Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,914
Tazama ramani mrefu kinoma, ni kheri tuache hivyo hivyo maana hizo kamati sijui wanakway wa kutunga, kuhariri na kupata wimbo wa taifa watakula pesa zaidi ya pesa ya sensa. Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume waambie waache tu hasara ni kubwa kuliko faida.Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Kabisaa kakaaTazama ramani mrefu kinoma, ni kheri tuache hivyo hivyo maana hizo kamati sijui wanakway wa kutunga, kuhariri na kupata wimbo wa taifa watakula pesa zaidi ya pesa ya sensa. Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume waambie waache tu hasara ni kubwa kuliko faida.
Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Tafiti bro, uko mbali sana na uhalisiaTanganyika ilikuwepo before south,South wamepata uhuru miaka ya 90 ni vigumu tuwaige unless huu wimbo ulitungwa zamani na wa south
Hata jina Tanzania likitungwa na mhindi, akaweka hadi jina lake na jina la jumuiya yake ya AhmadiyaHuenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Hatari sanaHata jina Tanzania likitungwa na mhindi, akaweka hadi jina lake na jina la jumuiya yake ya Ahmadiya
Warioba, Mwinyi, Salim Ahmed, Kawawa na miwani yake
Tuna mengi ya msingi ya kushughulika nayo zaidi ya wimbo wa taifa.Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Endeleeni kushughulikia hayo mengi ya maingiTuna mengi ya maingi ya kushughulika nayo zaidi ya wimbo wa taifa.
Nyakati, mkuu 'Buji', nyakati ndizo zimebadilika.Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Naomba huo uhalisia, mimi elimu yangu inaniambia nchi huru ya Africa kusini ilianzishwa miaka ya 90 ,kabla ya hapo South ilikuwa na Rais mkaburu aliitwa BothaTafiti bro, uko mbali sana na uhalisia
Nimeridhishwa pakubwa na jawabu lako. Asante sanaNyakati, mkuu 'Buji', nyakati nzo zimebadilika.
Wakati huo, moto ulikuwa wa 'PanAfricanism'.
Pengine leo hii ungeambiwa kwamba Tanzania itatumia raslimali zake adimu, na kujitoa mhanga, na kwa kweli kujiweka katika hali hatarishi kama tulivyowahi kujiweka nyalkati hizo katika ushiriki wetu wa ukombozi wa nchi kusini mwa bara hili, jambo hilo leo hii lingeonekana kama la kipuuzi.
Ni katika hali hiyo hiyo, katika mawazo ya nyakati zile, haikuonekana kuwa jambo la ajabu kutumia wimbo huo.