Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Nikweli ni kwa neema tu, tukianza kuhadithia hapa watu watamwaga machozi, na Mwenyezi Mungu humuinua mtu toka mavumbini hata mahali pa juu sanaaaaa, hii ndio hali niliyonayo.

Kuna kipindi mke niyeachana naye kwa talaka mimi nikiwa nje ya nchi alimtukana mama yangu mzazi. Na uanaume wangu wote nililia wiki nzima. Maana tulipo pita na mama yangu mwenyezi Mungu ni shahidi. ..

HUU UZI KWANGU NI KUNIKUMBUSHA UGUMU NILIOPITIA ,maana nashindwa kueleza na nikikubuka nalia kila wakati.

Wengine hauwajawahi kumuona mwanaume akilia kwa nguvu na machozi mengi ndio hali niliyonayo mimi bado kila kukicha. .

AMEN
Pole sana! Mungu azidi kukubariki kwa kumthamini mama yako na ninaamini amekujaliakwa hilo!
 
Word!! Hapa umenikumbusha jambo lililoifedhehesha nafsi yangu sana sana... Kuna kipindi nilipitia hali ngumu sana, sikuwa na mtu wa kushare naye hata ideas kutokana na nature ya watu walionizunguka. Akatokea mtu aliyehisi kuwa nina tatizo linalonisumbua. Alionekana kutaka kunisaidia kisaikolojia maana nilikuwa kama mtu niliyechoka sana, sura ilipoteza nuru na nikaonekana kuwa mnyonge kila mara. Katika kunihoji nikaona nimweleze huenda nitapata relief moyoni... Kumbe alikuwa chui katika vazi la kondoo....alizidi kunichinjia kwenye maji... Akanizidishia matatizo... Poor Patience...

Ungekuja JF
 
Yaani ni kama umeona nilichowaza kuhusu huyu The Meek!

He is in depression! Maisha na maandiko yamemchanganya!

Anahitaji kumpata mtu ambaye atamwelekeza vizuri habari za Kimungu na kumpa maarifa sahihi ya maisha.
He is intelligent ukisomahistoriayake. Kwa wanaosoma seminary ni wale cream sasa sijui what happened maana hajaelezea vizuri. Ila watu wenye akili nyingi sana wakati mwingine hawaelewani na watu wenye akili za kawaida wakati mwingine ni vigumu hata ku-cope na mabosi wao au wa chini yao. namfahamu baba mmoja intelligent alisomea course nadra sana mambo ya mafuta kwa sasa angeweza pata fursa nzuri sana hapa Tanzania. Alifanya kanzi nje , nchi sitaitaja alikuja Tanzania akiwa na maisha mazuri saana sijui nini kilitokea maisha yakaporomoka. Sitaelezea details. Uzuri, asante baba wa Taifa nitakuenzi Daima. Alikuwa na watoto 5 walisoma japo kwashida lakini kwa kuwa elimu ilikuwa bure nina Imani ndio wanaomsaidia kwa sasa ni miaka mingi imepita.
Sasa Ndugu Meek mfano ana fursa nyiingi. Anaweza tunga kitabu cha siku 76 za safari ya kwenda Nigeria- kikaweza kumpatia kipato. Anaweza kujitangaza anafanya editing ( kazi za kiingerza- wahitaji kibao) kwa kusoma seminary nina hakika anaweza kazi hii. Nadhani afanye yote mawili kusali lakini na kutafuta shughuli ya kufanya. yeye ana bahati kwani ana mtaji unaowezakuleta pesa ambao ni ( Mtu waimani ya dini yake kwa undani+ ni Intelligent + ana elimu nzuri + ana afya yake) aitumie itamkomboa.
 
Napitia huu uzi nikiwa sina hela ya kula mwana anaumwa sina hela ya kumpeleka hospital.Kazi nimeachishwa mafao yamezuiwa.Utakapowakumbuka wengine nami usinipite Mungu wangu.

God is great,tupia number yako ya simu ndugu waweza pata msaada
 
Napitia katika hali ngumu sana ila namshukuru Mungu nasonga. Maisha yangu yanaenda km bahati tu vingnevyo ningekuwa nmeshakufa ila najua Mungu ana kusudi lake kwangu. Napitia ktk kipindi kigumu sana ila naimani nitakuja kuwa shuhuda kwa wengne. Mungu ni mkubwa.

