts
5,693
Reaction score
1,707
Wanajamii na Wapenzi wa Bongo Movie

Tunatarajia kuanza kufanya Movie Productions based on True Stories only.

Stories tunazohitaji lazima ziwe na mafunzo katika jamii na "very moving" with various emotions zitakazofanya mtu asitoke kwenye kochi/kiti akiaanza kuangalia. Pia zitatengenezwa kwa kiwango cha juu kidogo.

Tutalipa kiasi cha pesa kwa story yoyote itakayovutia na tutakayoamua kuitumia kutoa Movie. Hii itategemea na makubaliano.

Pia kama una amini una kipaji cha kuwa Actor au Actress na unajua vema Kiingereza na hujajichubua au kutumia mkorogo wowote unaweza pia kututumia CV yako na maelezo ya uwezo wako kabla hatujakutana kwa interview.

Soko la Movie linategemewa kuwa East Africa.

Kwa wale "Motivational Speakers" ambao wangependa kutetengeneza Videos za Subjects mbalimbali pia tuwasiliane.

Mawasiliano yote yapitie barua pepe: jasonsltd@gmail.com
 
muone CHAI CHUNGU kwa story
na hapo kwa waigizaji wasiotumia mkorogo nadhani nitakufaa kidogo mkuu mimi naogea mbuni hadi kesho
au niweke picha?

Mkuu tunahitaji True Stories siyo fictions. Kama uko vizuri kuigiza tuma CV yako.
 
kwenye stories moving za kibongo na za kweli kwanini msiingie pia kwenye historia mkatoa za kina Mkwawa, Kimweri nina uhakika ni moving enough na mafunzo ni makubwa sana tu
 
kwenye stories moving za kibongo na za kweli kwanini msiingie pia kwenye historia mkatoa za kina Mkwawa, Kimweri nina uhakika ni moving enough na mafunzo ni makubwa sana tu

Good Idea.

Thanks.
 
nina story ya kweli inataka kufanana na ile muvi ya nigeria ya remember your mother sijui itakufaa
 
nina story ya kweli inataka kufanana na ile muvi ya nigeria ya remember your mother sijui itakufaa


Mkuu uko huru; tunaweza kuonana au tuma briefing. Ikikubalika tutaongea biashara.
 
Hiyo story mfano ninayo inabidi iwe ishaandikwa au ni mtu kuwahadithia mnaandika wenyewe?.....halafu ni kiasi gani mnalipa?
 
Briiiing briinnbg ati promota anabip!
Hongera mwaya. Uwatoe artists wetu bwana na uwe na program wasifulie. Jumamoi wanakaaga pale leaders hadi huruma, wanashare supu watatu watatu.
 
vitendo vinavyofanywa na polisi pia vinatosha kutengeneza muvi ya polisi wa ukoloni mamboleo pamoja na ufujaji wa mali mkianzia na madini yetu,sio kila siku mapenzi kwenye muvi za bongo.
 
Briiiing briinnbg ati promota anabip!
Hongera mwaya. Uwatoe artists wetu bwana na uwe na program wasifulie. Jumamoi wanakaaga pale leaders hadi huruma, wanashare supu watatu watatu.

True. Unajua kinachotokea?

Wanaact movies kwa gaharama zao kisha wanalipwa kwa awamu say kati ya TZS 10M na TZS 25M kwa Movie

Then Distributor anayenunua anachukua na Copyright. Then anatoa say copy 50,000 - 100,000 ambazo anazisambaza ina month huku kila copy akiuza kwa TZS 2500 so anapata kati ya TZS 125M to 250M.

So basically anapata faida ya kati ya TZS 50 M to TZS 100M au zaidi na msanii anabaki palepale.

Pia Movie Industry haiko defined, controlled na supported na Serikali sana kama Nigeria mabayo hata Serikali inategemea mapato yake.

So inatakiwa uzalendo wa hali ya juu ili wasnii wetu watoke. Kinachotakiwa ni: Good Stry; Good Actors; Good Shooting then unapata Good Movie after Professional Editing.
 
Hiyo story mfano ninayo inabidi iwe ishaandikwa au ni mtu kuwahadithia mnaandika wenyewe?.....halafu ni kiasi gani mnalipa?

Boss, unaandika abstract kama one au two pages kisha mtaalamu wetu anaipitia kama inafaa unaambiwa them mnaidevelop. Ikiwa poa tunaongea biashara. Kumbuka issue nzima ni kujaribu kusaidia wasanii wakati pia mtoa story naye anapata kitu.
 
vitendo vinavyofanywa na polisi pia vinatosha kutengeneza muvi ya polisi wa ukoloni mamboleo pamoja na ufujaji wa mali mkianzia na madini yetu,sio kila siku mapenzi kwenye muvi za bongo.

True Movie ndo mpango mzima ili kuleta balance. So kazi kwenu waleta stories.
 
Back
Top Bottom