ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,799
- Thread starter
- #221
Hujachelewa karibu baba mtakatifu91Iam coming late though i grasp the concept on how to read people's thoughts
Hujachelewa karibu baba mtakatifu91Iam coming late though i grasp the concept on how to read people's thoughts
Sawa mkuu KaribuMtu anaweza kusoma namna unavyochezesha mikono yako na miguu inshort body gesture na akajua unachowaza
Yeah😒 Telepathy ?
Toa kabisa ufafanuzi akija akute jibu mkuuYeah
Hata Mimi ninao uwezo huo kiasi,hata wewe ingawa hatujawhi onana nimekusoma Kwa mbali ni mtu wa kutafuta Sababu na Chanzo cha jambo! Nipigie makofi tafadhaliHata Mimi uwezo wa kumsoma mtu ninao japo sio kwa kiasi kikubwa sana. Na huu uwezo umetokana na kukutana na watu mbalimbali, mazingira mbalimbali na hua ni msikililizaji sana na mtulivu pale ambapo mtu huongea au anapofanya vitendo.
Huwa sibandui macho yangu usoni kwake pale anapofanya kitendo chochote au pale anapozungumza.
Mkuu hapa umesoma mawazo yake au umesoma baadhi ya tabia zake kulingana na uandishi wake?Hata Mimi ninao uwezo huo kiasi,hata wewe ingawa hatujawhi onana nimekusoma Kwa mbali ni mtu wa kutafuta Sababu na Chanzo cha jambo! Nipigie makofi tafadhali
Kama ni Bichwa komwe!Tafadhari elezea kwa kina tuelewe
Paji la uso ki vipi?
Uko sahihi, Mawazo yake kulingana na uandishi Wake,pia Unafanana nae ShesRise!Mkuu hapa umesoma mawazo yake au umesoma baadhi ya tabia zake kulingana na uandishi wake?
Mwana kulitafuta 😆😆Kama ni Bichwa komwe!
Mwanakulipata!Mwana kulitafuta 😆😆
Hapo kwa ShesRise fafanua kidogo 😆Uko sahihi, Mawazo yake kulingana na uandishi Wake,pia Unafanana nae ShesRise!
BICHWA KOMWE - unaitwa hukuMwanakulipata!
Kama hujaingia darasani hujaingia tu hizo mbinu Zina nyakati zake tofauti kabisa na unavyozani Kila mbinu inanamna yake binafsi ukinikazia macho nikijua na Mimi nakukazia na akili yangu inaongeza umakini mkubwa sana nakuwa siongezi neno ila ukinichunguza pasipo kujua unaweza kuokota vingi na ndio mbinu kubwa inayotumika DunianNaangalia macho na midomo, halafu baada ya hapo unaangalia body language yake inasemaje 😀
Mtu au kiatu ?
Rafiki au Mnafiki ?
Mwema au adui ?
Hukurupuki jambo Kwa mihemko,ni mtu wa reasoning sio kama tlaatlaah na Lukas mwashambwa! Kwenye ukweli umenyooka,hata Kwenye Siasa hujali hii ni CCM au CHADEMA kama Kuna Jambo jema au baya,Sio mtu wa kushupaza shingo .Pokea maua Yako Kwa Hilo🌹🌹🌹🌷🌷🍀🍀🌺🌺Hapo kwa ShesRise fafanua kidogo 😆
Aisee wewe ukikaziwa macho na wewe unatembea na hiyo hiyo beat aloooKama hujaingia darasani hujaingia tu hizo mbinu Zina nyakati zake tofauti kabisa na unavyozani Kila mbinu inanamna yake binafsi ukinikazia macho nikijua na Mimi nakukazia na akili yangu inaongeza umakini mkubwa sana nakuwa siongezi neno ila ukinichunguza pasipo kujua unaweza kuokota vingi na ndio mbinu kubwa inayotumika Dunian
Hata kwenye bandiko nimesema kua mimi binafsi naamini utamsoma mtu akili yake kutoka na signals anazozionesha kwa wakati huoBy instinct kila aina ya viumbe wana hulka zao, So binadamu wote tuna HULKA zinazo fanana kukabiliana na hali mazingira nk nk……… tunatofautiana tu kwenye ukubwa au namna ya kuthibiti instinct hizo
Ili kubaini mtu anawaza nini ni lazima ujue background ya yanayojiri kwa wakati husika ili uweze kuoanisha na anavyo behave.
Haiwezekani from nowhere ukaenda ufukweni ukakuta mtu kakaa zake anakula upepo wa bahari halafu ukaanza tu kusoma mawazo yake
Huwa napenda sana kuangalia Investigation Channel DSTV jinsi wapelelezi wanavyojua kucheza na mind reading kulingana na unavyo behave
Shukran mkuu 🙏🙏Hukurupuki jambo Kwa mihemko,ni mtu wa reasoning sio kama tlaatlaah na Lukas mwashambwa! Kwenye ukweli umenyooka,hata Kwenye Siasa hujali hii ni CCM au CHADEMA kama Kuna Jambo jema au baya,Sio mtu wa kushupaza shingo .Pokea maua Yako Kwa Hilo🌹🌹🌹🌷🌷🍀🍀🌺🌺
Sahihi.Shukran mkuu 🙏🙏
Sasa hapa tutasema umegundua baadhi ya tabia zangu kwa mtiririko wa maandishi na sio mawazo yangu si ndio?