Be strong and of good courage@
 
Duuh sina hata cha kuandika sema leo huu wimbo umenikaa sana moyoni. My poor cousin sister has given birth to triplets, unfortunately she lost all her babies. It shall be well with her soul.....by Angel Bernard

1.Nionapo amani kama shwari
Ama nionapo shidaaa
Kwa mambo yote umenijulisha
Ni salama rohoni mwanguuu

CHORUS
Salamaa, rohoniiiii
Ni salama, rohoni mwanguuuu

2. Ingawa shetani alinitesa
Nalijipa moyo kwanii
Kristo Uliuona unyonge wangu
Ulikufa kwa roho yangu
Na dhambi zangu zote, wala si nusu
Ziliwekwa msalabani
Wala sichukui laana yake
Ni salama rohoni mwangu

××××CHORUS

Eeh Bwana himiza
Siku ya kuja
Panda itakapolia
Wala sitoogopa
Ni salama rohoni mwangu

When peace like a rivet,attendeth my way. ...
Poleni sana mpendwa!
 
Yaaani nimesoma huu uzi nimecheka sana,nilipo sijala siku ya pili ,wiki ya pili simu haina salio,natembelea nyota ya freebasics kuingia humu na zoom,yote kwa yote i am happy na hakuna jiran anayejua km nna tatzo,mara ya mwisho nlkuwa na 200 jiran yang akaniomba soda nikampa hyo 200, sijuh nyingne nitaipata lini
 
MWENYE ENZI MUNGU hakumweka binadamu duniani ili ateseke, ameiachia hali ya mateso ili tujifunze katikati ya mateso, na YEYE mwenyewe atayaondoa na kukupa baraka zake zote! hakika MOLA ni mwaminifu kwa wale wanaomtumaini! amani yake ikae nasi sote sasa na hata milele... Amen
 
Sio mbaya kushare na wanajamii. Niliishi msamvu stand bila kuwa na mchakato wowote, siku nne sijala zaidi ya kunywa maji tu, siku moja nimeamka toka kwenye kibanda tulicho kuwa tunalala, nikapata dili la kwenda kupakia mifuko ya cement kwa Omar Awadhi na njaa yangu mida ya saa nne asubuh, mara Yunday ya polisi hiyo, nikakamatwa, eti nashirikiana na majambazi.. Nikawekwa kwenye buti la Yunday mpaka saa tisa mchana, polisi wamenisahau..Nikiwa kwenye buti mara Pumnzi inakata, nahisi kama kuna kitu kinaanza kuuacha mwili.. Machozi yakanitoka, kimoyo moyo nikasema leo nakufa bila ndugu zangu kujua, hakika niliumia sana, Gafla nikasema hapana siwezi kufa bila kuomba Mungu. Nikaomba kimoyo moyo, Ehee Mungu wangu mimi bado kijana mdogo sana naomba unitoe katika haya mateso yanayoweza kutoa roho yangu.. Mara gafla nasikia brek., wale polisi wamekumbuka kuwa kwenye buti la gari kuna mtu, wakanitoa na kwenda kuninunulia chakula baada ya kuwaeleza kwanini nipo katika maisha yale.. Walipo ninunulia chakula na kunipa elfu 2000. Baada ya kula nikampa story yule mama lishe jinsi ilivyo kuwa, akanionea huruma akanichukua mpaka kwake Chamwino, kapanga chumba kimoja, ikawa hamna jinsi nikawa ndio mume wake.. Mama mtu mzima aliyetumia mkorogo uliyo dunda kwenye ngozi yake mimi ndio mume wake, nashukuru alinipenda na kunijari sana, Ila Mungu muache aitwe Mungu, maana nilikuwa namgegeda bila condom lakini bahati hakuwa na malazi yoyote..

Siku zote kuna mambo ambayo kwa akili zako huwezi hivyo ni kuyakabidhisha kwa Muumba wetu.
 
