Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Haya mambo ni ntu na ntu. Kuna siku nilifatwa PM nikaulizwa katika maswali ya mwanzoni kabisa unafanya kazi gani. Nikajibu napikaga vitumbua mkuu. Ah nikaona vumbi tu....hivi si wapika vitumbua mnatuonaje??🤣🤣
Kuna lile wanalipendagaa ‘ what do you do for a living’
Wanabadilisha mpaka na lugha
 
Back
Top Bottom