Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Uki mu admire mtu fulani huwa unaanza ku kupenda vitu anavyopenda, unaogopa zaadi missunderstanding na sio maneno ya watu watasemaje, hupendi mtu akuingilia pale unapo ongea au la awe ni mtu uliyemzoea sana,hupendi yale majibu ya mtu kuku direct sehemu fulani wakati anaweza kuelezea hata yeye mwenyewe
ShesRise_1
Asante kwa uchambuzi dosho12
Sasa hapa unakua umesoma mawazo yangu ya muda huo

Au hapa umefanya uchambuzi wa vitabia vyangu kulingana na mufululizo wa chatting zangu?
 
Hii mada ni nzuri sana ila wengi hawajaelewa mtoa mada alichouliza amelenga nini.
Mkuu karibu eleza kwa upana zaidi
Waliotangulia wameeleza kwa upande wao naheshimu michango yao

Nitafurahi kama usipoenda hivi hivi karibu sana
 
Mkuu karibu eleza kwa upana zaidi
Waliotangulia wameeleza kwa upande wao naheshimu michango yao

Nitafurahi kama usipoenda hivi hivi karibu sana
Hicho kitu ulichokiuliza ni kweli kipo yaani kuna watu wenye uwezo huo na kwa asilimia kubwa hutumia hisia na wakati mwingine hata kwa njia ya ndoto.
Sasa mtu wa aina hii huo uwezo unakuja automatically ukimuhoji amefanyaje anaweza akashindwa kukuelezea imetokeaje,na watu wa aina hii huwa hawajitangazi labda awe mtu wako wa karibu sana ndio utagundua.
Achana na wale wanaojitangaza wale ni matapeli wanakuwa wako mawindoni ili kuwanasa watu emotional,wanachofanya ni lazima ajue jina lako halafu kuna vihesabu fulani wanavifanya kutokana na herufi za jina lako au mwaka wa kuzaliwa kisha vinaleta majibu yanayoendana na maisha yako ndio maana yule mtu uliyemtolea mfano ulivyoenda ghafla kwa kumshtukiza akashindwa kukutabiria
 
Ohoooo hii ipo kiroho zaidi eeh?

Kuna mtu huko juu kaniuliza idadi ya herufu ya jina langu nimempa
Ngoja nione atakuja na majibu gani napenda mambo kwa ushahidi sio mambo ya kusadikika
 
Ohoooo hii ipo kiroho zaidi eeh?

Kuna mtu huko juu kaniuliza idadi ya herufu ya jina langu nimempa
Ngoja nione atakuja na majibu gani napenda mambo kwa ushahidi sio mambo ya kusadikika
Herufi za majina na tarehe na mwezi wa kuzaliwa vitafuta 🤣
Sasa ShesRise_1 ukitaka kwa ushaidi utakubali ? Maana mimi nikiandika huwa inaonekana chai lakini kimsingi mada zako naziheshim na huwa nachangia kutokana na uzoefu au mawazo ya watu wengine.

Lengo huwa ni kuhabarishana tu
 
Ohoooo hii ipo kiroho zaidi eeh?

Kuna mtu huko juu kaniuliza idadi ya herufu ya jina langu nimempa
Ngoja nione atakuja na majibu gani napenda mambo kwa ushahidi sio mambo ya kusadikika
Ndio ipo kiroho zaidi.
Wale wa kusomea huwa utaalamu wao sio perfect hata mimi naweza nikawaingiza chaka wasisome kitu usoni kwangu.
Yeah ndio kama hivyo mfano wake,hata waganga feki hutumia hizo hesabu kuwalaghai watu
 
Herufi za majina na tarehe na mwezi wa kuzaliwa vitafuta 🤣
Sasa ShesRise_1 ukitaka kwa ushaidi utakubali ? Maana mimi nikiandika huwa inaonekana chai lakini kimsingi mada zako naziheshim na huwa nachangia kutokana na uzoefu au mawazo ya watu wengine.

Lengo huwa ni kuhabarishana tu
Kwa ushahidi nakubali
Manyanza wewe hua huleti ushahidi

Ex; huyu alieniomba herufi za jina langu akisema sahihi na kwa sababu jaribio ni juu yangu mwenyewe ndio nitakubali
 
Ndio ipo kiroho zaidi.
Wale wa kusomea huwa utaalamu wao sio perfect hata mimi naweza nikawaingiza chaka wasisome kitu usoni kwangu.
Yeah ndio kama hivyo mfano wake,hata waganga feki hutumia hizo hesabu kuwalaghai watu
Oooh sawa sawa
Kuhusu kiroho mtu yoyote anaweza kutumia hiyo njia ya kiroho?
 
KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️

Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake?

Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine?

Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye mazungumzo na mtu mwingine, halafu akagundua kwamba huyu mtu anawaza kitu fulani?