Bado unaishi nae hadi sasa
 
Kwa kuwa nilikuwa nawish kuwa mtu fulani, nilikaa nae kama miezi 4, Baadae nikaenda kuwa house boy mshahara elfu 8000 kwa mwezi. Nimefanya kazi kwa mdada wa kiindi, aisee Waindi wanatuma!! Duuh bora usikie tu.,Mhindi hatari, anakutuma mpaka anasahau kakupa kazi, hivyo anakupa kazi juu ya kazi.. kutoka St Francis secondary mpaka kihonda magorofani asilimia kubwa wenye maduka walinijiua, akikuagiza kitu utasikia hii sio au hii imexpire au hii mbovu au hii imepinda au hii imelegea.. Aisee Waindi hatari. Ila nikakomaa mpaka nikanunua baiskel used phonex, nikaanza biashara ya kubeba watu kutoka Kihonda Idiva mpaka st Anna, kwa wakati huo ilikuwa shs 200 kumpereka abiria akapande daladala.. Sitasahau siku moja nimerudi gheto kwa yule bro, mvua ilikuwa inyesha sana nakumbuka siku hiyo, nikaoga nikapanda kitandani, Duuh jama si akataka kuni***** huo usiku!! Nikakataa basi jamaa akanifukuza huo usiku kama saa 5 hivi.. Sikuwa na jinsi nikaondoka uku nikiwa sijui wapi naenda.. Nikatoka njee .. Duuh sitasahau kabisa..
 
Nikatamani uendelee mpaka ulivofanikiwa lols
 
Kila mtu hupitia changamoto mbalimbali za kimaisha, tunatofautiana uzito wa jambo husika.

Kikubwa tujifunze kuwa na SHUKRANI kwa kila jambo. Maana ktk Maisha muangalie hasa wa NYUMA yako usimuangalie wa MBELE yako ni utakufuru kwa Mungu wako na kulalamika kwanini inakua hivi na kwanini isingekua hivi.
Wewe unalalamika kupata Mlo mmoja kwa siku wakati kuna mwingine hana hata uhakika wa huo mlo mmoja.
 
Kwa kuwa nilikuwa nawish kuwa mtu fulani, nilikaa nae kama miezi 4, Baadae nikaenda kuwa house boy mshahara elfu 8000 kwa mwezi. Nimefanya kazi kwa mdada wa kiindi, aisee Waindi wanatuma!! Duuh bora usikie tu.,Mhindi hatari, anakutuma mpaka anasahau kakupa kazi, hivyo anakupa kazi juu ya kazi.. kutoka St Francis secondary mpaka kihonda magorofani asilimia kubwa wenye maduka walinijiua, akikuagiza kitu utasikia hii sio au hii imexpire au hii mbovu au hii imepinda au hii imelegea.. Aisee Waindi hatari. Ila nikakomaa mpaka nikanunua baiskel used phonex, nikaanza biashara ya kubeba watu kutoka Kihonda Idiva mpaka st Anna, kwa wakati huo ilikuwa shs 200 kumpereka abiria akapande daladala.. Sitasahau siku moja nimerudi gheto kwa yule bro, mvua ilikuwa inyesha sana nakumbuka siku hiyo, nikaoga nikapanda kitandani, Duuh jama si akataka kuni***** huo usiku!! Nikakataa basi jamaa akanifukuza huo usiku kama saa 5 hivi.. Sikuwa na jinsi nikaondoka uku nikiwa sijui wapi naenda.. Nikatoka njee .. Duuh sitasahau kabisa..
Sio mbaya kushare na wanajamii. Niliishi msamvu stand bila kuwa na mchakato wowote, siku nne sijala zaidi ya kunywa maji tu, siku moja nimeamka toka kwenye kibanda tulicho kuwa tunalala, nikapata dili la kwenda kupakia mifuko ya cement kwa Omar Awadhi na njaa yangu mida ya saa nne asubuh, mara Yunday ya polisi hiyo, nikakamatwa, eti nashirikiana na majambazi.. Nikawekwa kwenye buti la Yunday mpaka saa tisa mchana, polisi wamenisahau..Nikiwa kwenye buti mara Pumnzi inakata, nahisi kama kuna kitu kinaanza kuuacha mwili.. Machozi yakanitoka, kimoyo moyo nikasema leo nakufa bila ndugu zangu kujua, hakika niliumia sana, Gafla nikasema hapana siwezi kufa bila kuomba Mungu. Nikaomba kimoyo moyo, Ehee Mungu wangu mimi bado kijana mdogo sana naomba unitoe katika haya mateso yanayoweza kutoa roho yangu.. Mara gafla nasikia brek., wale polisi wamekumbuka kuwa kwenye buti la gari kuna mtu, wakanitoa na kwenda kuninunulia chakula baada ya kuwaeleza kwanini nipo katika maisha yale.. Walipo ninunulia chakula na kunipa elfu 2000. Baada ya kula nikampa story yule mama lishe jinsi ilivyo kuwa, akanionea huruma akanichukua mpaka kwake Chamwino, kapanga chumba kimoja, ikawa hamna jinsi nikawa ndio mume wake.. Mama mtu mzima aliyetumia mkorogo uliyo dunda kwenye ngozi yake mimi ndio mume wake, nashukuru alinipenda na kunijari sana, Ila Mungu muache aitwe Mungu, maana nilikuwa namgegeda bila condom lakini bahati hakuwa na malazi yoyote..

