Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
- Thread starter
- #421
Trip ulizowekewa kule Kisa rijamaa rireee??Khahaaaa me sina ya kupita wala kupitisha
Trip ulizowekewa kule Kisa rijamaa rireee??Khahaaaa me sina ya kupita wala kupitisha
Lenie kakufunga kambaTrip ulizowekewa kule Kisa rijamaa rireee??
[emoji848] Hiv wanaume nanyi huwa mnachezewa na kuachwa? [emoji23][emoji23]
Kakimbia hata ushauri hajautoa jamani Lenie huyuLenie kakufunga kamba
Kaishiwa bando 🤣Kakimbia hata ushauri hajautoa jamani Lenie huyu
[emoji1787][emoji1787] kibao kmegeuka, poleni sana.Siku hizi kuna wadada hit and run yaani mimi kuna mmoja nilikutana nae tumeenda vizuri kabisa baada tu ya kutimiza haja zake akapotea, simu kanilamba block akanipotezea mazima.
Siku moja niko na jamaa yangu fuska tunapiga stori za madem nikamhadithia hiyo stori, akaniambia kumbe hata yeye alishatafunwa na huyo demu na kubwagwa..!
Ndiyo. Mtu anakuja akidhani una pesa. Akigundua huna huyoo anasepa zake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji848] Hiv wanaume nanyi huwa mnachezewa na kuachwa? [emoji23][emoji23]
Acha tu mkuu.. ni huzuni 😀[emoji1787][emoji1787] kibao kmegeuka, poleni sana.
Wa humu mkuu?Siku hizi kuna wadada hit and run yaani mimi kuna mmoja nilikutana nae tumeenda vizuri kabisa baada tu ya kutimiza haja zake akapotea, simu kanilamba block akanipotezea mazima.
Siku moja niko na jamaa yangu fuska tunapiga stori za madem nikamhadithia hiyo stori, akaniambia kumbe hata yeye alishatafunwa na huyo demu na kubwagwa..!
[emoji1787] hatariousNdiyo. Mtu anakuja akidhani una pesa. Akigundua huna huyoo anasepa zake [emoji16][emoji16][emoji16]
Mabaharia siyo watu mkuu. Imagine wanamuumiza binti mrembo na mtulivu kama huyu. Adhabu yao wataikuta motoni wallahi!
Sure yaanPole sana, hayanaga muongozo...
[emoji2][emoji2][emoji23]Nawacheki tu mafisi Shimba na ERoni mnavyojidai kumuonea huruma mrembo Tinsley.. utadhani nyie akiwapa mtafanya tofauti [emoji38][emoji38] Kumbe na nyinyi mtaweka na kusepa [emoji3]
Hapana mkuu, huyo alikua wa mtaaniWa humu mkuu?
Mbona hatari hii..
Pole jirani...Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage 😂😂😂
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.
Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.
Ila kijana hajui
Andika tu...Napata kigugumizi 😅😅
Mtu mwenyewe hanipendi, ngoja tu nikae kimyaAndika tu...
Kwa jinsi ninavyo pendwa na wanawake live wameni keep busy hadi nisiwe na tamaa ya kutoka na manzi yoyote humu.Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?