Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
- Thread starter
- #121
Mbona wachina hua wanatumia lugha yao?eti awe anajua kingereza kweli! Amakweli watanzania hawajitambui mimi simo.kunawenye vipaji lakini lugha ina muskeli kwahiyo kipaj chao wapeleke wapi?
Mkuu, we are not a government au hatufanyi siasa. Tunafanya Biashara.
Distribution ya Movie ina target 15 Countries including Regional Actors/Actress.