Siku zote kuna mambo ambayo kwa akili zako huwezi hivyo ni kuyakabidhisha kwa Muumba wetu.
Mkuu unaweza kuandika kitabu.......halafu kuna watu humu wamemaliza chuo kikuu wamekosa kazi eti wanasema wanapata shida!
 
Aisee sikia kwa mtu tu yasikupate wewe!

Nakumbuka mwaka 2013 ulikuwa kama mwaka wa mikosi kwangu,mwaka huo nilikuwa nauguza baba yangu miezi miwili hospitali kwa tatizo la kansa.Mwezi wa sita akafariki,sijapoa na machungu ya msiba mwezi wa nane nikaachishwa kazi.Baada ya kuachishwa kazi,niliandamwa na matatizo lukuki ambayo nikianza kusimulia hapa naweza nikaishia kulia tu.

Kwa ufupi amani kwenye ndoa yangu ikaisha kabisa,nikagombana na mke wangu(nahisi kwa kuwa maisha aliyozoea akawa hayapati tena),akaamua kuondoka nyumbani kwenda kwao,kuna nyumba niliyokuwa najenga,akabeba hati zote za manunuzi ya kile kiwanja akaondoka nayo.Nimekaa miaka miwili bila kazi mpaka mwaka huu ndo nimeamua kujiajiri mwenyewe.Daah,ngoja niishie hapa wakuu!Inaumiza sana.
 
YES, I do...! But because always I consider my life to be when I am alive to my death...! And every situation happening in my life is a part of my life...! Any hard situation is a challenge and never be a problem...! It is like in school, you must sit for the exam, of which you must pass to be someone different...! Though I am not direct to the verse, it is written in the bible, that we will keep facing test, but of our levels...! That is how I regards my self when facing any challenge, that it is a an exam I must pass as the way to become someone different...! That is life...!
 
Duuh sina hata cha kuandika sema leo huu wimbo umenikaa sana moyoni. My poor cousin sister has given birth to triplets, unfortunately she lost all her babies. It shall be well with her soul.....by Angel Bernard

1.Nionapo amani kama shwari
Ama nionapo shidaaa
Kwa mambo yote umenijulisha
Ni salama rohoni mwanguuu

CHORUS
Salamaa, rohoniiiii
Ni salama, rohoni mwanguuuu

2. Ingawa shetani alinitesa
Nalijipa moyo kwanii
Kristo Uliuona unyonge wangu
Ulikufa kwa roho yangu
Na dhambi zangu zote, wala si nusu
Ziliwekwa msalabani
Wala sichukui laana yake
Ni salama rohoni mwangu

××××CHORUS

Eeh Bwana himiza
Siku ya kuja
Panda itakapolia
Wala sitoogopa
Ni salama rohoni mwangu
Your the strong girl and i've got no doubt for that

You had every good song for every mood and that's the greatest faith to survive with!
 
Back
Top Bottom