Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Kuna mahali inafika unaona kama dunia haitaki ushirikiano nawe,unaona wote ni kama wamekutenga hakuna anaejali matatizo yako hata wale wa karibu yako hawakuoni.

Unabaki wewe na Mungu wako tu,ni kipindi kigumu kwakila mtu. Tumepita na tunaendelea kupita kwenye changamoto mbalimbali....

Muhimu ni kua karibu na mungu zaidi na atakuvusha salama.
Leo umeandika post ndefu sana rafiki. Sote tunapitia magumu at some point. Ni kuwa wagumu na kupambana tu.
 
Hiyo hali inatokea sana. Na haitakuja kutokea kuisha. Ilishawahi kunitokea aliekuja kunisaidia ni ndugu yangu wa damu. Kila rafiki ninayejaribu kumkopa ananiambia nikakope benki. Baada ya kuwa vizuri nilipunguza marafiki kwa 98%. Sikuona umuhimu wa kuwa na marafiki wa whattsap wakati ukiwa na shida anakukacha.
 
Haya maisha kila mmoja anapitaga wakati mgumu kwa namna yake, kila mtu akiamua kuandika hapa labda wewe matatizo yako hayafiki hata robo ya matatizo ya wengine, cha mno ni kumuomba Mungu tu atupitishe salama
 
Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.

Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)

Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.

Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.

Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.

Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.

Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.

Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.

Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.

Natumia muda kuwaombea maadui

f077592e4c5aa05c1d2e35ac99a56ca1.jpg
 
kufikwa na matatizo ni tatizo ila kukosa mtu wa kushare nae hayo matatizo (hata wa kumhadithia tu) ni tatizo zaidi!
Word!! Hapa umenikumbusha jambo lililoifedhehesha nafsi yangu sana sana... Kuna kipindi nilipitia hali ngumu sana, sikuwa na mtu wa kushare naye hata ideas kutokana na nature ya watu walionizunguka. Akatokea mtu aliyehisi kuwa nina tatizo linalonisumbua. Alionekana kutaka kunisaidia kisaikolojia maana nilikuwa kama mtu niliyechoka sana, sura ilipoteza nuru na nikaonekana kuwa mnyonge kila mara. Katika kunihoji nikaona nimweleze huenda nitapata relief moyoni... Kumbe alikuwa chui katika vazi la kondoo....alizidi kunichinjia kwenye maji... Akanizidishia matatizo... Poor Patience...
 
Kuna umuhimu sana wa kusamehe watu wote wanaotukwaza + kuwaombea mema.
 
Hiyo hali inatokea sana. Na haitakuja kutokea kuisha. Ilishawahi kunitokea aliekuja kunisaidia ni ndugu yangu wa damu. Kila rafiki ninayejaribu kumkopa ananiambia nikakope benki. Baada ya kuwa vizuri nilipunguza marafiki kwa 98%. Sikuona umuhimu wa kuwa na marafiki wa whattsap wakati ukiwa na shida anakukacha.
Through hardships we do not only learn to struggle, we do also learn who truly friends are.
 
Hayo yote uliyoyaandika , ndio nayapitia sasa. Tena yamekuwa kwa muda mrefu sana.

Ilifika mahala nikaenda SCOAN Nigeria kwa PTB Joshua kwa njia ya bara bara ( nilitumia siku 76 kufika)

Nimekuwa kiroho sana. But matatizo yapo pale pale. Na yanazidi kuongezeka mpaka kukimbiwa na watu wa karibu kabisa, uliowasomesha na kuwainua juu.

Wakwe kukuona kama mwehu, mke kukuona hufai , na kuudharau Wokovu wako.

Mara waseme sitaki Kazi, na kwamba nachagua Kazi. Wakwe wanamsisitiza mke wangu aachane na Mimi kuwa nampotezea muda, sina Kazi.

Nakuwa karibu sana na Mungu kila mara. Na ninafunga na kuomba kila mara.

Hii ni sehemu ambayo naitumia kusali mchana na Usiku..., asubuhi mchana jioni.

Usiku kabla ya saa 6 , Then saa 7-8 , na saa 9-10.

Nimetandaza vyeti vyangu vyote kuanzia chini hadi Postgraduate, na mahitaji ya watu wengine.

Natumia muda kuwaombea maadui

f077592e4c5aa05c1d2e35ac99a56ca1.jpg
Mkuu kuna ule mstari unasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Kuokoka haina maana ndio uache kazi,yani 24 hours uwe tu maombini.
 
Kuna umuhimu sana wa kusamehe watu wote wanaotukwaza + kuwaombea mema.
Kwa kweli liliniuma, imepita miaka but limening'ang'ania moyoni.... Huwa najaribu kusahau lakini nashindwa... Pengine nahitaji counseling ya hali ya juu..maana imekuwa kama weakness kwangu. Acha kabisa ndugu.
 
Mi nakumbuka enzi hizo kila nililofannya lilionekana baya!
Ndugu walinidharau na kunichukia,
Kazi nilikosa,mademu mtaani walinidharau,
Nlipanga chumba nje ya mji kisicho na umeme wala maji
Nililalia mabox na nlikuwa naenda kula ukoko kwa mama ntilie!
Kuna siku nilisubiri usiku nikazunguka nyuma ya choo kuna yale maji yanayotoka bafuni kuna mchicha ulikuwa umestawi hapo niliuchuma nkaingia gheto nikapika nikala!
Ni mengi nkikumbuka nalia!
 
Mkuu kuna ule mstari unasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"

Kuokoka haina maana ndio uache kazi,yani 24 hours uwe tu maombini.
Ndugu, ni vigumu sana kuelewa ninayopitia. Na kile ninachopata baada ya maombi.

Bila kufanya hivi , tayari ningekuwa nimeishajinyonga zamani au kufa.

Last week nilipata attack nikiwa bafuni naoga, nilianguka ghafla...damu zilitoka nyingi sana... ( nakumbuka , mchana yake kuna mtu alinitamkia atanifanya kitu kibaya - jioni nikapatwa na hali hii)
ecc23a8c060db886933b6764fb298519.jpg

Ni watu wachache sana wakianguka bafuni kama nilivyoanguka wanapona. Mara nyingi huwa wanapata stroke au kufa.

Nimenusurika kufa mara nyingi sana Ndugu. Huwezi kunielewa kwa kusoma hapa.
 
Kwa kweli liliniuma, imepita miaka but limening'ang'ania moyoni.... Huwa najaribu kusahau lakini nashindwa... Pengine nahitaji counseling ya hali ya juu..maana imekuwa kama weakness kwangu. Acha kabisa ndugu.
Unahitaji Counseling, Understanding + Hekima ili uwe sawa katika hilo.

Kwani kwa kufanya hivyo, inakuwa sawa na kumfaidisha Adui yako. I mean, mara nyingi tunapokuwa hatuwasamehi watu , wao huchukua nguvu zetu na kuendelea kutufadhaisha badala ya kuwapenda.

Ni vyema , ukasamehe na kusahau ili upate nafasi ya kuwa karibu na Mungu zaidi kwani Mungu hupendezwa na watu wanaowasamehe wengine.
 
Back
Top Bottom