Na ajabu, unakuta baadae yule mtu anafanya kitendo au vitendo vinavyothibitisha kwamba yale aliyogundua mwanzo yalikuwa sahihi

Kisayansi hali hii inaelewekaje?

Hawa watu tunaweza kuwaita watambuzi.watu wenye intuition kubwa wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua watu, au ni geniuses?

Na wewe binafsi unaamini unaweza kusoma akili ya mtu?

Kama ndiyo unafanya hivyo kwa namna gani?

Maoni yangu 👇

Kikawaida kabisa, naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wa kutambua mambo hata bila mtu kuyaeleza moja kwa moja

Sio kwamba wanatumia akili ya ajabu au wanaingia kwenye akili ya mtu mwingine bali kuna wakati mtu akiwa makini sana anaweza kuona signals ndogo ndogo ambazo watu wengine hawazioni

Hata kama mtu anajaribu kufake au kuficha mawazo yake kwa kuongea au kuandika kitu tofauti na anachohisi, ukiwa makini sana unaweza kugundua kuna kitu hakipo sawa

Ni sawa na mtu ambaye anaweza kukuonyesha kwamba amefurahi sana kwa sababu umepata kazi

Anaweza kucheka kukusifia na kukuambia:

Hongera sana ShesRise_1 nimefurahi kwa ajili yako umepata kazi

Lakini wakati huo huo kuna signals nyingine unaweza kuziona

Labda kwenye facial expression yake namna anavyocheka tone la sauti macho, movements za mikono, posture yake au hata namna anavyoendelea na mazungumzo
Unaona kabisa yeye wa ndani
Na yeye wa njee ni kama mifumo haisomani

Na kama wewe ni mtu ambaye una observation nzuri na ubongo wako unafanya kazi shap utagundua haraka sana

Huyu mtu kwa ndani hafurahii kama anavyosema

So patterns ukiziona unagundua huyu anawaza kwa namna nyingine kabisa tofauti na anachokionesha

Na kinachofanya jambo hili liwe interesting zaidi ni pale unapokuja kugundua kwamba baadae yule mtu anafanya kitu kinachothibitisha kile ulichohisi mwanzo

Swali la mjadala?👇

Hua najiuliza nimeisoma akili yake, au nilikuwa nimeisoma signals zake vizuri na kwa haraka?

Na kama kweli kuna watu wenye uwezo huu mkubwa wa kutambua kile ambacho wengine wanajaribu kuficha...

Uwezo huu unatokana na nini?

Ni intuition?
Ni experience?

Au kuna kitu kingine ambacho bado Labda wengi wetu hatujakifahamu kwa undani
Na kama kipo je ni kitu gani?

Nataka kusikia mawazo yenu🧠

Cc: Marcostilone

ShesRise_1 ✋️
Kwamimi naweza kusema ni uwezo wa ku predict mtu anachowaza lakini sio kujua anachokiwaza.
Sasa asilimia za kubashiri mtu anachowaza itategemea na umakini wa mtu(presence) & usikivu, confidence, experience(ila usiwe bias kwa namna yoyote ile).

Sidhani kama inahitaji uwe genius uweze kusoma mawazo ya mtu. Nilishafanya experiment hata kwa wanyama, mfano: unakutana na paka au mbwa wa mtaani basi at first sight unajitahidi kumchukulia kwa njia ya kirafiki bila kumjaji kuwa atakudhuru au wewe kumdhuru. Unamchukuliaje? Unamsoma kwanini yuko pale(una makinika naye), unakuwa neutral bila bias automatically emotion ya utulivu(calm) inanitawala, itajieleza kupitia facial expression na body language, kitu cha ajabu utahisi mwenyewe kabisa ni kama nae anawasiliana na wewe na anakuelewa intention yako, kisha ataonesha ishara fulani either kukufuata ama kufanya chochote kile kuonyesha kuwa amekuelewa (sijui nieleze vipi nieleweke lakini ni kitu real).

Hii ina prove kuwa ukiwa makini&msikivu, usipo jaji vitu kwa mtazamo wako na ukiwa positive inasaidia kuongeza uwezo wa kusoma mawazo ya wengine.
 
Shukran mkuu asante kwa maoni mjarabu

Hapo kwa wanyama imekaaje
Maana unaweza ukawa unatembea
Ukakutana labda na paka asikimbie akasimama anakukazia macho hii imewahi kunikuta mara nyingi
 
Kila binadamu ana uwezo huo japo wengine wamesomea na kuongeza uwezo.

Kuelewa zile signal zinamaanisha nini maana yake umesoma mawazo yake kwa sababu body inaamriwa na mind/ubongo.

Cha kusikitisha ni kwamba ukiwa na uwezo huu mkubwa hutaishi kwa raha,utawagundua marafiki/ndugu watu wabaya/nafki na unaweza jikuta huna mtu unayemfurahia kwa dhati hata mmoja.
You end up being a loner
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom