ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,610
- 41,813
- Thread starter
- #341
Ukiwa na maana?Uchawi kama Uchawi.
Ukiwa na maana?Uchawi kama Uchawi.
Mweshimiwa sana, majibu ninayohitaji ni zaidi ya NDIYO au HAPANA.Weka swali vizuri. Liwe straight kwa jibu la ndio au hapana. Hapa sio shule tuandike essays zisizo na kichwa wala miguu..
Mimi hoja yangu haijazungumzia mazingaombwe popote.
Mambo ya mazingaombwe umeyaleta wewe halafu unahamishia kwangu nithibitishe kwa essay
wakati unasubiri jibu lake napenda kukujulisha kitu japo sio kwa umuhimu sana. Leo nimeamkia lindoni, kuna dada huwa anatuletea kifungua kinywa, aisseh amenipa chai imekolezwa tangawizi hadi nikajiuliza isije ikawa huu ukali wa Tangawizi ndio uchawi wenyewe.Ukiwa na maana?
Mweshimiwa sana, majibu ninayohitaji ni zaidi ya NDIYO au HAPANA.
Either way haushurutishwi kutoa jibu lolote, hata usipojibu pia ni majibu.
Ona akili zako sasa 😅😅wakati unasubiri jibu lake napenda kukujulisha kitu japo sio kwa umuhimu sana. Leo nimeamkia lindoni, kuna dada huwa anatuletea kifungua kinywa, aisseh amenipa chai imekolezwa tangawizi hadi nikajiuliza isije ikawa huu ukali wa Tangawizi ndio uchawi wenyewe.
sio kesiHoja ya mazingaombwe nimeitaja wapi? Mbona umeniletea hoja ambazo sijazitaja halafu unataka nitolee majibu kuhusu hayo mazingaombwe yako
Ulifanya nini? Elezea.Sikuona kilichofanyika zaidi ya kutiwa hofu kwa hao wanaoamini uchawi.
Wanakwambia ni saikolojia tu.Nitarejea na visa vyangu hapa
Mada ni pana sana hii na wabongo wanayajua mengi lakini kuongea kweli kwao ni dhambi 😅Wanakwambia ni saikolojia tu.
Karibu kakaNitarejea na visa vyangu hapa
We njoo utusimulie tuone 😅Mada ni pana sana hii na wabongo wanayajua mengi lakini kuongea kweli kwao ni dhambi 😅
Sema nilichogundua pia kuna watu wengi wanaamini uchawi ila katika namna ya kusikia tu kuliko kushuhudia, na kuna wenye kupinga huo uchawi kama kitu wanachokisikia tu pia yani anatumia nguvu kubwa kupinga huo uchawi ilhali hata ule uelewa tu wa hicho anachokipinga ni mdogo mno.Mada ni pana sana hii na wabongo wanayajua mengi lakini kuongea kweli kwao ni dhambi 😅
Weka maarifa yako makubwa tujifunze mkuu niko na 🖊 hapa tayari, na kuna wenye kupinga huo uchawi kama kitu wanachokisikia tu pia yani anatumia nguvu kubwa kupinga huo uchawi ilhali hata ule uelewa tu wa hicho anachokipinga ni mdogo mno.
Hakukuwa na lolote. Kwamba bundi asilie, paka je?.Ulifanya nini? Elezea.
Hawezi, uhuni mtapu, na kutisha tisha kwa mambo yasiyokuwepo.Weka maarifa yako makubwa tujifunze mkuu niko na 🖊 hapa tayari
Anaweza kua na ziada acha tumsubiriHawezi, uhuni mtapu, na kutisha tisha kwa mambo yasiyokuwepo.
Hawezi huyo.Anaweza kua na ziada acha tumsubiri