Ila hiyo nzuri, inakupunguzia bugdha, mnawekana then kila mtu na hamsini zake. Mapenzi ya kuweka kambi nayo yana shida nyingi tu!!Hapana mkuu, huyo alikua wa mtaani
Aiseee hii kaliKwa jinsi ninavyo pendwa na wanawake live wameni keep busy hadi nisiwe na tamaa ya kutoka na manzi yoyote humu.
Kifupi tu acount yangu ya jf haija wahi shobokea acount ya demu yoyote humu jf wala kuonyesha interest na mwanamke yoyote humu kwa sababu i see less
Amen,napokea rafiki yangu, nami nakutakia afya njema isyoterereka pamoja na kila lenye heri, Mwenyenzi Mungu akutimizie haja zakoUnamfahamu Skylar ?
Mungu ampr maisha marefu kwa kweli. Maisha yenye baraka, mafanikio, furaha, amani, afya tele kuongezeka na kutopungukiwa
Nitarudi kusimulia yote.Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Ameeeen. Amen kubwa mara dufuAmen,napokea rafiki yangu, nami nakutakia afya njema isyoterereka pamoja na kila lenye heri, Mwenyenzi Mungu akutimizie haja zako
Ameeeen. Amen kubwa mara dufuAmen,napokea rafiki yangu, nami nakutakia afya njema isyoterereka pamoja na kila lenye heri, Mwenyenzi Mungu akutimizie haja zako
Evelyn Salt ni mkongwe mwenzangu, mamaa ya Kimara zama zile.
Yaani najikuta nampenda tu, sio avatar wala USER ID ya, ila yeye binafsi.
Ni kama tu nimpendavyo mmakonde wa Uingereza Kasie, fyalafyala. Tena Kasie nina wine yako na prawns kikundi, eat as much as you can
Nimekumiss hadi nimekumissplaceUbarikiwe kwa kunitunuku....
Naisubiria kwa hamu kolabo ya wine na prawns 😋😋😋.
Nimekumiss hadi nimekumissplace
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mtu mwenyewe hanipendi, ngoja tu nikae kimya
Kiasali upoooo?Ubarikiwe kwa kunitunuku....
Naisubiria kwa hamu kolabo ya wine na prawns [emoji39][emoji39][emoji39].
Una hakika ni Demu?Saivi minampenda Cocastic! Anaonekana demu mkali..
Hakika! Nataka nmtongoze..au ni Mwamba kajiposition isivyokawaida?
Sina hakika lakini kuwa makini kama sio shabiki wa rainbowHakika! Nataka nmtongoze..au ni Mwamba kajiposition isivyokawaida?
Tunakupenda pia mkuu😘Mimi nampenda Meneja Wa Makampuni na financial services
Mr nani ? Tatizo ni hili jina mkuu tunakuogopa😂Sijawahi chat na mdada yoyote Pm kwan uwa mna patikana vipi.hemu na mm mje wadada pm niwaone
😆😆😆maisha yanaenda kasi snawhat sent wrong dear!! Alikua amewowa ama??🤣🤣🤣 in Depas voice 🤣🤣🤣