Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Dunianiani mambo ni mepesi sana ukiamua ,jinsi wali unavyopikwa ukisikia harufu na ukandua ni wali ndivyo ilivyo .mm ni four 4 point 29 mwaka 2011.nina uwezo mkubwa sana wa kumsoma mtu ,nikagundua na kuvunja kile ambacho kwangu naona kinanipa madhara.
1.Ukiongea na mtu muangalie kweny paji la uso na siyo machooni >unamtoa confidence kwa asilimia mia Moja
2.nikihisi mtu ananidharau Huwa nafanya hiv .namuita kwa kukosea jina lake au najifanya sijui jina lake na matokeo nayaona,
Mambo yanawezekana kikubwa tusome vitabu mbalimbali ubongo wa binadamu una Siri kubwa sana
 
Dunianiani mambo ni mepesi sana ukiamua ,jinsi wali unavyopikwa ukisikia harufu na ugandundua ni wali ndivyo ilivyo .mm ni four 4 point 29 mwaka 2011.nina uwezo mkubwa sana wa kumsoma mtu ,nikagundua na kuvunja kile amba kwangu naona kinanipa madhara.
1.Ukiongea na mtu muangalie kweny paji la uso na siyo machooni >unamtoa confidence kwa asilimia mia Moja
2.nikihisi mtu ananidharau Huwa nafanya hiv .namuita kwa kukosea jina lake au najifanya sijui jina lake na matokeo nayaona,
Mambo yanawezekana kikubwa tusome vitabu mbalimbali ubongo wa binadamu una Siri kubwa sana
Wewe ni wa pili unasema kuhusu paji la uso inawezekana vipi kumtoa mtu confidence kwa kumuangalia paji la uso na sio kuangalia macho yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom