Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

Kila binadamu ana uwezo huo japo wengine wamesomea na kuongeza uwezo.

Kuelewa zile signal zinamaanisha nini maana yake umesoma mawazo yake kwa sababu body inaamriwa na mind/ubongo.

Cha kusikitisha ni kwamba ukiwa na uwezo huu mkubwa hutaishi kwa raha,utawagundua marafiki/ndugu watu wabaya/nafki na unaweza jikuta huna mtu unayemfurahia kwa dhati hata mmoja.
 
Kwa mtu unayemjua nahisi inakuwa rahisi sababu unajua pattern yake ya ufikiri na jinsi anavyojibu hivyo unaweza uka predict karibu asilimia 80 ya atavyo react kwa kitu fulani au context ya jibu atalotoa sina uhakika kwa exact words ila angalau ile maana ya ujumbe unaweza kupatia

Na mtu usiye mjua nahisi watakuwa wanatumia non verbal cues, kama body language, tone ya sauti, jinsi ulivyovaa hivyo anaweza ku predict karibu asilimia 80 ya utavyofanya au ku react kwa kitendo fulani au jinsi utavyojibu ila ni context,

na hii kuna watu wanasomea kama mambo ya psychology au kuna wengine wana experince ya kufanya hivyo mara kwa mara mpaka wanaanza kuwa expert pia kuna wengine huenda (maoni yangu) labda kuna sehemu fulani kwenye ubongo unayofanya hivyo inakuwa active toka wapo wadogo
 
Kila binadamu ana uwezo huo japo wengine wamesomea na kuongeza uwezo.

Kuelewa zile signal zinamaanisha nini maana yake umesoma mawazo yake kwa sababu body inaamriwa na mind/ubongo.
Exactly na mimi naamini hakuna namna ya kusoma mawazo direct ya mtu isipokua kwa signals ndogo ndogo ambazo wengine hawazigundui haraka
Au hawana uwezo wa kuziona ki urahisi
Cha kusikitisha ni kwamba ukiwa na uwezo huu mkubwa hutaishi kwa raha,utawagundua marafiki/ndugu watu wabaya/nafki na unaweza jikuta huna mtu unayemfurahia kwa dhati hata mmoja.

Hakika hii haina tofauti na watu wale overthinkers ni taabu sana
 
Muongozo mzuri tafuta kile kitabu cha Dr Iyke utapata maarifa zaidi. Hii ya kuangalia paji la uso kwa fikra zako unakubaliana nayo ?
Sikubali na sipingi mpka aliesema aje kutetea hoja yake kwanza
 
Katika maisha ya kawaida na kisaikolojia, kuna watu ambao wana uwezo mkubwa wa kutambua au kukisia kwa usahihi mkubwa kile mtu mwingine anachowaza au hisia zake.

Hali hii haitokani na miujiza, bali inatokana na mambo yafuatayo ya kisaikolojia na kitabia:

1. Kusoma Lugha ya Mwili (Body Language)

2.Akili ya Kihisia (Emotional Intelligence - EQ)

3.Uwezo Mkubwa wa Intuition (Nia ya Ndani)
 
Kwa mtu unayemjua nahisi inakuwa rahisi sababu unajua pattern yake ya ufikiri na jinsi anavyojibu hivyo unaweza uka predict karibu asilimia 80 ya atavyo react kwa kitu fulani au context ya jibu atalotoa sina uhakika kwa exact words ila angalau ile maana ya ujumbe unaweza kupatia

Na mtu usiye mjua nahisi watakuwa wanatumia non verbal cues, kama body language, tone ya sauti, jinsi ulivyovaa hivyo anaweza ku predict karibu asilimia 80 ya utavyofanya au ku react kwa kitendo fulani au jinsi utavyojibu ila ni context,

na hii kuna watu wanasomea kama mambo ya psychology au kuna wengine wana experince ya kufanya hivyo mara kwa mara mpaka wanaanza kuwa expert pia kuna wengine huenda (maoni yangu) labda kuna sehemu fulani kwenye ubongo unayofanya hivyo inakuwa active toka wapo wadogo
Asante sana mtaalamu wa hizi kazi
Vipi wewe mkuu unaweza kwa njia hizo ulizoelezea?
Hua unapata matokeo chanya?
 
Katika maisha ya kawaida na kisaikolojia, kuna watu ambao wana uwezo mkubwa wa kutambua au kukisia kwa usahihi mkubwa kile mtu mwingine anachowaza au hisia zake.

Hali hii haitokani na miujiza, bali inatokana na mambo yafuatayo ya kisaikolojia na kitabia:

1. Kusoma Lugha ya Mwili (Body Language)

2.Akili ya Kihisia (Emotional Intelligence - EQ)

3.Uwezo Mkubwa wa Intuition (Nia ya Ndani)
Naunga mkono hoja mkuu 👏👏
Kama una cha kujazia karibu
 
Asante sana mtaalamu wa hizi kazi
Vipi wewe mkuu unaweza kwa njia hizo ulizoelezea?
Hua unapata matokeo chanya?
Huwa najaribu kwa watu ninao intercat nao kila siku na kati ya majaribu kumi ninaweza kupata angalu manne au tano pia huwa najaribu kusoma watu njiani na kuhisi huenda watakuwa hivi na hivi, kutokana na waliyovaa najaribu ku guess vitu kama personality zao ila sijui kama napatia sababu sikutani nao tena 😁
 
