UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,211
- 9,631
Wewe amini ni saikolojia tu hiyo, au hautaki kuonekana ni msomi?Unalala na nywele za kwapa nyingi, unaamka kwapa limenyolewa. Utaniambia saikolojia ya viwembe inanyoa watu usingizini.