Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,356
- 144,980
Haaaa haaaa mimi sina record hiyo. Aliyekuzika ni Maxe na Mike. Mnkjj atakupa records zangu.
Acha hizo, afu nitakunyang'anya Gold hiyo usumbuane na Maxence tena.
Mkuu hii biashara ni purposely kuwasaidia vijana watoke!
Documentaries mnatengeneza? Kama mnatengeneza mimi ningependa mtengeneze kuhusu maisha yangu ya hapa JF, kuanzia mwanzo wakati inaitwa TEF hadi hivi sasa nilipofikia hii living legendary status.
Watu wengi sana wame-speculate kuhusu mimi. Kila mtu ana theories na hallucinations zake kuwa mimi ni mtu wa aina gani. Ingawa asilimia 99.6 ya watu humu hawanijui lakini hawaishi kuzungumza kama vile wananijua.
Kuna ambao wameshadiriki hata kusema wanajua umri wangu (sijui walinizaa wao lol) na mengine mengi kama hayo.
Hivyo nadhani documentaries ya 'The Life & Times of NN' itaweza hata kuwatoa na nyie wenye kampuni....