Huwa najaribu kwa watu ninao intercat nao kila siku na kati ya majaribu kumi ninaweza kupata angalu manne au tano kwa na huwa najaribu kusoma watu njiani na kuhisi huenda watakuwa hivi na hivi, kutokana na waliyovaa najaribu ku guess vitu kama personality zao ila sijui kama napatia sababu sikutani nao tena 😁
Sawaa😃 vipi hapa jukwaani umewahi kujaribu kupima mawazo ya mtu kupitia maandishi yake ?
Mf; mimi umewahi kujaribu kufikiri hua nawaza vipi?
Jipime kwangu nione uwezo wako
 
Sawaa😃 vipi hapa jukwaani umewahi kujaribu kupima mawazo ya mtu kupitia maandishi yake ?
Mf; mimi umewahi kujaribu kufikiri hua nawaza vipi?
Jipime kwangu nione uwezo wako
Uki mu admire mtu fulani huwa unaanza ku kupenda vitu anavyopenda, unaogopa zaadi missunderstanding na sio maneno ya watu watasemaje, hupendi mtu akuingilia pale unapo ongea au la awe ni mtu uliyemzoea sana,hupendi yale majibu ya mtu kuku direct sehemu fulani wakati anaweza kuelezea hata yeye mwenyewe
ShesRise_1
 
KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️

Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake?

Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine?

Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye mazungumzo na mtu mwingine, halafu akagundua kwamba huyu mtu anawaza kitu fulani?

Na ajabu, unakuta baadae yule mtu anafanya kitendo au vitendo vinavyothibitisha kwamba yale aliyogundua mwanzo yalikuwa sahihi

Kisayansi hali hii inaelewekaje?

Hawa watu tunaweza kuwaita watambuzi.watu wenye intuition kubwa wenye uwezo mkubwa wa kuchanganua watu, au ni geniuses?

Na wewe binafsi unaamini unaweza kusoma akili ya mtu?

Kama ndiyo unafanya hivyo kwa namna gani?

Maoni yangu 👇

Kikawaida kabisa, naamini kuna watu wenye uwezo mkubwa sana wa kutambua mambo hata bila mtu kuyaeleza moja kwa moja

Sio kwamba wanatumia akili ya ajabu au wanaingia kwenye akili ya mtu mwingine bali kuna wakati mtu akiwa makini sana anaweza kuona signals ndogo ndogo ambazo watu wengine hawazioni

Hata kama mtu anajaribu kufake au kuficha mawazo yake kwa kuongea au kuandika kitu tofauti na anachohisi, ukiwa makini sana unaweza kugundua kuna kitu hakipo sawa

Ni sawa na mtu ambaye anaweza kukuonyesha kwamba amefurahi sana kwa sababu umepata kazi

Anaweza kucheka kukusifia na kukuambia:

Hongera sana ShesRise_1 nimefurahi kwa ajili yako umepata kazi

Lakini wakati huo huo kuna signals nyingine unaweza kuziona

Labda kwenye facial expression yake namna anavyocheka tone la sauti macho, movements za mikono, posture yake au hata namna anavyoendelea na mazungumzo
Unaona kabisa yeye wa ndani
Na yeye wa njee ni kama mifumo haisomani

Na kama wewe ni mtu ambaye una observation nzuri na ubongo wako unafanya kazi shap utagundua haraka sana

Huyu mtu kwa ndani hafurahii kama anavyosema

So patterns ukiziona unagundua huyu anawaza kwa namna nyingine kabisa tofauti na anachokionesha

Na kinachofanya jambo hili liwe interesting zaidi ni pale unapokuja kugundua kwamba baadae yule mtu anafanya kitu kinachothibitisha kile ulichohisi mwanzo

Swali la mjadala?👇

Hua najiuliza nimeisoma akili yake, au nilikuwa nimeisoma signals zake vizuri na kwa haraka?

Na kama kweli kuna watu wenye uwezo huu mkubwa wa kutambua kile ambacho wengine wanajaribu kuficha...

Uwezo huu unatokana na nini?

Ni intuition?
Ni experience?

Au kuna kitu kingine ambacho bado Labda wengi wetu hatujakifahamu kwa undani
Na kama kipo je ni kitu gani?

Nataka kusikia mawazo yenu🧠

Cc: Marcostilone

ShesRise_1 ✋️
Hii mada ni nzuri sana ila wengi hawajaelewa mtoa mada alichouliza amelenga nini.
Si ndio? Unaweza kumsoma mtu kupitia milango yako ya fahamu. Utaona anavyokwepesha macho na kuchezesha mikono, utasikia kigugumizi chake nk.

Kulingana na muktadha, unaweza kujua kitu flani. Mfano ukimuuliza jambo halafu ajibu kwa kupepesa macho, utahisi huenda anadanganya.

Lakini, kuingia moja kwa moja ndani ya akili ya mtu na kuona mawazo yake kama yalivyo(telepathy) haiwezekani, labda uingie upande wa pili kwenye mambo ya kiroho.
Assume huyo mtu unayemsoma mawazo yake hayuko karibu utafanyaje ili umsome akili yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom