Je, ni uchawi au saikolojia?

Je, ni uchawi au saikolojia?

Mimi sizungumzii chanzo cha kuharibika mahusiano ya watu bali nazungumzia jinsi ambavyo uchawi unaweza kutumika kuharibu mahusiano, kuna watu waume zao wana mahusiano ya nje huko, hivyo moja ya mambo ambayo watu hutumia uchawi ni huko kuachanisha/kufarakanisha mahusiano kama hayo. Sasa kesi kama hiyo mganga anatumia saikolojia gani hapo kumdanganya mteja wake?
Umewahi kushuhudia watu wakifarakanishwa na kuachana kabisa?
 
Watu wengi wanadhani uchawi upo africa tu...ila hawajui kama wachawi walo dunia nzima, hadi wazungu wachawi wapo na wao si kitu cha kujificha, huwa wanafanya wazi wazi kabisa na magician unamkuta ana ofisi na yuko proud na kazi yake tofauti na huku Africa jambo linaloonekana ni la taboo na aibu sana.
Hiyo office
Kwa huku ndiyo kilinge sio?
 
Mtu anayekataa uchawi kuwa haupo jua kuwa hajafikiwa na madhars yake moja mwa moja. Ni kawaida kwa mwanadamu kubisha na kupinga jambo ambalo hana uwezo wa kuliona,kulisikia ama kulishika.

Mfano tunaona kuna watu wanakataa uwepo wa Mungu kwasababu tu hawamuoni, hawamsikii au hawawezi kumkaribia. Vivyo hivyo uchawi na majini ni miongoni mwa vitu vya ghaibu (unseen) kwa maana visivyoonekana kwa macho haya ya kibinadamu. Ila ukweli ni kuwa vipo.

Mfano majini wapo wengi kuliko sisi wanadamu hapa duniani ni vile Mungu katuzuia tusiweze kuwaona kwa macho yetu ya kibinadamu mpk pale wanapochukua maumbile ya vitu tulivyozoea kuviona kama vile nyoka,ng'e, mbwa mweusi n.k...

Hakika siku ya Qiyama watu waliomkataa Mungu hapa duniani watabaki midomo wazi sana pale watakapoweza kuona kwa macho yao unati mkubwa sana wa majini na malaika.
 
Kuna special case hutokea pale mtu alilogwa akiwa mkoani kisha anahamia Dar akiwa mgonjwa tayari ila anakuja kushtukia mbeleni wakati yuko Dar maana Dar watu wanahamia kila siku
Sasa kama Dar watu wanahamia kila siku iweje uone kuwa hao wanaohamia sio wachawi miongoni mwao au wenye tabia za kwenda kwa waganga kuroga wenzao? Dar mbona wachawi wamejaa tu tena sana sehemu ambazo kuna wazawa.
 
Sawa bin shetani sema kwa hiyo username nilidhani utakuja kusema uchawi upo 😃
mie niliwahi kumtoa majini na mtu akapona alikuwa mama mmoja mtaan kwetu nilikuwa nasikia ana mapepo sijui majini mie nikaenda akiwa muislam namsomea sura ya majini na suratul baqra aya 102 Ile ya uchawi hapo lazima uyo jini atoke akiwa mkristo ndio rahisi natumia jina la kristo nachanganya na uchawi wa maneno na majina ya kichawi na ya Mungu kama Yahwe hapo lazima atapona tu
 
Mtu anayekataa uchawi kuwa haupo jua kuwa hajafikiwa na madhars yake moja mwa moja. Ni kawaida kwa mwanadamu kubisha na kupinga jambo ambalo hana uwezo wa kuliona,kulisikia ama kulishika.

Mfano tunaona kuna watu wanakataa uwepo wa Mungu kwasababu tu hawamuoni, hawamsikii au hawawezi kumkaribia. Vivyo hivyo uchawi na majini ni miongoni mwa vitu vya ghaibu (unseen) kwa maana visivyoonekana kwa macho haya ya kibinadamu. Ila ukweli ni kuwa vipo.

Mfano majini wapo wengi kuliko sisi wanadamu hapa duniani ni vile Mungu katuzuia tusiweze kuwaona kwa macho yetu ya kibinadamu mpk pale wanapochukua maumbile ya vitu tulivyozoea kuviona kama vile nyoka,ng'e, mbwa mweusi n.k...

