mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,237
- 13,970
Mimi sio mchawi nimekupa ushauri tu ili kuharakisha uchunguzi wakoHuko ndiyo makao makuu ya uchawi?
Nataka uniroge hapa hapa jeyihefu
Mimi sio mchawi nimekupa ushauri tu ili kuharakisha uchunguzi wakoHuko ndiyo makao makuu ya uchawi?
Nataka uniroge hapa hapa jeyihefu
Kwani mkuu unaposema ni issue ya saikolojia una maanisha nini hasa? Maana kwa mfano hata mtu ambaye alikuwa na ukimwi ila hajui ikitokea akaenda kupima na kugundua ana huo ugonjwa pia ataanza kuona mauzauza na ndipo ataanza kuugua wakati huko kabla alikuwa anaishi vizuri tu.Eeh ni issue za saikolojia ukiambiwa umerogwa hapo hapo unaanza kuona mauza uza wakati kabla ulikua huyaoni
Ooh sawa basi nikipata nafasi nitafanya hivyo shukrani broMimi sio mchawi nimekupa ushauri tu ili kuharakisha uchunguzi wako
Mkuu ukimwi umepimwa kwenye vipimo vya kisayansi ukaonekanaKwani mkuu unaposema ni issue ya saikolojia una maanisha nini hasa? Maana kwa mfano hata mtu ambaye alikuwa na ukimwi ila hajui ikitokea akaenda kupima na kugundua ana huo ugonjwa pia ataanza kuona mauzauza na ndipo ataanza kuugua wakati huko kabla alikuwa anaishi vizuri tu.
Mie nazungumzia hiyo point ya saikolojia kuona mauzauza baada ya kuambiwa umerogwa au una ukimwi, hayo ya kuuona kabisa ukimwi kwenye kipimo ni mjadala mwengine ambao nao unabishaniwa ila sio mada yetu.Mkuu ukimwi umepimwa kwenye vipimo vya kisayansi ukaonekana
Huo uchawi umepimwa vipi?
Kwanini aende mbali na eneo analoishi kana kwamba huo mji anapoishi amezunguka kote na kukosa kuona hiyo nguvu ya uchawi hadi aende huko sumbawanga?Nendq kaishi Sumbawanga vijijini au Gamboshi halafu uwaambie wazee kwamba"uchawi hakuna ni mambo ya kisaikolojia tu" halafu sikilizia matokeo ndani ya mwezi mmoja utapata majibu
Ooh sawa mkuu lakini mimi swala la uchawi inabaki kua dhana tuMie nazungumzia hiyo point ya saikolojia kuona mauzauza baada ya kuambiwa umerogwa au una ukimwi, hayo ya kuuona kabisa ukimwi kwenye kipimo ni mjadala mwengine ambao nao unabishaniwa ila sio mada yetu.
Ni kwq sababu kwa mazingira ya mijini watu wameachana na hayo mambo wako bize kusaka noti ila mikoani bado hayo mambo yanaendeleaKwanini aende mbali na eneo analoishi kana kwamba huo mji anapoishi amezunguka kote na kukosa kuona hiyo nguvu ya uchawi hadi aende huko sumbawanga?
Labda huko ndiyo kuna makonkiKwanini aende mbali na eneo analoishi kana kwamba huo mji anapoishi amezunguka kote na kukosa kuona hiyo nguvu ya uchawi hadi aende huko sumbawanga?
Sasa kama ni hivyo mbona waganga wamejaa huku mijini tena wengine wametoka huko vijijini na kuja mijini ikiwa mijini hakuna kesi za uchawi?Ni kwq sababu kwa mazingira ya mijini watu wameachana na hayo mambo wako bize kusaka noti ila mikoani bado hayo mambo yanaendelea
wagonjwa wanasafiri kutoka sehemu mbalimbali Dar ni makutano tu.Sasa kama ni hivyo mbona waganga wamejaa huku mijini tena wengine wametoka huko vijijini na kuja mijini ikiwa mijini hakuna kesi za uchawi?
Ni wingi tu wa watu wenye kujihusisha na hizo mambo.Labda huko ndiyo kuna makonki
Sawa mkuuNi wingi tu wa watu wenye kujihusisha na hizo mambo.
Kwamba waganga hapa Dar wagonjwa zao hutoka sana mikoani kuliko Dar yenyewe?wagonjwa wanasafiri kutoka sehemu mbalimbali Dar ni makutano tu.
NomaAisee
Uongo mwingine ni upi uliotajwa kwenye vitabu vya dini?Sio kila kitu ambacho kimetajwa kwenye vitabu vya dini ni cha kweli.
Vitabu vya dini vimetaja uongo mwingi sana ambapo uchawi nao ni mojawapo ya uongo huo
Uongo mwingine ni upi uliotajwa kwenye vitabu vya dini?
Wakati tukiwa shule za msingi tulikuwa tunalipia Tsh 50 au 100 kuweza kuingia kwenye maonesho maalumu ya mazingaombwe.
Unaweza kuelezea ni nini ambacho kilikuwa kinatokea kwenye hayo maenesho, kwa mfano tunaona mtu anameza ndizi halafu inatokea puani kama ilivyo. Au jamaa anachana makaratasi na kuyaweka kwenye kikapu, akifanya anayoyajua anakuja kutoa pesa.
Elezea dhana ya mazingaombwe ilikuwa inafanikishwa na nini?
Hivi kweli watu wanaweza kufarakana kwa mtindo huo?Mfano mtu anaenda kwa mganga ili kuroga watu wafarakane kama ni wapenzi waachane, sasa hapo ni saikolojia gani mganga anaweza kutumia kwa huyo mtu ili akubali kweli uchawi umejibu kwa matokeo ya hao watu kufarakana?