Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Acha tu dearJust samaree tu kipenzi!! Jamani itakua alikuumiza sana dear!!
life's unfair
Acha tu dearJust samaree tu kipenzi!! Jamani itakua alikuumiza sana dear!!
Usikae navitu moyoni dear lol!! Pole sanaa!! Inauma sana kumpenda asiekupenda wala kukupa muda/ attention!Acha tu dear
life's unfair
Thank you 😊pole
Yeah it really hurtsUsikae navitu moyoni dear lol!! Pole sanaa!! Inauma sana kumpenda asiekupenda wala kukupa muda/ attention!
Kabisa mkuu, imeniuma pia. Watu wanaweka na kukimbia kama sio watu asee.Mabaharia siyo watu mkuu. Imagine wanamuumiza binti mrembo na mtulivu kama huyu. Adhabu yao wataikuta motoni wallahi!
Pole sana kipenzi! Maisha lazima yaendelee!!Yeah it really hurts
nishamove on sasa , kiubishi
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.








Thank you sweetie 😘Pole sana kipenzi! Maisha lazima yaendelee!!
We acha tu. Nikaona kabisa mpika vitumbua ni nyani sio mtu...masikini nae mtu japokuwa hana kitu.Kuna lile wanalipendagaa ‘ what do you do for a living’
Wanabadilisha mpaka na lugha
Mimi nimemuona ni mtu nice sana aisee Yuko poa popote ulipo ujue I always loving uMim kumpenda mtu sijui anafanana vip aiseh siwez aiseh
Ni kweli jamani unapendwa say Yes mkayajengee😂😂Ananisingizia
Pole jamani yatapita tu😂😂 sirudishagi moyo nyuma
Baada ya kumuona ndio ulimpenda si ndo hivoMimi nimemuona ni mtu nice sana aisee Yuko poa popote ulipo ujue I always loving u
Huyo ni Antonia au best mmoja hivi nawajuaMimi iliwahi kunitokea ila akaniambia niwe na vitalu vya mafuta kwanza dahh sitasahau
Kabla nilifeel na chart na mtu poa sana baadae akaja akadai tuoane USO. Kwa USO yaani a video call and then nikaomba akuje akaja nimqute sana yaani hadi aseme umri ndio utasanuka aih wee achaBaada ya kumuona ndio ulimpenda si ndo hivo
Aiyyyyy sawaKabla nilifeel na chart na mtu poa sana baadae akaja akadai tuoane USO. Kwa USO yaani a video call and then nikaomba akuje akaja nimqute sana yaani hadi aseme umri ndio utasanuka aih wee acha
Khahaaaa me sina ya kupita wala kupitishaPole jamani yatapita tu