Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Je, umeshawahi pitia maisha magumu?

Unaweza kudhani umepitia magumu kwenye hii dunia kumbe kunawalipitia zaidi ya uliopitia.
Nilijiona napitia kipindi kigumu kumbe kwa wengine ni kawaida tu.Kikubwa ni kumshukuru mungu kwa zawaidi ya uhai na kuamini kesho itakua siku njema
Mungu amtie nguvu kila mmoja anaepita katika mapito yoyote.
Amina
Amen.
 
We acha tu! Chakula changu ni maembe ambayo hayajakomaa tena yale ya kuokota. Kwa sasa nimechomoka kiaina angalau mkono unaingia mdomoni.
 
Back
Top Bottom