ShesRise_1 Hapo sawa, ishu ni mapokeo tu na jinsi aklii yako ulivyoizoesha, mi pia sijawahi kukutana na tukio la uhakika la kuamini ni uchawi huwa najiambia nitakuwa sikuona,kusikia vizuri maana matukio yote nakuwa peke yangu ila nikishushudia na mtu itakuwa ni vizuri ila naamini uchawi upo maana naamini hizi zote ni approach walizotumia watu wa zamani kutaka kujaribu kujua jinsi mwili wa mwanadamu na ulimwengu inavyofanya kazi,
Ukisoma quantum mechanics vitu kama entanglement na superpostion kwamba kitu kinaweza kuwa sehemu mbili tofauti au kitu kuwa connected hata kiwe na umbali gani ila kama hiki kikiwa hivi hapo hapo na kingine kinakuwa kama mwezake hii yote inaelezea ulimwengu haupo kama tunavyojua na ndio maana naipa possibilty kubwa kuwa uchawi unaweza kuwepo ila jinsi ya ku elezea kwa watu ueleweke ndio vigumu