Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Mimi nina story juu ya maisha yangu mwenyewe, and it is very interesting pia ina mafunzo hasa kwa vijana. Lakini je, hamuoni kama naweza kuwapa hiyo story then mkaniambia haifai, baada ya mda mkaigiza kwa kutumia idea yangu bila mimi kupata malipo yoyote?