Hakika siku ya Qiyama watu waliomkataa Mungu hapa duniani watabaki midomo wazi sana pale watakapoweza kuona kwa macho yao unati mkubwa sana wa majini na malaika.
uchawi haupo kwakuwa unawapata watu wenye akili finyu that's why tunawashangaa
 
Uliuona wapi, unafananaje huo uchawi.
Nilikuruhusu unifanyie huo uchawi. Alafu uje utoe ushuhuda humu
Kabla ya mimi kukufanyia huo uchawi ni yapi uliyowahi kuyafanya katika kutaka kuthibitisha uwepo wa uchawi hadi ukajiridhisha bila ya shaka hakuna uchawi?
 
Watu wengi wanadhani uchawi upo africa tu...ila hawajui kama wachawi walo dunia nzima, hadi wazungu wachawi wapo na wao si kitu cha kujificha, huwa wanafanya wazi wazi kabisa na magician unamkuta ana ofisi na yuko proud na kazi yake tofauti na huku Africa jambo linaloonekana ni la taboo na aibu sana.
Hata huko unakosema kama hao wachawi wangekuwa wanatumia uchawi kuroga watu kwa kuwaletea madhara wasingejiweka wazi.
 
Mtu anayekataa uchawi kuwa haupo jua kuwa hajafikiwa na madhars yake moja mwa moja. Ni kawaida kwa mwanadamu kubisha na kupinga jambo ambalo hana uwezo wa kuliona,kulisikia ama kulishika.

Mfano tunaona kuna watu wanakataa uwepo wa Mungu kwasababu tu hawamuoni, hawamsikii au hawawezi kumkaribia. Vivyo hivyo uchawi na majini ni miongoni mwa vitu vya ghaibu (unseen) kwa maana visivyoonekana kwa macho haya ya kibinadamu. Ila ukweli ni kuwa vipo.

Mfano majini wapo wengi kuliko sisi wanadamu hapa duniani ni vile Mungu katuzuia tusiweze kuwaona kwa macho yetu ya kibinadamu mpk pale wanapochukua maumbile ya vitu tulivyozoea kuviona kama vile nyoka,ng'e, mbwa mweusi n.k...

Hakika siku ya Qiyama watu waliomkataa Mungu hapa duniani watabaki midomo wazi sana pale watakapoweza kuona kwa macho yao unati mkubwa sana wa majini na malaika.
Aiseee dah!
 
mie niliwahi kumtoa majini na mtu akapona alikuwa mama mmoja mtaan kwetu nilikuwa nasikia ana mapepo sijui majini mie nikaenda akiwa muislam namsomea sura ya majini na suratul baqra aya 102 Ile ya uchawi hapo lazima uyo jini atoke akiwa mkristo ndio rahisi natumia jina la kristo nachanganya na uchawi wa maneno na majina ya kichawi na ya Mungu kama Yahwe hapo lazima atapona tu
So unaamini haya mambo au
mbona sijakuelewa yaani unatoaje majini na wakati umesema hakuna uchawi?
 
Mtu unasemaje hakuna uchawi halafu unakubali kuwa fimbo ya Musa ilibadilika kuwa nyoka? Unaamini bahari iligawanyika wakapita, waislamu wana story ya safari ya Mtume ya Miraj, ule wote ni uchawi ila huku kwenye mitume wanauita miujiza. Uchawi si ndio ancient religion kwanini mtu aseme hakuna uchawi.
 
TOFAUTISHA SANAA ILIYOPO NYUMA YA MAZINGAOMBWE VS UCHAWI ILI KUTHIBITISHA HOJA YAKO KWAMBA VITABU VYA DINI VIMEANDIKA UONGO HUSUSANI KWENYE SEKTA YA UCHAWI

Weka swali vizuri. Liwe straight kwa jibu la ndio au hapana. Hapa sio shule tuandike essays zisizo na kichwa wala miguu..

Mimi hoja yangu haijazungumzia mazingaombwe popote.

Mambo ya mazingaombwe umeyaleta wewe halafu unahamishia kwangu nithibitishe kwa essay
 
Kabla ya mimi kukufanyia huo uchawi ni yapi uliyowahi kuyafanya katika kutaka kuthibitisha uwepo wa uchawi hadi ukajiridhisha bila ya shaka hakuna uchawi?
Sikuona kilichofanyika zaidi ya kutiwa hofu kwa hao wanaoamini uchawi.
 
Kwangu mimi kwa jambo kama la uchawi ushuhuda wa watu wengine
Tena wenye mkanganyiko haunitoshi mimi kukubali hiyo dhana ya uchawi

But naheshimu uamuzi wako
Na mimi siku nikishuhudia kama ulivyoshuhudia wewe nitakuja na story nyingine
Next time inabidi upate trip ya sumbawanga
 
Back
Top Bottom